Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,356
WATAKACHOFANYWA WANAOMUITA RAIS MAGUFULI MSHAMBA
"Halafu kuna watu wanamuita Rais Magufuli mshamba, hawa ndio wale ambao ukikutana hao kwenye Giza mnamalizana.....Serikali yoyote makini ikishaamua hakuna mjadala, iwe unalia iwe unacheka unatakiwa kwenda" - amesema naibu waziri TAMISEMI Mwita Waitara akizungumza kwenye ziara yake Halmashauri ya wilaya ya Makete