kilambalambila
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 9,290
- 8,611
wanaweka misimamo ya ajabu ambayo members wengine hawajaridhia kutoka rohoni ndo matokeo hayo
Mleta habari ameulizwa majina ya hao aliowaona Dodoma, anajibu Raya Hamisi. Kumbe kamuona Raya Hamisi halafu akahitimisha kwa heading "Wajumbe wa UKAWA tele Dodoma". Kazi kwelikweli. By the way, huyo Raya ameenda Bungeni au amepita Dodoma akabreak kidogo? Bora hata angeongea nae huyo Raya mwenyewe ambaye ndiye wajumbe TELE.
Kwa wajumbe wa CHADEMA na NCCR hata wakirudi wote hamna shida ila tunawalinda wale 16 wa CUF toka zanzibar
A cha uongo Ndum bayeye
Uongo uko wapi dogo, bila wajumbe 16 kuongezeka kutoka znz hakuna katiba!
Kwa nini msiwalipe hata laki mbili tu ili wasuse? Pesa ya wafadhili inafanya kazi gani?
sio njaa mkuu, ..lissu na wenzake baada ya kupewa tende halua na gahwa na seif bila consultation na wenzao wakaanzisha ukawa. sasa wanawaburuza wenzao kuvunja jamhuri ya muungano wa tanzania.Njaa mbaya sana acha warudi lakin wamejidhalilisha sana kwa usaliti wao.
sio njaa mkuu, ..lissu na wenzake baada ya kupewa tende halua na gahwa na seif bila consultation na wenzao wakaanzisha ukawa. sasa wanawaburuza wenzao kuvunja jamhuri ya muungano wa tanzania.