Wajuvi: vitu hivi hapa maana yake nini katika smart-watch (pedometer)??

Paa

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
1,449
2,924
Naitumia kufanyia mazoezi asubuhi, baada ya muda nikarekodi hizi vitu hapa chini ila sielewi maana zake, Msaada plz kueleweshwa

Fat: 0.17107g
Heat: 0.132000
Speed: 0.001471
Mileage: 1.920000
 
Pedometer ni sensor ya motion. Hutumika kudetect vitu kama hatua. Hata kwenye simu nyingi ipo.

Inaweza ikakuambia umetembea hatua ngapi kwa siku,ume burn calories ngapi, etc

Hapo umeeka data zako umbali uliotembea,speed uliotumia joto ulilotengeneza na unene uliochoma. Kama sijakosea.
 
IMG-20181120-WA0000.jpeg

Mambo ya fitness tracker hayo.
 
Naitumia kufanyia mazoezi asubuhi, baada ya muda nikarekodi hizi vitu hapa chini ila sielewi maana zake, Msaada plz kueleweshwa

Fat: 0.17107g
Heat: 0.132000
Speed: 0.001471
Mileage: 1.920000
Unatumia Tracker gani mkuu?
 
  • Thanks
Reactions: Paa
Pedometer ni sensor ya motion. Hutumika kudetect vitu kama hatua. Hata kwenye simu nyingi ipo.

Inaweza ikakuambia umetembea hatua ngapi kwa siku,ume burn calories ngapi, etc

Hapo umeeka data zako umbali uliotembea,speed uliotumia joto ulilotengeneza na unene uliochoma. Kama sijakosea.
Sawa nilitaka kujua tu maana hizi data...maana sizielewi
 
Naitumia kufanyia mazoezi asubuhi, baada ya muda nikarekodi hizi vitu hapa chini ila sielewi maana zake, Msaada plz kueleweshwa

Fat: 0.17107g
Heat: 0.132000
Speed: 0.001471
Mileage: 1.920000
Inaonesha umbali uliokimbia/kuembea,joto la mwili lilivyopanda na mafuta umeunguza kiasi gani mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: Paa
Uko vizuri...hizi zote upiga kwa siku moja??
Ila hizi tracker za kichina nyingi si nzuri, hiyo Fitbit from US ndio best in the world inauzwa laki tatu. Nyingi ya hizi tracker za kichina hazipo accurate. Kwa uzoefu wangu mchina kabisa kuna brand mbili tu Amazfit na MI band, hizo ndio unaweza compare kidogo na hizi za US, ila nyingine nyingi za kichina hazitoi accurate data.
 
Nilijaribu kucheki hii sio accurate sana lakini inakua INA error kidogo... Ambayo sio mbaya sana
 
Ila hizi tracker za kichina nyingi si nzuri, hiyo Fitbit from US ndio best in the world inauzwa laki tatu. Nyingi ya hizi tracker za kichina hazipo accurate. Kwa uzoefu wangu mchina kabisa kuna brand mbili tu Amazfit na MI band, hizo ndio unaweza compare kidogo na hizi za US, ila nyingine nyingi za kichina hazitoi accurate data.
Hii vipi mzee, nimeinunua mtandaoni, ipo njiani inakuja.
Screenshot_20181126-212507~2.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom