Wait is over, Dr. Dre amedondosha his final Album

Wait is over, Dr. Dre amedondosha his final Album

TimeBomb

Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
89
Reaction score
39
Imepita miaka 16 since Andre Young almaarufu Dr. Dre alirelease album yake ya Chronic.Sasa baada ya miaka kadhaa ya kusubiri bila matumain album yake ya mwisho aliyoipa jina la Detox, Instead Sasa ameibuka na kurelease his final album inayokwenda kwa jina la Compton itakayoambata na movie ya Straight out of the Compton utakayoelezea maisha yake na kundi lake la NWA.

Hii album ya Compton iko vizuri compare na album nyingi za ss za hip hop Mzee kakaza sana and this year he blow the candle for 50..But the rhyme is Young as hell..Dre ur truly a Legend.
 
Imekua released lini hiyo album , au ndio inatarajiwa kupakuliwa hv karibu?
 
Bonge la album" kubum kubaa zakutosha
My fav Talking to my diary
 
proxy.jpg


CL9_2pTUAAAF79y.jpg
 
Imepita miaka 16 since Andre Young almaarufu Dr. Dre alirelease album yake ya Chronic.Sasa baada ya miaka kadhaa ya kusubiri bila matumain album yake ya mwisho aliyoipa jina la Detox, Instead Sasa ameibuka na kurelease his final album inayokwenda kwa jina la Compton itakayoambata na movie ya Straight out of the Compton utakayoelezea maisha yake na kundi lake la NWA.Hii album ya Compton iko vizuri compare na album nyingi za ss za hip hop Mzee kakaza sana and this year he blow the candle for 50..But the rhyme is Young as hell..Dre ur truly a Legend.
Ngoja si tuendelee kujenga taifa..Dr dre tupa kuleee
 
mbona jamaa anaonekana Mzee kuliko Ice Cube? Hata Easy E RIP angekwepo angeinekana kijana kuliko Dr.
 
Back
Top Bottom