Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,738
size, area & scientific observations
In which sample and methodology?
In which sample and methodology?
size, area & scientific observations
Umefafanua vizuri sana illuh. tatizo langu ni wao kualalamika ugumu wa maisha wakati unamuona kabisa mambo yake safi...
Conducted by which relible institute or registered organisation based on statistics?
Poor Perception Man , yani kisa mtu amefiwa akingaa ndio useme yuko mawindoni? Unataka mtu atangaze shida zake kwa kuwa rough , amepauka, nguo zimechanika? You can mourn and still remain smart and attractive.
Isije ikawa anaishi kwa matumaini maana ARV zinanenepesha. Theory nyingine ni kutumia uzazi wa mpango ili asije pata aibu kwa kupata mimba (effect ya uzazi wa mpango ni kunenepa mara nyingi). Ingawa inaaminika kuwa mwanamke akipata stress hunenepa maana kimbilio lake ni kufakamia misosi ilhali mwanaume akipata stress hukosa hamu ya misosi na kujikuta akikonda. Anything might be possibleyani kuna shangazi yetu mmoja acha tu.....kapendeza balaa....yani kawa mzuri kanawiri.....sijui nini siri ya mafanikio.....au ndoa yake ilikuwa ndoano ila baada ya anko kufariki kapata nafuu......
Ukitaka uhakika wa hilo nenda kafanye risech maeneo ya kimara, na huko mbeya nenda soko matola na nonde;
ukaone wamama walivyonawiri baada ya kubaki wajane;
Duu naona umeikimbilia fursa mkuu.dah mkuu,nahisi ushaingiwa na ka uroho kwa shemeji yetu huyo.anyway ukinipm ka picha kake haitakuwa mbaya
Ukitaka uhakika wa hilo nenda kafanye risech maeneo ya kimara, na huko mbeya nenda soko matola na nonde;
ukaone wamama walivyonawiri baada ya kubaki wajane;
Huu sasa ni utoto, Unataka kutupeleka wapi?hakuna mchagga anaeweza kusikitikia hili suala la kufiwa na mume....(sorry)
Jamani huku kunawiri kwa ghafra kwa baadhi ya wajane hakuna uhusiano wa karibu na matumizi ya ARVs?
Najaribu kufikiria tu kwa sauti,kupitia maandishi na hadi nje ya boksi.
Maneno yako ni sawia.Ila,hapo kwenye mkazo wa rangi panafikirisha zaidi.Mie ninatofautiana kidogo na wenzangu waliotangulia kutoa hoja zao
WANAUME ni wenye upendo kutoka rohoni ndo maana wakifiwa na wake zao, part of them is gone!, wanayauka na waksiposaidiwa...wanawafuata wake zao peponi/kuzimu.
Na kushindilia hoja yangu kwenye dini ya kikristo.....imesemwa wanaume wapendeni wake zenu. Wanawake ...watiini waume zenu!
Sasa WANAWAKE ,ni shidaaa! Yaani mume akifa anakuwa kama daktari wa zahanati anayebonyeza kengele mgonjwa mwingine aingie!
Am strong......!!teh teh
Basi ni taabuHapana, kuna vitu vidogo tu unaangalia kwa mtu yeyote...mavazi inaweza ikawa kipimo au isiwe. Mtu anavyotembea, muonekano wake na hata maongezi. Kama halimbaya hata ukivaa vizuri upendezi na hata ukipaka lotion kopo zima hung'ai. wanawake wengi wanapenda kuvaa madini kama gold n.k. viatu na mikoba wanayobeba pia nikikuangalia ntakujua tu.
Mmmhhhh!!!!