Wajumbe wa UKAWA tele Dodoma

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,359
Nikiwa kwenye umachinga wangu hapa Dododoma nimekutana na sura nyingi za wajumbe wa bunge maalum la KATIBA wengi wao ni wale wa kundi la UKAWA a.k.a tatu chafu. Wengi wa wajumbe hawa ni wabunge wa CHADEMA, NCCR, CUF na viti maalum vyao. Sio kama hawaruhusiwi kutembelea Dodoma lakini kipindi hiki uwepo wao unatia mashaka na zile ndoto za kuuvunja muungano zinaanza kufifia. Najua wengi wanajiandaa na utetezi wa tumerudi kuitikia wito wa jamii na viongozi wa dini lakini lazima watumbue kurudi kwao kunavipeleka vyama vyao kubaya hasa hiki kinachokufa kwa kasi. Ni hayo tu na wanaotaka picha za hapo wabunge wekeni namba zenu hapa nitawatumia kwa wasapu au kuziona nifolo katika INSTAGRAMU #NDUKA
 
shaka gani?
 
Mkuu ungetuwekea hata majina machache. Kama umezitambua sura bila shaka majina ya wawili watatu huwezi yakosa.
 
Jana nimemwona mtu kama sugu eneo la benk ya crdb ila alijuwa amevaa pama na miwani myeusi. Yaani aliappear kama marehemu Ditopile
 
Kama wapo Dodoma tatizo liko wapi! Nitashangaa ukisema wamejisajili kwenye mkutano wa BMK lakini kuonekana kwao Dodoma hakunipi shaka. Shujaa wa katiba ya wananchi atajukikana tu mwenye njaa aende tu.
 
Nikiwa kwenye umachinga wangu hapa Dododoma nimekutana na sura nyingi za wajumbe wa bunge maalum la KATIBA wengi wao ni wale wa kundi la UKAWA a.k.a tatu chafu. Wengi wa wajumbe hawa ni wabunge wa CHADEMA, NCCR, CUF na viti maalum vyao. Sio kama hawaruhusiwi kutembelea Dodoma lakini kipindi hiki uwepo wao unatia mashaka na zile ndoto za kuuvunja muungano zinaanza kufifia. Najua wengi wanajiandaa na utetezi wa tumerudi kuitikia wito wa jamii na viongozi wa dini lakini lazima watumbue kurudi kwao kunavipeleka vyama vyao kubaya hasa hiki kinachokufa kwa kasi. Ni hayo tu na wanaotaka picha za hapo wabunge wekeni namba zenu hapa nitawatumia kwa wasapu au kuziona nifolo katika INSTAGRAMU #NDUKA

Mbona waapo wengi mno,usiku wa kuamkia leo nimekutana nao club maisha lakini wanaonekana hawana raha kabisa!
 
Kama wapo Dodoma tatizo liko wapi! Nitashangaa ukisema wamejisajili kwenye mkutano wa BMK lakini kuonekana kwao Dodoma hakunipi shaka. Shujaa wa katiba ya wananchi atajukikana tu mwenye njaa aende tu.

Kuwepo Dodoma si tatizo, tatizo ni kuwepo wakati huu wakiwa wamesusia vikao vya BMK.
 
Mpaka Jana wamerudi 6 tutegemee zaidi wiki ijayo, wameitikia wito wa wananchi kuwaomba warudi bungeni.
 
Vyama vya upinzani wajiangalie sana, wafuasi wao wengi ni njaa sana, yaani milioni 18 zimewachanganya mpaka kuasi maoni ya wananchi.
 
Laki tatu kwa siku si ndogo jamani maana wengine ndo tunaisotea kwa mwezi mzima.Ngoja tu warudi wale mema ya nchi
 
Mleta habari ameulizwa majina ya hao aliowaona Dodoma, anajibu Raya Hamisi. Kumbe kamuona Raya Hamisi halafu akahitimisha kwa heading "Wajumbe wa UKAWA tele Dodoma". Kazi kwelikweli. By the way, huyo Raya ameenda Bungeni au amepita Dodoma akabreak kidogo? Bora hata angeongea nae huyo Raya mwenyewe ambaye ndiye wajumbe TELE.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom