Wajue the Top 10 wa CCM watakaotoa, the top 5, top 3 na the best Spika. Angalizo, si lazima the best ndiye awe Spika, bali the chosen one!

Analysis nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa andiko zuri, ila kwenye kundi la wanaoweza kutoa Spika bora mtoe Mpoki. Ukichunguza utakubaliana na mm.
 
Nimemsoma vizuri mleta mada, nikachambua vizuri wagombea aliowaweka na makundi yao, naona mleta mada anamtaka Dr. Thomas Kashillillah awe Spika ajaye, ngoja nione mwisho wake.
 
mkuu top 6 imesambaa tangu jana wewe ndo unaweka hapo kwamba inaongelewa sana
 
Kwa kuona aibu ccm watatuletea mmoja kati ya wale wanaotajwa sana

Lakini tusitarajie hicho tunachotarajia yani ubora tunaoutarajia kutoka kwa huyo tutayeletewa na ccm

Tujiulize kwanini Ndugai amejiuzulu
Ni kwamba alianza kwenda kinyume na chama
Sasa tunatarajia nini kwa ajaye, kuwa upande wa wananchi au chama?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wanabodi,
Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Leo asubuhi nilipandisha bandiko hili
Kwenye Bandiko hili, nilipendekeza
Kundi la Kwanza: The Top 6 Wanao Tajwa Tajwa Sana
  1. Dr. Tulia Akson- Naibu Spika
  2. Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani.
  3. Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
  4. Dr. Emmanuel Nchimbi
  5. Dr. Thomas Kashililah : katibu wa bunge wa zamani,
  6. Mussa Azzan Zungu.
Kundi la Pili: Top 6 Ambao Watatoa Spika Bora
  1. Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani.
  2. Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
  3. Dr. Emmanuel Nchimbi
  4. Dr. Thomas Kashililah : katibu wa bunge wa zamani,
  5. Dr. George Francis Nangale : Mbunge wa zamani Bunge la EALA
  6. Prof. Handley Mpoki Mafwenga : mtumishi wa serikali / umma- PHD 7
Inaonekana CCM ya Mama Samia ni CCM ya ukweli, imeanza kwa kuwatendea haki Watanzania.
Sasa kumekucha!.

Tetezi toka deep inside CCM, CC, Majina matatu yaliyopitishwa ni
  1. Mtemi Andrew Chenge
  2. Dr. Tulia Akson
  3. Dr. Thomas Kashilila.
Kati ya watatu hao, kuna mmoja tuu ndiye, with definite, can make a Spika Bora, Kuna mmoja, with a definite, can make a Bora Spika, na kuna mmoja ni the underdog, ambaye kwa sasa anaonekana kama ni msindikizaji tuu, akichaguliwa anaweza kuwa ama Spika Bora ama Bora Spika.

Sasa kazi iliyobaki ni kwa Wabunge wa CCM, kutuchagulia mmoja. Kama Wabunge wa CCM wataweka uchama pembeni na kutanguliza maslahi ya taifa mbele, then, watachuchagulia Spika Bora, na kama wakiamua kutuchagulia Spika Bora, then huyo Bora Spika kwenye list hiyo atapata fursa ya kuwa Spika Bora 2025. Ukifanya kazi chini ya Bora Spika, you are likely kuwa Bora Spika, na ukifanya kazi chini ya Spika Bora, you are likely kuwa Spika Bora!.

Inapotokea vita kubwa kati ya Spika Bora na Bora Spika, hapo ndipo the underdog anapoibukia. Kuliko kumchagua Spika Bora mwenye makandokando, au kuchagua Bora Spika asiye na uwezo, wanaweza kumchagua mtu neutral, hivyo msindikizaji ndio akaibuka kidedea!.

Mimi naendelea kuwasisitiza wabunge wa CCM, kuzingatia sana hili

Kazi Iendelee!.

Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…