Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Niliwahi kusoma kitabu cha secret terror.. Jamaa wana mikakati sana.. Hata kuizamisha meli ya titanic ilikuwa ni mpango wao..... Ili wabaki na utajiri wa fedha iliyokuwa ya jumuia ya matajiri wa ulaya ambao walibifadhi mzigo bank kuu ya marekani ambayo rockerfeller wana say kubwa ......
 
Zimbabwe wanatumia dollars?
 
Ndugu zangu mbona hamleti jibu jamani?niliwapa kahome work sijui mmekasahau?niliwaomba mgeuze neno "illuminati"kinyume.Kwa kifupi linakuwa "itanimulli",sivyo?sasa bonya hiyo itanimulli.com!nini kinafunguka jamani?
Imeniletea NSA au NSS
 
Nimejifunza mambo mengi sanaaa wala sikuwahi kudhani wala kuhisi yapo ahsante mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…