Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,579
Hapo Ankali ROBERT HERIEL umenena kweli kabisaMbali na hivyo kuna Ajali zipo nyingi tuu, unaweza kupatwa na ugonjwa au Ajali itakayokufanya ushindwe kuendelea na kazi.
Alafu muda huo hauna nyumba, mbona chamoto utakipata.
Watu wanasahau kua NHIF imekufa kwa mujibu wa Ummy Mwalimu sasa itabidi wachukue ushauri wako
Na kwa maisha ya sasa Afya ndio kila kitu ukiondoa pesa maana huwezi fanya kazi km afya yako itakua imeingia kwenye mgogoro wa hapa na pale

