Waislamu wauliwa kinyama

Status
Not open for further replies.
Umejitahidi kuelezea hisia zako, lakini mimi kwa mtazamo wangu nilitegemea kuwa ungepinga vikali baadhi ya tabia zinazofanywa na watu wasiokuwa na utakaso mioyoni mwao na badala yake kutumia mwamvuli wa dini kuwachafua washika dini na kufanya matendo ya kinyama na kuitesa jamii yetu ambayo haitaki kuusukuma muemko wa kidini na kila mmoja kuendelea kushika Imani yake kwa manufaa yake lakini hawa ambao Leo hii tunawashuhudia ama kuwasikia wakichochea vurugu ama matishio mwengine yeyote hawa hakika hawafai kuwepo kwenye jamii yetu watatuharibia kizazi kilichopo na hata kijacho.
 
habari ni ya kuaminika tatizo magezti yenu ni ya kinafiki yanachagua hbr

Hata Al Noor ni la kinafiki? Mwenzio hapo juu amewakana viongozi na kusema sio waislamu bali wana majina ya kiislamu kisa tu wamesimamia sheria halali za nchi. A LONG WAY TO GO
 
Uliyewasilisha hoja pia umewasilisha Vibaya sana! Unaposema " makafiri"! au vyombo vya habari vya "kikafiri" au redio za kiislamu ambazo zinadhani kusoma qur'an ndio uislamu! au wakristo watapinga tu! maana yake unafanya waislamu wa kawaida wasikuunge mkono, unafanya pia wakristo wasikuunge mkono! unafanya hata hivyo vyombo ulivyovipa jina " vya kikafiri" visikuunge mkono!
Polisi sio kanisa au ukiristo! by the way mkuu wa Polisi ni mwislamu! na kama wameuwawa na uslama Mkuu wake ni Mwislamu! na kama mahakama haitawatendea haki basi jaji mkuu ni mwislamu! na kama Jeshi waziri wake ni mwislamu! na kama ni serekali basi Rais na makamu wote waislamu! naona hoja yoyote ambayo inaunganisha matendo ya serekali ambayo kismingi ni mfumo uliochanganya vyombo tofauti vya maamuzi ikihusishwa na dini basi huyo mtoa hoja ana lake jambo! huo ndio ujinga wa ulaya wanaushutumu uislamu kwa kosa la Osama wakati Uislamu sio Osama! Huo ndio ujinga wa baadhi kuchukia Ukristo kwa sababu ya Bush wakati Bush ni mtu na Ukristo ni imani! mtoa hoja angelalamikia kuuliwa kwa watu, bila kufuata sharia, na pia angeilalamikia polisi bila kuingiza ingiza imani nadhani angeungwa mkono na waungwana wasiopenda kuona uhai wa mtu yoyote awe kafiri, awe pagani, awe mjahidina awe mlokole awe mkristo awe vyovyote but as ni mtu asiuliwe tu hovyo hovyo! uhai amepewa na Mungu na Mungu pekee ameweka utaratibu wa kuutoa!
 
Kama media kama ITV wanaweza kupeleka mwandishi hadi goma kuripoti wanashindwa kweli kupeleka wanahabari kilindi ili wafahamishe jamii nini hasa kinaendelea hapo.

Mkuu, unafuatilia habari kweli? Mbona ITV wameripoti mara nyingi.
 
Mleta mada waombe radhi Waislam wa mjini kwa kuwaita wahuni.
 

Oh,,don't worry brother everything has got an end,,we all know that a millions of innocent children r dying killed without any guilt,,we hear no edict,,no denunciation from hereditary rulers!!

We don't hear anything and no one raising a voice or reacting,,but when the sword fell upon them..HYPOCRISY raised its heads up high bemoaning those killers who tired with the blood of honour and sanctities of Muslims

HYPOCRISY have been telled the world false that they are figthing Terrorism{Muslims},,killing Muslim Womens and Childrens to them its not a clear issue

But not every Muslims are aware of that and a WIND OF FAITH is blowing and the WIND OF CHANGE is blowing to remove evil{God is greatest and glory be to those who r on his way}

We supose to fight bcz we r free,,we don't supose to slEep under oppression,,we want to restore freedom just as u lay waste to ours
So shall we waste to urs??
 
unaweza kuthibitisha hiyo taarifa na kutoa vielelezo na kila mmoja aweze kukubali unchokipost hapa if kuwa ni kweli?

Uliletewa picha ya magobole na ukaambiwa magaidi wako kilindi na hizo ndio silaha zao ukakubali? unanchekesha!
 
Ya nini kwenda mpaka India kutafuta kafiri ni nani, mambo yapo hapa hapa JF, soma hapa:

 
Haya makundi ya dini zenu haya ni majanga tu, yaani mtu anakuwa brainwashed hasikii wala haoni!
 
...serikali ueni al shabab wote kabla hawajaleta tabu,mkiwafukia huko porini sio mbaya sana bado tunaandaa sheria ya ugaidi...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…