Waitara: Watakachofanywa wanaomuita Rais mshamba

Mbona siku hizi ana hasira sana, anajaribu kwenda na kasi ya wapiga mapambio anajikuta ana exergrate! Hahahahaaa
 
Ha ha ha, akiwa huku ni kamanda akiwa kule ni jambazi. Upuuzi mtupu.
Tazama anavyo behave akiwa Ccm sivyo alivyokuwa anaishi huku chadema, huku kwetu kuna malaika ukiwa na malaika.unakuwa malaika, ukiwa na mashetani lazima uwe shetani, kwa hiyo ni sahihi kabisa kusema Kwtu alikuwa Kamanda, na sasa kawa Jambazi.
 
Tazama anavyo behave akiwa Ccm sivyo alivyokuwa anaishi huku chadema, huku kwetu kuna malaika ukiwa na malaika.unakuwa malaika, ukiwa na mashetani lazima uwe shetani, kwa hiyo ni sahihi kabisa kusema Kwtu alikuwa Kamanda, na sasa kawa Jambazi.
Malaika fanyeni ukarabati wa makao makuu, sio kukaa kupiga porojo na kungojea msimu wa kuzungusha mikono.
 
Ndiyo maana kachaguliwa, angalia fikra zake zilivyo, tako kabisa
 
Kama akiwa chadema alikuwa jambazi halafu mkamnunua tena kwa mshiko mrefu, basi ccm ni maharamia
 
Huyo naye ni walewale,naye mshamba na mpumbavu anatafuta uungwaji mkono kura za maoni 2020 na hatopita ndiyo atajua utapeli Wa CCM.
 
Masikini Waitara! Angesoma historia ya Rwanda before genocide. Kuna watu wameshtakiwa Rwanda, Arusha mahakama ya kimataifa na wengine huko ulaya kwa matamshi yao kabla ya mauaji ya kimbari.
Sasa Waitara naye kwa Ushamba na ujinga wake anabebwa kujiingiza kwenye kauli za kipumbavu zitakazo mcost kama machafuko yakijitokeza.
Nani alimwambia kuitwa mshamba ni tusi? Aache kujipendekeza mpaka anajichomeka kwenye jinai bila kujua.
Kweli Waitara in MSHAMBA SANA
 
Ona sasa, Waitara anamkashifu Rais hadharani kwa kumuita mshamba. Alimsikia nani kama siyo yeye mwenyewe kaamua kumwita hivyo!!!?
Hivi huyu anajua hata majukumu ya Tamisemi!!? Hivi anajua kuwa hii ndiyo Wizara pekee inayobeba maana ya maneno "demokrasia na ushirikishwaji wa wananchi." Yaani haya malevi yakipewa madaraka hulewa kuliko pombe yenyewe!!!
 
Kuna hati hati wahamiaji haramu wakatupwa kama kondomu hawana chao 2020,je cha pombe atarudia kazi yake ya awali ya kutembeza Mayai?
 

Attachments

  • Screenshot_2019-07-30-18-06-56.png
    456.2 KB · Views: 17

Hawa vipofu wafungwa watarajiwa unadhani wanaelewa uzuri Google utunza kila kitu,watazikana kauli zao mahakamani siku moja."wapotezwe,kipigo cha mbwa koko,hadi wachakae,tutawamalizana gizani,watiwe mimba, wapumbavu,nk.
 
Huyo naye ni walewale,naye mshamba na mpumbavu anatafuta uungwaji mkono kura za maoni 2020 na hatopita ndiyo atajua utapeli Wa CCM.

Uvccm wamesema watasaliti ikiwa wahamiaji haramu watarudishwa kugombea hatihati wanakwenda pigwa chini wote hivo wanatapatapa waonewe huruma
 
Washamba watatuletea machafuko nchini wametengeza uhasama vyema tuwarudishe makwao2020
 
Hugo ng'ombe aside na mkia naona anajaribu kupambana ili Nate wamuone anamkia ng'ombe wenzake punga kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…