Wajue the Top 10 wa CCM watakaotoa, the top 5, top 3 na the best Spika. Angalizo, si lazima the best ndiye awe Spika, bali the chosen one!

Chenge namkubali ni msomi mzuri pia anajielewa na anamsimamo kwa Sababu hapendi kubuluzwa lakini shida yake ni mwizi na fisadi in shortly Hana MAADILI YA UONGOZI, kwa kashfa alizonazo kwa Nchi zinazotawaliwa kwa kufata sheria huyu mtu Angekua jera.
 
Wanabodi,

Moja ya udhaifu mkubwa wa media yetu nchini Tanzania, ni uwezo duni kufanya analysis, ili kuzisaidia ngazi za uteuzi za CCM kututeulia Spika Bora.

Spika Job Ndugai, hakuwahi kuwa Spika Bora, bali alikuwa ni Bora Spika, na kupatikana kwake ni kutokana na kutokuwepo kwa uchambuzi yakinifu kabla. Wakati JYN alipoomba uspika, mimi ni mmoja wa wana JF niliotoa angalizo hili Kwa wale mliowahi kufika Kongwa, ni jimbo choka mbaya kiasi kwamba Mbunge wake hafai kwa lolote!, angalizo hilo halikusaidia kitu, tukaishia kupata Bora Spika.

Kujiuzulu kwa Spika JYN, ni muendelezo wa mpango wa Mungu kuibadili Tanzania, alianzia kule juu, na sasa ni kwenye huu mhimili wa pili

Baada ya Watia nia wa Uspika kupitia CCM kufikia 70, miongoni mwao kuna the best of the best atayekuwa Spika Bora, ila tukubali tukatae, atakayechaguliwa ni lazima awe mtu mmoja tuu, na kwa vile huko nyuma CCM imeisha wahi kutuchagulia Bora Spika, CCM isiposaidiwa kumbaini Spika Bora, then wanaweza kutuletea tena Bora Spika, hivyo ni jukumu la sisi Media kum highlight Spika Bora, ili hata ikitokea CCM wametuelia Bora Spika, ni wao, sisi kama media, tutakuwa tumetimiza wajibu wetu.

Kwa kuanzia naomba kwanza tuwagawe 70 kwenye makundi makundi kwasababu sio kweli kuwa wote hao 70 waliojitokeza, ni wote wanautaka usipika, miongoni mwao, wapo watu wanajijua kabisa, hawana uwezo hata chembe hata chembe, hata kuwa balozi tuu wa nyumba 10, hawawezi lakini kwenye usipika wamejitokeza, nia yao sio kutaka uspika bali ni kupush tuu CV zao kwenye ngazi za uamuzi ili kuonyesha na wao wapo, na wafikiriwe kwa uteuzi wowote.

Makundi hayo ni
  1. The Top 5 Wanaotajwa Tajwa Sana
  2. The Top 5 Most Powerful Wenye Good CV who can make a The Best Speaker
  3. The Top 5 Most Prominent kutokana na positions zao
  4. The Top 5 who can make the worst Speaker dictators
  5. The Top 10 Wanaowania ili tuu kukumbushia na wao wapo ili wakumbukwe
  6. The Top 5 Waliotangaza nia ya ili kujitambulisha tuu wapo ili angalau nao wakumbukwe
  7. The Top 5 ya jokers, hawa ni waliotangaza nia ya kuwania uspika just to ku joke tu lakini hawana seriousness yoyote na uspika
  8. The rest ni wametangaza nia ili tuu ku push CV mbele!.
Utaratibu wa CCM kumpata Spika ndio unaotupatia Bora Spika!.
Tukianzia kwa Spika Pius Msekwa alikuwa ni naibu Spika wa Chief Adam Sapi Mkwawa, na hakuwahi kupingwa hadi alipoamua mwenyewe Uspika basi. Msekwa vivyo hivyo aliendelea kugombea bila kupingwa hadi Spika Sitta alipotibua.

Toka Spika Sitta, ukaanza utaratibu wa 1 term Speakeship, kwa Naibu Spika kuwa Spika. Makinda alikuwa naibu Spika wa Sitta, Ndugai alikuwa Naibu Spika wa Makinda, hivyo sasa ilitegemewa Dr. Tulia ndio Spika ajae, tena hata mimi niliwahi kuisikia hii sauti kumhusu Dr. Tulia,
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Akson ndie Spika ajae! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... hili likifanyika, tunakwenda kupata Bora Spika mwingine!.

Je, Tunataka Spika wa Aina Gani Atakayeweza Kufanya Nini?.
Bunge la JYN ndilo Bunge dhaifu kuliko mabunge yote, lilikuwa ni Bunge butu hakuna mfano!.
Je, Bunge letu ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza lenye meno linavyong'ata Serikali. Je, Kuna ubaya tukiiga?, tunataka Spika atakayeongoza Bunge lenye meno!.

Bunge ndilo Bunge lililoongoza kwa kujipendekeza kwa serikali, Bunge butu linaloingiliwa na kunyamaza, linapojikomba na kujipendekeza kwa Rais, linaweza kweli kuisimamia Serikali?!

Bunge hili ndilo Bunge la ajabu kabisa, lilifikia hadi hatua ya kupitisha azimio batili, Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG?. Waheshimiwa wetu, hawakujua kuwa wanapitisha azimio batili kutokana na kuongozwa na Bora Spika, tena ni mimi niliowashtua waheshimiwa wabunge wetu, matokeo ya kupitisha azimio hilo batili... Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba ndipo wakalipuuzia azimio lao batili kimya kimya, ila mpaka hii leo, hata baada ya kuujua ubatili huo, Bunge limenyamaza kimya, hadi leo ubatili huo bado uko kwenye hansard za Bunge, tunataka Spika ambaye hata ruhusu ubatili wa aina hii kwenye mhimili wetu wa kutunga sheria!.

Japo Tanzania ni nchi yenye katiba, na tuna mihimili mitatu ya Bunge, Serikali na Mahakama. Katiba ni mali ya wananchi, hivyo Bunge ndio inapaswa kuwa Mhimili muhimu zaidi kwasababu wabunge ndio wawakilishi wa wananchi wale wenye katiba yao.

Tanzania tulitawaliwa na Uingereza, hivyo mfumo wa Bunge letu ni mfumo unaoitwa Westminster Style, ambapo Bunge ndilo supremacy kuisimamia serikali. Mkuu wa serikali ni Waziri Mkuu, anawajibika kwa Bunge.

Tanganyika baada ya kupata uhuru ile Desemba 9, 1961, Desemba 9 1962 Tanzania ikawa Jamuhuri, Waziri Mkuu wa wakati huo Julius Nyerere, akajiuzulu Uwaziri Mkuu, na tukaanzisha mfumo wa Kimarekani wa Presidential Style, na kuanzisha Executive President, hivyo President wa Tanzania ndio kila kitu, Bunge na Mahakama vyote viko chini yake!. Tunataka Spika atakaweza kuirekebisha hali hii kwa Bunge kuchukua nafasi yake ya kuisimamia serikali. Mkuu wa The Executive atateua tuu viongozi wakuu, lakini lazima waidhinishwe na Bunge!.
Tunataka Spika wa kurudisha heshima ya Bunge.

Kati ya wote walioomba kugombea Uspika, mimi namuona ni mtu mmoja tuu mwenye boldness ya kuleta mageuzi haya na simuoni mwingine yoyote zaidi yake!.

Wagombea nilio bahatika kuwajua ni hawa (mtu mwenye list ya wote 70, anisaidie)
  1. Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani
  2. Dr. Tulia Akson - Naibu Spika wa Bunge.
  3. Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani
  4. Sophia Mathayo Simba : Waziri wa zamani wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Utawala Bora), ni Mwenyekiti wa zamani Umoja wa Wanawake Tanzania UWT
  5. Dr. Mussa Shafii Ngonyani
  6. Wakili Faraji Rushagama
  7. Rahmaddin Rashid Ismaili - mwanafunzi UDSM
  8. Hamisi Rajabu
  9. Festo John Kipate
  10. Dr. George Francis Nangale : Mbunge wa zamani Bunge la EALA
  11. Barua Abdi Mwakilanga : mwanadiplomasia toka Buguruni DSM.
  12. Zahoro Rashid Hanuna : Afisa Biashara Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
  13. Thomas David Kirimbunyo
  14. Angelina Bello John
  15. Eng. Abdulaziz Jahad Hussein
  16. Dr. Thomas Kashililah : katibu wa bunge wa zamani
  17. Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
  18. Mussa Azzan Zungu : meya wa zamani wa Ilala Dsm.
  19. Joseph Musukuma :
  20. Ezekiel Maige : waziri wa zamani
  21. Asia Juma Abdallah : mkuu wa wilaya wa zamani
  22. Dr. Titus M. Kamani : waziri wa zamani
  23. Tumsifu Mwasamale : Afisa Maendeleo ya vijana mkoa wa Dodoma
  24. Prof. Handley Mpoki Mafwenga : mtumishi wa serikali / umma
  25. Goodluck Mlinga : mbunge wa zamani wa CCM
  26. Prof. Norman Adamson Sigala : mwanasiasa toka jimbo la Makete, msomi mhadhiri
  27. Hatibu Madata Mjega :
  28. Dr. Linda Salekwa Ole Saitabau : mhadhiri chuo Kikuu cha Teknolojia Mbeya na mtafiti wa magonjwa yanayoambukiza na chanjo
  29. Emmanuel Simon Sindama
  30. Bi. Uwesu Msumi
  31. Hilal H. Seif
  32. Wakili Emmanuel Paul Mngare
  33. Athumani Mfutakamba
  34. Wakili Nduruma Majembe
  35. Mwemba Burton Mwemba : marketing expert and media presenter / msanii Mwijaku
  36. Henry Erasto Kessy
  37. Josephat Malima
  38. Adam Nyanyavanu
  39. Eng. Stella Manyanya: mkuu wa mkoa wa zamani
  40. Andrew Kevella
  41. Luhanga Mpina
  42. Hussein Migoda Mattaka
  43. Dr. Godwin Maimu : expert in CAPACITY BUILDING AND MICROFINANCE SERVICES
  44. Mohammed Ali Mmanga : mgombea ubunge wa zamani
  45. Esther Stefano Makazi : Kada wa CCM
  46. Comrade Amos Sollo : Mwanafunzi Chuo Cha Elimu ya Juu
  47. Godwin Kunambi - mkurugenzi wa zamani wa jiji la Dodoma
  48. Goodluck ole Medeye
  49. Juma Hamza Chumu
  50. Baraka Omary Byabato
  51. Hamidu Chamani : kada wa chama, Mtaalam mbobezi wa masuala ya kodi
  52. Fikiri Saidi : mkuu wa wilaya wa zamani
  53. Bi. Dotto Balele Mgasa
  54. Wakili Onyango Otieno
  55. Eng. Samuel Hayuma
  56. Merkion Ndofi
  57. Abwene Majula
  58. Patrick Nkandi
  59. Dr. Edison Wazoel Lubua : Doctor of Philosophy (PhD)Information Systems & Technology
  60. Alex Msama
  61. Samwel Magero : mjumbe wa Kamati kuu Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA),
  62. Peter Mjemu : mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Chato mwaka 202
  63. Burton Mwemba (Mwinjaku)
  64. Dr. Emmanuel Nchimbi
Kundi la Kwanza: The Top 6 Wanao Tajwa Tajwa Sana
  1. Dr. Tulia Akson- Naibu Spika
  2. Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani.
  3. Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
  4. Dr. Emmanuel Nchimbi
  5. Dr. Thomas Kashililah : katibu wa bunge wa zamani,
  6. Mussa Azzan Zungu.
Kundi la Pili: Top 6 Ambao Watatoa Spika Bora
  1. Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani.
  2. Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
  3. Dr. Emmanuel Nchimbi
  4. Dr. Thomas Kashililah : katibu wa bunge wa zamani,
  5. Dr. George Francis Nangale : Mbunge wa zamani Bunge la EALA
  6. Prof. Handley Mpoki Mafwenga : mtumishi wa serikali / umma- PHD 7
Kundi la 3 : The Top 5 Most Prominent kutokana na positions au waliwahi kushika

  2. Dr. Tulia Akison- Naibu Spika wa sasa
  3. Mussa Azzan Zungu- mbunge
  4. Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
  5. Sophia Mathayo Simba : Waziri wa zamani wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Utawala Bora), ni Mwenyekiti wa zamani Umoja wa Wanawake Tanzania UWT
The Top 5 who can make the worst Speaker dictators
  1. Prof. Handley Mpoki Mafwenga : mtumishi wa serikali / umma- PHD 7
  2. Mussa Azzan Zungu- mbunge
  3. Dr. Tulia Akison- Naibu Spika wa sasa

  5. Athumani Mfutakamba
Kundi la 6 : The Top 10 Wanaowania ili tuu kukumbushia na wao wapo ili wakumbukwe, ila uspika hawauwezi
  1. Sophia Mathayo Simba : Waziri wa zamani wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Utawala Bora), ni Mwenyekiti wa zamani Umoja wa Wanawake Tanzania UWT
  2. Athumani Mfutakamba- Naibu Waziri wa zamani
  3. Goodluck ole Medeye- Naibu Waziri wa zamani
  4. Luhaga Mpina
  5. Prof. Norman Adamson Sigala : mwanasiasa toka jimbo la Makete, msomi mhadhiri
  6. Ezekiel Maige : waziri wa zamani
  7. Godwin Kunambi - mkurugenzi wa zamani wa jiji la Dodoma
  8. Dr. Titus M. Kamani : waziri wa zamani
  9. Eng. Stella Manyanya -Naibu Waziri wa zamani
  10. Eng. Samuel Hayuma- Naibu Waziri wa zamani.
Kundi la 7: The Top 3 ya jokers, hawa ni waliotangaza nia ya kuwania uspika just to ku joke tuu lakini hawana seriousness yoyote na uspika
  1. Dr. Joseph Kasheku Musukuma- Mbunge wa Geita
  2. Alex Msama- Muandaaji matamasha ya muziki wa Injili.
  3. Burton Mwemba (Mwinjaku)
  4. Rahmaddin Rashid Ismaili - mwanafunzi UDSM
Makundi hayo ni analysis yangu kwa wale tuu ninaowafahamu, inawezekana kuna wengine wengi tuu ni wazuri kushinda hawa, ila kwa vile sikubahatika kuwafahamu, mtanisamehe.

Sasa kwa vile Nafasi inayogombewa ni 1 tuu, na kwenye lile kundi la 1, kila mmoja wake, mimi niliwahi kumuandikia kitu humu, hebu jijikumbushe niliwahi kusema nini kuhusu watu hawa, na based on hiki nilicho kisema, angalia mwenyewe, nani kati ya hawa, anaweza kutupatia Spika Bora?.

1. Dr. Tulia Akson-
2. Andrew Chenge

3. Azzan Zungu
4. Steven Masele.

Hivyo mimi kama mwana jf na mwana habari, nimetimiza wajibu wangu, kazi ni CCM kututeulia jina la Spika aBora, ila hata ikitokea CCM ikatuletea tena Bra Spika kama kawaida yake, tutampatia ushirikiano wa kutosha.

Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Mkuu P, bila shaka wewe ni katika best of the best journalists hii nchi imewahi kutoa...

Naomba kwa hisani yako, siku moja uje na uzi unaoeleza kwa nini hatuna analyst wa level yako....hata audacity ya kuongea kwa uwazi pia haipo...kila ninaposikiliza radio zetu, aibu huwa naiona mimi jinsi vijana wanavyotoa utopolo, just pathetic!
 
Andrew Chenge is good but is in his sunset years, where do you want him to lead us to? To the grave?
Masele is the guy.
 
kwa ujumla watanzania wanataka Spika sio tu awe Mtaalamu na Mzoefu bali pia awe Mwadilifu tusiwe na mashaka naye ktk suala la uadilifu wake.

Wataalamu, wasomi na wazoefu walio bobea tunao wengi sana hapa Tanzania, tatizo kubwa wengi wao si waadilifu, ukosefu wa maadili tatizo kubwa.
 
Update
Wanabodi,
Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Leo asubuhi nilipandisha bandiko hili
Kwenye Bandiko hili, nilipendekeza
Kundi la Kwanza: The Top 6 Wanao Tajwa Tajwa Sana
  1. Dr. Tulia Akson- Naibu Spika
  2. Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani.
  3. Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
  4. Dr. Emmanuel Nchimbi
  5. Dr. Thomas Kashililah : katibu wa bunge wa zamani,
  6. Mussa Azzan Zungu.
Kundi la Pili: Top 6 Ambao Watatoa Spika Bora
  1. Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani.
  2. Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
  3. Dr. Emmanuel Nchimbi
  4. Dr. Thomas Kashililah : katibu wa bunge wa zamani,
  5. Dr. George Francis Nangale : Mbunge wa zamani Bunge la EALA
  6. Prof. Handley Mpoki Mafwenga : mtumishi wa serikali / umma- PHD 7
Inaonekana CCM ya Mama Samia ni CCM ya ukweli, imeanza kwa kuwatendea haki Watanzania.
Sasa kumekucha!.

Tetezi toka deep inside CCM, CC, Majina matatu yaliyopitishwa ni
  1. Mtemi Andrew Chenge
  2. Dr. Tulia Akson
  3. Dr. Thomas Kashilila.
Kati ya watatu hao, kuna mmoja tuu ndiye, with definite, can make a Spika Bora, Kuna mmoja, with a definite, can make a Bora Spika, na kuna mmoja ni the underdog, ambaye kwa sasa anaonekana kama ni msindikizaji tuu, akichaguliwa anaweza kuwa ama Spika Bora ama Bora Spika.

Sasa kazi iliyobaki ni kwa Wabunge wa CCM, kutuchagulia mmoja. Kama Wabunge wa CCM wataweka uchama pembeni na kutanguliza maslahi ya taifa mbele, then, watachuchagulia Spika Bora, na kama wakiamua kutuchagulia Spika Bora, then huyo Bora Spika kwenye list hiyo atapata fursa ya kuwa Spika Bora 2025. Ukifanya kazi chini ya Bora Spika, you are likely kuwa Bora Spika, na ukifanya kazi chini ya Spika Bora, you are likely kuwa Spika Bora!.

Inapotokea vita kubwa kati ya Spika Bora na Bora Spika, hapo ndipo the underdog anapoibukia. Kuliko kumchagua Spika Bora mwenye makandokando, au kuchagua Bora Spika asiye na uwezo, wanaweza kumchagua mtu neutral, hivyo msindikizaji ndio akaibuka kidedea!.

Mimi naendelea kuwasisitiza wabunge wa CCM, kuzingatia sana hili

Kazi Iendelee!.

Paskali

Paskali umetoa bonge ya analysis.

Tanzania media imekosa critical thinkers na analysts. Tuna watu wazuri sana na wabobevu wa ku-report, kuwa wa kwanza ku-report ili apate followers twitter, instagram na fb na sio kuja na critical analysis ambayo itatuandaa Watanzania kujua kwanini twahitaji mkuu wa nyumba mwenye kulinda na kutetea maslahi ya Watanzania kwa kuisimamia executive branch na kulinda maslahi ya wananchi.

Kupata spika ambae anajikomba au anataka kuwa loyal kwa executive branch, hiyo itakuwa bonge ya loss.

Mwisho japo sio kwa muhimu, mtendee haki Luhaga Mpina kwa kumtambua kama waziri wa zamani

Mkuu Paskali, I salute you.
 
Back
Top Bottom