Waitara: Wafuatao wanahama CHADEMA

Mwita ni cheap politician, hata Mahabad akiachwa ana move on
 
Uko sahihi.Mbowe kawazidi maarifa mamluki na vibaraka wao.CHADEMA ilisimama imara wakati kipenzi chao Dr.Slaa alipobwaga manyanga,SIONI KIONGOZI MWINGINE YEYOTE atakaeondoka CHADEMA akafanikiwa kuisambaratisha.Hiki chama kwa sasa kina mamilioni ya WAFUASI(siyo wanachama). Hao waoondoka sasa wanapoteza muda wao.
Sitaona ajabu Kubenea kuachana na siasa au kuhamia CCM.Kama si hivyo magazeti yake hayatafunguliwa milele.Hakuna mahakama yenye nguvu zaidi ya mtukufu.Amri toka juu.
 
Sura ya huyu jamaa inanichefua. Mpumbavu kabisa
 
Kama siasa ndizo hizi bora nistaafu siasa huko CHADEMA nadhani kuna mgogoro........bora niache kufuatilia siasa kuliko kwenda CCM walah siwezi kamwe nasema siwezi!!
 
Lisemwalo lipo na uzuri limenenwa na mtu aliekua jikoni!
 
Ila Anthony komu simuelewi kabisa nyendo zake licha ya kuwa sikubaliani na hoja za huyu chizi, kuhusu milya it's matter of time!
 
Hayupo Wa kuikomboa hii nchi,mi niliamini hivyo siku lowasa alipohamia CDM na staili ilotumika. Na kamwe sitakuja kuamini ktk siasa za nchi hii
 
Waitara anasema "Kiongozi bora anatoka CCM, sasa mimi nilihama kutoka CCM kwenda CHADEMA si ni kiongozi bora kwakuwa nilitoka CCM? Sasa kwanini hawataki kunipa uenyekiti wa CHADEMA?" Jamaa kumbe lilikula bangi kwa pupa na kunywa gongo mpaka akili zikahama!
 
Mchungaji wa Iringa,Prof J na Ile kifaa ya Bunda ! Kabla jua halijazama!
 
Mwita ni cheap politician, hata Mahabad akiachwa ana move on
Wanatia tu hasara ya kufanyika tena uchaguzi, bora katiba mpya ije ili kama mtu kajiuzuru mshindi wa pili ktk uchaguzi aapishwe kuwa mbunge utaona pasua kichwa kama watahama.
 
Naona bidada akili imeanza kukukaa sawa.
Tumshukuru Mungu kwa kweli.
 
Wahame tu na cdm ife lkn siyo suluhisho la matatizo ya waTz. Kulazimisha kuongoza watu wenye chuki ni Mbaya Sana. Mwishowe ni vifo tu.
CCM ndani kwa ndani kuna mtifuano..wait and see.

Hakuna amani Lumumba na kama ipo ni ya kinafiki na woga.
 
Linaona sifa kuchezea fedha za walipa kodi. Jitu la hovyo , linaonekana hata halijatumbui, linaweza hata kumuuza mama ake. A laughing stock. Angekuwa karibu yangu ningempiga na hii laptop wangekuja kuchambua vipande vya kichwa chake na laptop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…