Watu bana hawachoki kuibiwa wala hawakomi kabisa asee, jana nilipita mitaa ya buzuruga ctand pale nikamwona kijana wa kisukuma kaliwa zaidi ya laki moja aliyokuwa ametumwa akanunue mzigo, serikali ikwapi kuwaona hawa jamaa wanaochezesha huu mchezo wa kitapeli?
aisee hawa jamaa huwa wana kibali?polisi huwa wanachukua kamishine na ninao ushahidi.
ila kuna siku mjeshi aliliwa pale sahara akawaomba wamrudishie hela jamaa wakagoma.
_mjeshi alikuwa kavaa kiraia aliondoka kwenda kambini wakaja na difenda mbili walikomba kila kitu pamoja na hema
Hahaaaa!! Umenichekesha kweli,polisi huwa wanachukua kamishine na ninao ushahidi.
ila kuna siku mjeshi aliliwa pale sahara akawaomba wamrudishie hela jamaa wakagoma.
_mjeshi alikuwa kavaa kiraia aliondoka kwenda kambini wakaja na difenda mbili walikomba kila kitu pamoja na hema
Wana kibali kama ilivyo kwa wachezesha KOLOKOLO na ndio maana mara nyingi huwa wapo na hiace yao pembeni ya kusombea vitu, ndio hivyo tena formula ni moja tu "ukiona mtu anaonyesha kukupatia ela ya kiulaini na si mtu wako wa karibu inabidi ujiulize mara mbilimbili"aisee hawa jamaa huwa wana kibali?
kwanini wasipigwe marufuku!hawa majamaa wanaliza watu ile mbaya
Aisee basi tu kama wanakibali,ila huu mchezo haukustahili kuwa na kibali,maana wanakula hela za watu kirahisi mnoWana kibali kama ilivyo kwa wachezesha KOLOKOLO na ndio maana mara nyingi huwa wapo na hiace yao pembeni ya kusombea vitu, ndio hivyo tena formula ni moja tu "ukiona mtu anaonyesha kukupatia ela ya kiulaini na si mtu wako wa karibu inabidi ujiulize mara mbilimbili"
Watu bana hawachoki kuibiwa wala hawakomi kabisa asee, jana nilipita mitaa ya buzuruga ctand pale nikamwona kijana wa kisukuma kaliwa zaidi ya laki moja aliyokuwa ametumwa akanunue mzigo, serikali ikwapi kuwaona hawa jamaa wanaochezesha huu mchezo wa kitapeli?
Maafisa wa bahati nasibu wao wanasimamia zile kubwa kubwa zenye posho nene wanasahau kuja huku chini, kwa namna ya uchezaji huo mchezo kiukweli unatakiwa ufutwe maana wakiona mtu saizi yao kwanza mnazawadiwa kila mtu beseni alafu unaanza kushawishiwa kucheza na unaona wenzako mliopewa zawadi ya beseni wanashinda unaliwa kumbe wale wengine ni wao. (alafu wametega pazuri kweli wanaoshuka na kwenda stand maana mtu unaweza ukala nauli au alieshuka akala ada though sio wote wa vijijini wanaoliwa maana kuna wengine wa born and die here here wanapigwa tu hata wanajeshi)Aisee basi tu kama wanakibali,ila huu mchezo haukustahili kuwa na kibali,maana wanakula hela za watu kirahisi mno
Mkuu usinikumbushe... Mie niliwahi kuliwa sh. 400 miaka ya 90's niliyokuwa nimetumwa dukan. Now days nikiwaona hiwa nakwepesha hata shingo...
Nawachukia kufa!!!
tutakula wapi? halafu nyie ndo wachochezi kwa serikali yetu sikivu.Aisee basi tu kama wanakibali,ila huu mchezo haukustahili kuwa na kibali,maana wanakula hela za watu kirahisi mno