Sometimes no need to make argument with person who have elements of politics. Mwali, just go and take a bath so that others can live, because unanu.. na unaboaMbona unatoa mapovu hovyo sasa? weka source ya ulicho sema hapa tusome.
Kama hakuna basi the world needs both of us, me in the role of beauty and wisdom
hahahahahahaha we njoo hapa samora mujini kati mbona utayaona mengi ndugu yangu. Unadhani huko wanaona ndani ukilinganisha na hapa townYaani nimecheka kwa nguvu na niko peke yangu ofisini, nikiimagine mama anataka ampe kanga yake alojitanda.
Haya bwana, l give up maana vimini vya huku buzebazeba kumbe kwa mujini ni madera. LOL
The liberty of the individual must be thus far limited; he must not make himself a nuisance to other people.
John Stuart Mill
Basi ndio umkute Bi Chausiku naye katinga this way Samora Avenue saa 7 mchana na kajasho ka mimba. Mbaya zaidi ukute ana tabia mbaya kama Kongosho (za kutobeba leso), we Kaunga wee, mswalieni mtume jamani!
chezeya mujini wewe...... nakuambia wewe ndo utaona aibu my dearYaani nimecheka kwa nguvu na niko peke yangu ofisini, nikiimagine mama anataka ampe kanga yake alojitanda.
Haya bwana, l give up maana vimini vya huku buzebazeba kumbe kwa mujini ni madera. LOL
sasa huko buzebazeba mnavaa hivi rafiki?hahahahah, na mishipa imemkakamaa kwa adha ya viatu na kukimbilia appointment. Ila tuache utani, sidhani kama wabongo tumefikia hapo; ila nimeshakubali huku kwetu kigoma ujiji vimini ni kwenye goti sasa hiyo ya 1/4 ndo kwanza naiona kwa picha kama uliyobandika.
wow nimeipenda hiiiha haaaa, mwenzio nimekuwa clever.....
huwa sipendagi kujua sex ya mtoto kabla sijajifungua, kwa hiyo shopping za mwanzo huwa nguo zinakuwa unisex.....
kwa hiyo kila mtoto nimemwekea ki-unisex chake, haitakuwa kama yako....
hao wakamwana hawatanipa shida rafiki, kama hawatataka nguo ya mama mkwe wala haitaniumiza, after all wanaweza wasiwe na mwili kama wangu kwa hiyo zisiwatoshe
ha haaaa, mwenzio nimekuwa clever.....
huwa sipendagi kujua sex ya mtoto kabla sijajifungua, kwa hiyo shopping za mwanzo huwa nguo zinakuwa unisex.....
kwa hiyo kila mtoto nimemwekea ki-unisex chake, haitakuwa kama yako....
hao wakamwana hawatanipa shida rafiki, kama hawatataka nguo ya mama mkwe wala haitaniumiza, after all wanaweza wasiwe na mwili kama wangu kwa hiyo zisiwatoshe
Hahahahahahahaa yaani umenichekesha Kaunga nakumbuka kipindi niko mjamzito kila nikipita sehemu nasema kigauni kile nitamnunulia mwanagu nikijifungu lkn mwenzio sikununua kabla basi baada ya kujifungua kumbe dume bado nilimpenda , nilibatika wa2 akawa mdada lol.
umenena..alafu.eti uwa inakuaje wakat wa ujauzito shingo inakua kama chafu hivi?..yaan hata ulioga na kujisugua vipi lakini bado tu,,hiyo inatokana na nn?
asante rafiki, ndo mchezo wangu mwenzio, lol!wow nimeipenda hiii
Dalili zote za kuishiwa hoja. Unakuja na vimaneno vya khanga na taarab sababu huna evidence.Sometimes no need to make argument with person who have elements of politics. Mwali, just go and take a bath so that others can live, because unanu.. na unaboa
Wengi nadhani watakuwa wanapoza injini tu...huwa nasikia mwanamke mjamzito ana kifanyio cha motoooo!!!
wanangu najua jinsia zao siku wanayozaliwa, IN JESUS NAME, AMEN.......Sema hupendi kujua parts za mtoto sio sex. Hata ukijifungua huwezi kujua sex ya mtoto. Kwani hawa 'waliberali' si wapo wenye maumbile ya aina zote, ila jinsi zao tunakuja kuzijua wakifika umri wa Juliana Shonza.
sasa huko buzebazeba mnavaa hivi rafiki?
hahahahah, na mishipa imemkakamaa kwa adha ya viatu na kukimbilia appointment. Ila tuache utani, sidhani kama wabongo tumefikia hapo; ila nimeshakubali huku kwetu kigoma ujiji vimini ni kwenye goti sasa hiyo ya 1/4 ndo kwanza naiona kwa picha kama uliyobandika.
Dalili zote za kuishiwa hoja. Unakuja na vimaneno vya khanga na taarab sababu huna evidence.
going forward take a lesson here: Never make affirmations you cannot prove! Simple and clear
Eti vaginal temperature of pregnant women rises na ndio maana hawatakiwi kuvaa chupi.
Do you even realise what a aberation this is? do you know how frail the vaginal flora is during pregnancy?
Did you think, even for a minute that what you are saying here is dangerous? oh sorry...
One needs a BRAIN to think...
Paloma, nakubaliana kabisa na wewe kuna watu hawapendezi kabisa na madela, mimi mmoja wapo, yaani nikiwa mjamzito hunivalishi dela.....hii hutokana na mwili wa mtu
nina vinguo ambavyo kweli unaweza kuvivaa, ukapendeza, na ukatoka hakuna mtu akageuka kukuangalia ulivyovaa. lakini kuna vinguo ambavyo nadhani charminglady anavisemea, ni kwamba yule mama akipita lazima wewe mwangaliaji utaona aibu. siyo kabisa, na badala ya kumpendeza inamdhalilisha.
mimi sijui niseme nina bahati au la, huwa sina tumbo kubwa sana, ninapokuwa mjamzito watu wanapokuja kuhisi kuwa mjamzito huwa nimeshasogeza miezi kadhaa.... watu wanapoona kuwa huyu mama ni mjamzito wiki inayofwatia wanaambiwa nimejifungua, wanaulizana tu kama pre-mature au vipi. lakini najua kabisa ninapokuwa hivyo natakiwa kujisitiri, hata kama tumbo halijachomoza sana.
rafiki yangu Kaunga ananiambia tabia haipimwi kwa mavazi, nakubaliana naye kabisa, lakini hapa mimi naona tunazungumzia zaidi kujisitiri kuliko tabia. tuvae kwa kujisitiri tutapendeza tu.
ha haaa, tena umenikumbusha vitenge huko kwenu.....huku yaani ni full mavitenge tena yale unafunga la kwanza halafu la pili unalikunja kidogo halafu unafunga tena juu yake; na joto la huku you can imagine.
Kwa wale wengine ni uninja kwa kwenda mbele, halafu kama hujajua madela yaliyoko kariakoo yanachukuliwa sana na sisi wa buzebazeba na Buyenzi ya Bujumbura.
So njoo wewe na kinguo chako 'decent', mbona tutakupopoa na maembe. LOL Ila usijali nitakupa company mimi niliyezoeleka na mavazi yaso na adabu.
namshangaa sana huyu member anakuja kufungua bakuli lake kutema pumba,Unamuonea bure, yaani si level yako kabiiiiiiiisaaaaaaaaaaaa.