Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
sijui kama ni kweli
tutafanya tathmini baada ya saa 24 ya uwepo wa uzi huu
sijui kama ni kweli
tutafanya tathmini baada ya saa 24 ya uwepo wa uzi huu
sure,too strong to be weak
Weweeeeee.....haya tu
Wanaume hujisahau
Ila wanaume huwa ni tegemezi sana kwa mwanamke ndio maana huchanganyikiwa, mfano utakuta mwanaume anamtegemea mwanamke, kumpikia, kumfulia, kumpigia pasi, Mshauri wake ..kila kitu yeye anakuwa mtoto na mke kama mama..so mwanamke akiondoka lazima mwanaume achanganyikiwe...
Ila panaoondoka baadhi ya wanaume wanawake hunawiri sababu utakuta baba yeye alichokuwa anakijua ni kumpa tuu mama hela au kumuwekea mama hela mezani...Vingine hakuna...Wanaume wengi wanaishi na wake zao kama Madicteta nyumbani...Baba akiwepo watoto, mama wanakuwa waoga, Baba akiwepo nyumbani hakuna tabasamu, hakuna utani, baba yeye ni ubusy ubusy na yeye...Lazima siku akiondoka mwanamke awe huru japo atakuwa amemis Mshobobo tu. Na ukichangia tena wanawake wa leo wanafanya kazi tena hela wanapata ndio baas atanawiri hasa..
Ukitaka uhakika wa hilo nenda kafanye risech maeneo ya kimara, na huko mbeya nenda soko matola na nonde;
ukaone wamama walivyonawiri baada ya kubaki wajane;
i mean when the huuby is gone,gone forever,never to see him again.when the kids have no one to call father.you will prove my point
yuko mawindoni
Naelewa sana tu coz naishi dunia hii hii yenye machafuko mengi.Bahari imechafuka sana tu....kuna baadhi ya mizigo watu wamebeba moyoni lakin once anapoutua anapata relief.
Ndo utaona mtu anapata nuru....watu kilichowafunga ni hio ndoa tu lakini wana shida sana na kutoka anaona aibu +jamii itamuonaje anakubali kufa na tai shingoni.
Kwanini kimara, matola na nondeUkitaka uhakika wa hilo nenda kafanye risech maeneo ya kimara, na huko mbeya nenda soko matola na nonde;
ukaone wamama walivyonawiri baada ya kubaki wajane;
Umefafanua vizuri sana illuh. tatizo langu ni wao kualalamika ugumu wa maisha wakati unamuona kabisa mambo yake safi...
Ukitaka uhakika wa hilo nenda kafanye risech maeneo ya kimara, na huko mbeya nenda soko matola na nonde;
ukaone wamama walivyonawiri baada ya kubaki wajane;
How do u rate kuwa mambo ya mtu ni safi? kwa kunawiri na kupata lipstick? Au anamaanisha karo za watoto na kodi ya nyumba inampiga chenga. Mkuu inaonekana mtu akiomba hela kwako inabidi nguo zake ziwe chakavu, amekonda nk?