Mabadiliko ni kuingezeka kwa gharama toka sh 200/- hadi sh 500/- lakini muda wa matumizi ni uleule. Kwakuwa ninatoka kwenda kwenye mihangaiko, sijaitumia na kupima speed kama ni ile ile au wameibana.
Mabadiliko ni kuingezeka kwa gharama toka sh 200/- hadi sh 500/- lakini muda wa matumizi ni uleule. Kwakuwa ninatoka kwenda kwenye mihangaiko, sijaitumia na kupima speed kama ni ile ile au wameibana.
Ni kweli wamepandisha Nauli maana hata ukibofya ile 1 wanakwambia Nauli 500 muda ni ule ule ila speed sijajua bado.
Jamaa wanajua kucheza na akili za wateja so mabundi Kazi ni kwetu.
Jamaa wamesikiliza kilio cha wateja so wakaona wacha tuwarudishie ila nauli ipande, kwa upande wangu sioni tatizo nitaendelea kulipanda tu mwanakwetu 500 siyo neno maana ukilinganisha na offer za 500 za mitandao mingine wajanja inabaki kuwa best ilimradi wasitubanie mwendo kasi tu.