Waislamu wauliwa kinyama

Waislamu wauliwa kinyama

Status
Not open for further replies.
Wewe ni mpu.uzi kama wapu.uzi wengine unaotaka kuleta udini hapa Jf. Nchi yetu ya amani na upendo kamwe haiwezi kuvurugwa na wapumba.vu wachache wenye uvivu wa kufikiri na ambao maisha yakiwapiga siku zote wanaanza kujihisi wanaonewa. Waislamu na Wakristo sote tu ndugu, na kamwe hatuwezi kutengamana kwaajili ya wachache wasio ombea mema nchi yetu!
......Well said dude!
 
  • MFADHILI WA UGAIDI MBARONI

Jeshi la Polisi, Wilaya ya Kilindi, mkoani Tanga, limemkamata mfanyabiashara wilayani humo, Bw. Juma Kheri maarufu kwa jina la 'Chifu Abiola', akituhumiwa kufadhili kikundi cha kigaidi kilichokuwa na kambi tatu Kata za Lwande na Negero.
Akizungumza na Majira, Mjini Songe, Mkuu wa Wilaya hiyo, Bw. Suleiman Liwowa alisema Bw. Kheri alikamatwa siku tatu zilizopita na yupo mahabusu wilayani Handeni.
Hata hivyo, Bw. Kheri alipekuliwa katika nyumba anayoishi, duka la jumla na nyumba ya kulala wageni kuanzia 8:30 mchana hadi saa 12.30 jioni.
Bw. Liwowa alisema polisi walipata shida kubaini jina lake halisi, kwani alikuwa anatambulika kwa majina ya Juma Sahel, lakini baadaye wakabaini anaitwa Juma Abdallah Kheri.
"Hadi sasa bado anashikiliwa polisi Mjini Handeni, watu walikuwa wakimjua kwa majina mengine lakini hivi sasa jina lake halisi libebainika," alisema Bw. Liwowa.
Alisema watu wengine wanaohusishwa na vitendo vya ugaidi wamekamatwa kwenye Kijiji cha Gombero, Kata ya Kibirashi wilayani humo.
Aliwaomba wakazi wa Wilaya hiyo,wasiwachukie waumini wa dhehebu la Ansaar Sunna kwani si wahalifu bali waliokuwa wanafanya vitendo vya kigaidi ndiyo wahalifu.
"Serikali haipambani na Ansaar Sunna, bali wahalifu, sisi tunaheshimu dini zote hivyo mnapowaona waumini hao msije mkawafanyia vitendo vibaya," alisema Bw. Liwowa.
Aliongeza kuwa , awali hawakujua kama kundi lilo ni tishio lakini tangu wameanza kupambana nalo, wamebaini ukweli na nguvu yao ni kubwa.
Bw. Liwowa alisema hadi sasa kikundi hicho kimeweza kusambaratishwa lakini polisi bado wameweka kambi kwenye Kata za Negero na Lwande.
Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shelukindo, alisema kundi hilo ambalo lilikuwa likifanya vitendo vya ugaidi katika Kata za Lwande na Negero, lisihusishwe na dini ya Kiislamu bali hao ni magaidi, majasusi na wanatakiwa kulaaniwa na kupingwa.
"Lile ni kundi la kigaidi si wahalifu wa kawaida, lakini naomba lisihusishwe na dini ya Kiislamu, sisi sote tunafahamu hakuna dini inayoruhusu vitendo vya ugaidi, kuvuruga amani," alisema. Chanzo: MAJIRA

Hii habari ni uzushi mtupu! Katika Tanzania yetu ya leo kuna kijiji kinaitwa "kijiji cha waislamu"?
 
WAISLAMU WAULIWA KINYAMA NA KUFUKIWA MILIMNAI KAMA MIZOGA

huko KILINDI mkoani TANGA ni harufu ya damu za waislamu watoto wadogo na wanawake waliouliwa na askari wa TANZANIA
baada ya kufanya mauaji hayo na ubakaji kundi la askari hao sasa wamepelekwa wengine na wao waka oneshe utaalamu wao wa kuuwa na kubaka walivyo fundishwa ndani ya makambi yao
hali ni mbaya hakuna muandishi anaye weza kupatia uandishi fasaha utako fafanua mauaji hayo ambayo yana elekezwa kwa waislamu
kosa lao hao waislamu likiwa ni wao kuamua kuishi kiislam kwa wake zao kuvaa hijabu ya kisheria kwa mujibu wa dini ya kiislamu na si kufunika nywele tu kama wava avyo wahuni wa mijini halafu wakaita kuwa ndio hijabu ya kiislamu

asili ya mzozo ni kugoma kulipa ushuru mtu mmoja tu ulitokea katika kijiji kingine lakini askari wauaji wakaelekezwa katika kijiji cha waislamu na mpka leo kazi yao ni kuuwa kubaka na kuchoma nyumba kisha kufukia maiti milimani tangu lini kesi za kodi askri wakaenda na bunduki?

hakuna gazeti tv redio wa FB inayo ripoti kwa kina swala hili

hii ni dalili tosha kuwa chuki za kidini zipo juu sana dhidi ya uislamu na hata baadhi ya wakristo wamekuwa wakali katika mitandao ya kijamii pale tu waislamu wanapo post habari kama hizi na kuanza kurusha matusi na kutukana na kusema DELETE afungiwe etc huku wakijua wazi wazi kuwa chinja chinja hiyo kila mtu amekwisha isikia lakini chuki zilizo jaa ndani ya vifua vyao zinawafanya kuwa wapofu hawataki kabisa kujadili mauaji haya kwa hekma na busara bali huwa wanakuwa mbogo

redio za kiislamu na magazeti hakika ni wahuni na matapeli wanao tumia neno uislamu kufungua vituo vyao lakini wote wanafanya kazi kupambana na waislamu
kwani redio au tv kusoma qurani si hoja kuwa ndio ya kiislamu bali hata vituo vya misuc navyo huwa wana vupindi vya dini

hii ni dalili waislamu sasa watatoka usingizini zile porojo za nchi haipendelei dini nchi haina dini haki sawa haki za binadamu democrassi utawala wa bila upendeleo nchi yetu kwanza amani ya nchi etc na upumba na upuuzi kama huu waislamu sasa zindukeni hawa watu wamesha pewa agizo
na obama UWA BAKA WAISLAMU
nakupiga kura ni upuuzi tu kwani mchujo wa wagombea ubunge au uraisi huwa mchujo kwanza wa ndani ya chama unaitisha watu ambao wana chuki na uislamu ata kamamajina yao ni ya kiislamu na wakawa waningia misikitni ili kupata kura za waislamu hivyo yeyote anaye fikia hatua ya kugombea ubunge au urais huwa kisha kubali kutesa waislamu la sihivyo atakatwa mapema kabisa kwa kuitwa mdini
Hao waliouawa sio waislamu bali ni magaidi!!
 
Hao vibaka wanaojificha chini ya mwavuli wa dini ya kiislam kwa kufanya uhalifu ni lazima washughulikiwe!
 
Hao vibaka wanaojificha chini ya mwavuli wa dini ya kiislam kwa kufanya uhalifu ni lazima washughulikiwe!

Magaidi wanawaonea waisilam jamani, why wawe na islamic codes of conduct na sio za kikristo?
 
Mwenye hii habari kinaugaba na uthibitisho unaokubalika atuwekee basi ili tujue ni kitu gani kinaendelea huko Kilindi. Na hii habari ya wapinga JK ndio kitu gani?
 
self minded ,,sema tatizo ni lipi sio kuleta case ya dini take care na kauli zako 7b Raia tunaambiwa ni magaidi so hao waislam ndio wanaoitwa magaidi?ni lazima mtafute consensus sio kutoa shutuma sema ni hatua gani mmechukuwa mfano kustaarif ngazi zingine kwa tatizo hilo ?na hakuna vijiji vya uislam tambua hilo kama ni uislam basi mbona kuna jk,Bilal top leaders so tatizo liko wapi mbna another side of the cone no blames penda nchi yako vurugu za kitoto hazifai maendeleo kwanza kama unapenda ugaidi nenda Iraq na syria sio hapa
 
nchi hii ni ya kwetu sote watz,machafuko ya kidini yakitokea hakuna atakaesalimika! Ni lazima amani yetu ilindwe kwa gharama yoyote!
 
Tumelazimishwa kuaminishwa kuwa kuna magaidi huko Kilindi na baadae mziki ukabadilishwa na tukaaminishwa kuwa kuna wanaompinga Kikwete huko. Haijatuingia akilini. Siri zinaanza kufichuka taratibu. Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
Mujahidin kazini!!
 
Allahu akbar
Mwanzo mulisema MAGAIDI mkaona uwongo huo hauna nguvu muka aamia kwenye KUMPINGA KIKWETE kumbe kunayaliojificha ndani yake na yanaanza kuwekwa wazi sasa hivi mengi tutayajua

Hii taarifa itakuwa na ukweli tu unaona makafiri wanavyoipigania kuikanusha na kwa maana nchi hii inavyonyanyasa waislam lazima huu ni ukweli
 
We lazima utakua taakhira.. hivi ni nani aache kutafuta ela kwa ajili yake na mustakhabali wa familia yake eti aenda kunyanyasa wasilamu...mh..kuna mibichwa kweli imejaa miusaha, hamna kitu.
 
WAISLAMU WAULIWA KINYAMA NA KUFUKIWA MILIMNAI KAMA MIZOGA

huko KILINDI mkoani TANGA ni harufu ya damu za waislamu watoto wadogo na wanawake waliouliwa na askari wa TANZANIA
baada ya kufanya mauaji hayo na ubakaji kundi la askari hao sasa wamepelekwa wengine na wao waka oneshe utaalamu wao wa kuuwa na kubaka walivyo fundishwa ndani ya makambi yao
hali ni mbaya hakuna muandishi anaye weza kupatia uandishi fasaha utako fafanua mauaji hayo ambayo yana elekezwa kwa waislamu
kosa lao hao waislamu likiwa ni wao kuamua kuishi kiislam kwa wake zao kuvaa hijabu ya kisheria kwa mujibu wa dini ya kiislamu na si kufunika nywele tu kama wava avyo wahuni wa mijini halafu wakaita kuwa ndio hijabu ya kiislamu

asili ya mzozo ni kugoma kulipa ushuru mtu mmoja tu ulitokea katika kijiji kingine lakini askari wauaji wakaelekezwa katika kijiji cha waislamu na mpka leo kazi yao ni kuuwa kubaka na kuchoma nyumba kisha kufukia maiti milimani tangu lini kesi za kodi askri wakaenda na bunduki?

hakuna gazeti tv redio wa FB inayo ripoti kwa kina swala hili

hii ni dalili tosha kuwa chuki za kidini zipo juu sana dhidi ya uislamu na hata baadhi ya wakristo wamekuwa wakali katika mitandao ya kijamii pale tu waislamu wanapo post habari kama hizi na kuanza kurusha matusi na kutukana na kusema DELETE afungiwe etc huku wakijua wazi wazi kuwa chinja chinja hiyo kila mtu amekwisha isikia lakini chuki zilizo jaa ndani ya vifua vyao zinawafanya kuwa wapofu hawataki kabisa kujadili mauaji haya kwa hekma na busara bali huwa wanakuwa mbogo

redio za kiislamu na magazeti hakika ni wahuni na matapeli wanao tumia neno uislamu kufungua vituo vyao lakini wote wanafanya kazi kupambana na waislamu
kwani redio au tv kusoma qurani si hoja kuwa ndio ya kiislamu bali hata vituo vya misuc navyo huwa wana vupindi vya dini

hii ni dalili waislamu sasa watatoka usingizini zile porojo za nchi haipendelei dini nchi haina dini haki sawa haki za binadamu democrassi utawala wa bila upendeleo nchi yetu kwanza amani ya nchi etc na upumba na upuuzi kama huu waislamu sasa zindukeni hawa watu wamesha pewa agizo
na obama UWA BAKA WAISLAMU
nakupiga kura ni upuuzi tu kwani mchujo wa wagombea ubunge au uraisi huwa mchujo kwanza wa ndani ya chama unaitisha watu ambao wana chuki na uislamu ata kamamajina yao ni ya kiislamu na wakawa waningia misikitni ili kupata kura za waislamu hivyo yeyote anaye fikia hatua ya kugombea ubunge au urais huwa kisha kubali kutesa waislamu la sihivyo atakatwa mapema kabisa kwa kuitwa mdini

unaweza kuthibitisha hiyo taarifa na kutoa vielelezo na kila mmoja aweze kukubali unchokipost hapa if kuwa ni kweli?
 
Kama wanauliwa, si wanaenda kupata bikira 72! tatizo liko wapi?!
 
Makafir wana wafanya mambo au siyo!!!na bado hao ni wanausalama waacheni wafanye kaz yao na msiombe siku tuamue kujibu mashambuliz yenu hayo dhidi yetu,mtakimbilia somalia nyie

Mbona mnalalamika tena?! hamtaki wafe ili wakapewe bikra 72?! Hamuiamini kolani tena?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom