Wajanja Night is back

Wajanja Night is back

Shs 500 bado ni kubwa ukilinganisha na spidi ndogo tunayopata kwene baadhi ya maeneo, kukatikakatika na wale wangine ambao inabidi mchana tununue bando nyingine ili maisha yaende.
 
Nadhani cha kwanza leo nitashusha windows 8 kisha nitafute external hdd moja matata. Haya mabundi kazi kwetu tena.
 
mabundi walipata mshituko mkubwa sana jamaa walivyoizima iyo huduma
 
1016070_382407825214093_1380930605_n.jpg


great news kwa mabundi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom