Waitara: Watakachofanywa wanaomuita Rais mshamba

Katika kujua kusoma hakuhitaji maandishi peke yake bali kunahitaji kile ambacho unakwenda kukisoma kama mkweli ni maandishi au la.
Pameanza kusomeka japo kinachosomeka sasa ni picha ya maandishi yaliyopita.
 
Kwenye hoja maana zinazohusu mstakabali wa nchi hii kama kudhalilisha viongozi baadhi wa wana-jf wanazama chini ya radhi na kuibuka kwenye porojo, kejeli, mipasho, matusi na vitisho kwa raia! Hii nchi imeharibikiwa.
 
Huo ndio ushamba wenyewe unaosemwa
 
Mi pia namuita mwenyekiti mshamba kachanganyikiwa, naomba tannesco wazime umeme nikutane nao hao kwenye Giza, alafu wakasimulie kitakachowakuta
 
chadema ni kama kapu la takataka linajaziwa takataka likijaa zinenda kumwagwa siyo kuwa hazitaki ila anazitaka takazake ila zimejaa tuu
Taka za chadmema zinazolewa mtaa wa ufipa zinamwagwa Lumumba, nadhani ulimaanisha hivi, na mifano IPO siyo?
 
Tanzania things have fallen apart it was once a beautiful country, Once upon a time . A cry of my beloved country God redeem us
 
Achunge kauli zake, maneno huumba baadae atakuja kujutia.
 
Hakuna jambo baya kama kujipendekeza kwa mwanasiasa na hasa akiwa anajua kwamba anajipendekeza kwani hata kama alibadili gia ardhini lakini sio kwa speed ile aliyoanza nayo kweli madaraka matamu, naanza kuelewa kwa nini petro alimsaliti Bwana Yesu
 
Aisee premature imbecile haijielewi ,yaani anajiona kafika ,badala ya kujiuliza baada ya muda wa Magufuri Kuisha yeye na wasiojulikana wenzie wataishije plus walamba matako wa awamu ya tano .
 
kwani rais mshamba....? Dr...? haiwezekani?
tuna rais msomi, sidhani katika EA and even SADC kama kuna rais anamzidi elimu na maarifa rais wetu..
sisiem hoye....
 
Nilijua Wastara. Nilitaka kushangaa lini wastara kaanza kutishia watu
 
chadema ni kama kapu la takataka linajaziwa takataka likijaa zinenda kumwagwa siyo kuwa hazitaki ila anazitaka takazake ila zimejaa tuu
kwahiyo ccm ni jalala la kupokea takataka toka chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…