Waislamu wauliwa kinyama

Waislamu wauliwa kinyama

Status
Not open for further replies.
Hiyo story ndo hivyo hivyo ilivyotokea halafu vyombo vya habari hawaandiki ukweli kwakuwa wana madhumuni yao ,eti wanawaita wapinga jk ,hawa makafiri hawa vyombo vyao vya habari havisemi hata siku moja madhara waislamu wanayoyapata na hii serikali yao ya kanisa lakini inshaa a allah haki itapatikana tu, sisi tuna roho ,mioyo na ngozi kama nyinyi yanayotupata nanyi yatawapata pia

Acha upuuz ww ----- uliye zoea kuwaida wenzio makafir!kafir mwenyewe!!!!!na majanga yataendelea kuwakumba mpaka mtakapo ifahamu kweli ambayo itawaweka huru "tumia akili sio unatumia bagrashia na kanzu kufikir"
 
... wamesha pewa agizo na obama UWA BAKA WAISLAMU ...
Kwa hiyo aliwaagiza waje huko Kilindi kubaka? Wewe ni mtu ni hatari sana na ni candidate mzuri wa drone ...
 
makafr nyinyi hamuuwezi uislam dini ya Allah mtafanya hila zenu ila @ last mtakuwa chini ya sharia

Makafir wana wafanya mambo au siyo!!!na bado hao ni wanausalama waacheni wafanye kaz yao na msiombe siku tuamue kujibu mashambuliz yenu hayo dhidi yetu,mtakimbilia somalia nyie
 
habari ni ya kuaminika tatizo magezti yenu ni ya kinafiki yanachagua hbr

Ww Beco ungekuwa mtu wa Mungu kwali unge waelimisha waislamu wenzako kuwa kumbagua mtu kwa misingi ya iman yake ni upuuz na istoshe ujiulize ni kwanini kilindi na si lushoto au korogwe,hakuna mzizi hapo dawa ni kujirekebisha na maisha yanaendelea!!
 
makafr nyinyi hamuuwezi uislam dini ya Allah mtafanya hila zenu ila @ last mtakuwa chini ya sharia

huyo Allah anamajina 99 jina la 94 kwa kiswahili anaitwa joka la zamani. ki Biblia anaitwa ibirisi na shetani
 
Tumelazimishwa kuaminishwa kuwa kuna magaidi huko Kilindi na baadae mziki ukabadilishwa na tukaaminishwa kuwa kuna wanaompinga Kikwete huko. Haijatuingia akilini. Siri zinaanza kufichuka taratibu.

Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
 
Tumelazimishwa kuaminishwa kuwa kuna magaidi huko Kilindi na baadae mziki ukabadilishwa na tukaaminishwa kuwa kuna wanaompinga Kikwete huko. Haijatuingia akilini. Siri zinaanza kufichuka taratibu.

Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.

Hivi hapa kunahitajika sarakasi zozote kujua ni kipi kilijiri au ni kujitia upofu kwenu tulikokuzoea?
Mbona mbunge wao na wananchi wangine tena wasilamu walishawalalamikia hawa magaidi na serikali yako tukufu ya sheikh al ustaadh Sultan Mangungu wa Bagamoyo na haikuchukua hatua yoyote? Serikali yako hii sikivu ya Sultan Mangungu ingewajibika mapema damu isio na hatia ya yule mgambo isingemwagwa. Lakini pasi na hayo yote basi wanalaumiwa wasio wasilamu, mh sijui ni kipi mnachokitafuta enyi Sabean Satanists.
 
Hivi hapa kunahitajika sarakasi zozote kujua ni kipi kilijiri au ni kujitia upofu kwenu tulikokuzoea?
Mbona mbunge wao na wananchi wangine tena wasilamu walishawalalamikia hawa magaidi na serikali yako tukufu ya sheikh al ustaadh Sultan Mangungu wa Bagamoyo na haikuchukua hatua yoyote? Serikali yako hii sikivu ya Sultan Mangungu ingewajibika mapema damu isio na hatia ya yule mgambo isingemwagwa. Lakini pasi na hayo yote basi wanalaumiwa wasio wasilamu, mh sijui ni kipi mnachokitafuta enyi Sabean Satanists.

Ewe kafiri mbona povu linakutoka. Unaujuwa ukweli nini?
 
Kwanza POLENI, Pili UVUMILIVU na UDHIBITI wa hisia zenu wandugu, vugu vugu hili lina bidii kusubiri repoti ya uhakika.... hadi sasa hakuna tamko rasmi kutoka idara za kiintelejensia au hata serikali. Amani na usalama wa wananchi ni kipaumbele katika Taifa. Subira na hekima zitawale jamii wakati kama huu.

Yanayoendelea kule kilindi nashindwa hata kuandika yaani moyo unauma sana. Mauaji niya kutisha sana na yule mama Chiku Galawa anatangaza eti nikikundi kinachompinga jk?
 
Ewe kafiri mbona povu linakutoka. Unaujuwa ukweli nini?
Ewe mkamua mkinyes maiti, ukwlei ni kitu gani? hakuna povu linalonitoka, na ni wajb wa raia wema kukemea upotovu wa ninyi Sabean Wahhabi Satanists. Mwanzoni mlipogomea sensa, serikali iliwachekea badala ya kuwawajibisha, sasa wameona ameuawa mgambo na mkuu wa kituo cha polisi kupigwa risasi ndio serikali inajivutavuta baada ya kuona chungu ya its own negligence.
 
Makafir wana wafanya mambo au siyo!!!na bado hao ni wanausalama waacheni wafanye kaz yao na msiombe siku tuamue kujibu mashambuliz yenu hayo dhidi yetu,mtakimbilia somalia nyie

Mungu wenu si yupo hai, hawasaidii ama vip? Mara mumsaidie kuutetea uislam, mara mpigwe, sasa mnakuwa waislam ili iweje?
 
Senksi mfungua uzi!
Ukiziangalia tu habari zinazotolewa na TV,magazeti na ya Mkuu wa Mkoa utaona kuwa zina walakini mkubwa.

Endelea kutujuza yanayotokea.
 
Upuuzi at its best. Hii story hata mtoto wa miaka miwili atakucheka. Hata waislam wenzio wanashangaa kwamba hata wewe ni mmoja wao na hamna anaekuunga mkono. Pole

JF kuna great thinkers usidhani Kila usemalo hata kama ni upuuzi kama huu basi watu wa jamii yako watakuunga mkono. Jitahidi kuwa mbunifu kama nia yako ni kueneza chuki.
 
Mleta uzi sijaona hata sehemu moja umetoa hoja ya maana zaidi ya kulia lia na kulalamika kuonewa kama ilivyo desturi yenu. Hauna hata ushahidi unaoothibitisha hizo porojo zako lakini hao wapuuzi unaowatetea walivyomchinja mgambo na kumpiga risasi mkuu wa Kituo mlikuwa mnaona kuwa ni sahihi. Inabidi muwe na ubinadamu kwa yale mnayowafanyia wenzenu bila ya sababu za msingi.

Upo wapi ushahidi kuwa wanawake wamebakwa na watoto wameuliwa?. Kwa taarifa yako wale wapuuzi wanaovaa suruali njiwa kule walipojificha Msituni walienda na wanawake wao ambao karibia wote wana ujauzito wakiwa na malengo ya kuwazalisha kisha vifaranga vyao wavirithishe mafunzo yao ya uuaji.

Mateso wanayoyafanya hao ndugu zako wanaovaa suruali njiwa huko Kilindi kwa wananchi sio ya Kiuungwana, kuna kipindi walikuwa wanapita Vijijini kuwalazimisha watu waende kusali misikitini, wasioenda walikuwa wanapewa adhabu ya kuchapwa bakora bila ya kujali ni mfuasi wa dini gani na kibaya zaidi wakati wa Zoezi hilo kulikuwa na Raia kutoka nje waliokuwa wanawanyanyasa Wananchi wa Tanzania kwa kuwalazimisha kwenda Msikitini.

Jana siku ya Ijumaa asubuhi kuna Raia wa Tanzania (wale wanaovaa suruali njiwa kama wanataka kuvuka mfereji na midevu) na wengine kutoka nchi za nje walionekana maeneo fulani katika vitongoji vya Tanga (sitotaja eneo halisi) kuna watu wakawafuatilia wakaenda kuingia Msikitini, wananchi wakatoa taarifa kwa vyombo vya usalama ambao walienda na Defender kadhaa kuwahoji bila shaka waliondoka nao baadae. Hii inaonesha kwamba Mtandao wa hawa wapuuzi ni mkubwa na walijipanga kufanya mauaji waliyofanya. Sasa na wewe mleta huu uzi ukiona wenzako wanaonewa jiunge nao uende Kilindi kuwasaidia.

Hadi leo hii kuna washikaji wapo huko Kilindi yapata wiki ya pili kwa ajili ya kuwashughulikia jamaa wanaovaa suruali njiwa na taarifa isyo rasmi ila imetoka kwa mtu aliyepo katika huo msafara wa Kilindi ni kwamba zaidi ya watu 50 waliohusika na hilo kundi wamekamatwa pamoja na tajiri mmoja mwenye kituo cha mafuta kule Kilindi anaitwa Abiola kwa kushiriki kwa namna moja au nyingine katika kundi la hao Wauaji.

Nasikia kule Kilindi kuna sehemu barabarani lipo gari la Bluu limepaki tu kwa muda mrefu sana ila huwa linatokaga mara chache na ndilo linalotumika kuwabeba wageni mamluki kutoka mikoa mingine na nchi nyingine wanaofika Kilindi na kupelekwa huko katika hizo kambi zao za Mafunzo kwa ajili ya kufundishwa kuwachinja na kuuwa watu wasio na hatia. Nailaumuu sana serikali kwa kuacha vitu vya aina hii hadi vinaota mizizi, kipindi cha Mkapa hakukuwa na ujinga wa kiasi hiki.

Waislam inabidi ufike wakati mtambue ya kwamba hii nchi ni ya kwetu wote yaani Waislam, Wakristo, Wapagani na wasiokuwemo katika makundi niliyoyataja. Mnashangaza kila siku kulalamika mnaonewa nyie tu, mbona Wapagani na wasiokuwa Waislam hawalalamiki?

Kwa ujinga unaoendelea huko Kilindi, natamani hayo maneno yako kwamba wanauliwa na kuzikwa Milimani yawe ya kweli ili kupunguza kizazi cha watu wasiojielewa, wenye chuki dhidi ya dini nyingine na wanaopenda mauaji yasiyo na msingi wala sababu zozote.

"........Na wapigwe tu (hao Waislam), maana tumeshawachoka sasa" - Mizengo Pinda
 
Wewe ni mpu.uzi kama wapu.uzi wengine unaotaka kuleta udini hapa Jf. Nchi yetu ya amani na upendo kamwe haiwezi kuvurugwa na wapumba.vu wachache wenye uvivu wa kufikiri na ambao maisha yakiwapiga siku zote wanaanza kujihisi wanaonewa. Waislamu na Wakristo sote tu ndugu, na kamwe hatuwezi kutengamana kwaajili ya wachache wasio ombea mema nchi yetu!
 
Ewe kafiri mbona povu linakutoka. Unaujuwa ukweli nini?

'Kafir' - meaning and implications of a Qur’anic termBy Zafarul-Islam Khan

[TD="width: 100%"] The issue of Kafir in the light of Islam, and whether or why Hindus are called ‘kafir,’has been raised again and again in the Indian press, particularly in the media controlled or influenced by the Hindutva movement. I have responded to it earlier.

Some time back this issue was raised by Mr Deena Nath Mishra, a BJP MP and a former editor of the RSS Hindi mouthpiece, Panchjanya, during a ‘round-table’ discussion convened by Mr OP Shah of the Calcutta-based Centre for Peace & Progress at the India International Centre, New Delhi on 26 July 1998. The question was taken up by Maulana Shafi Munis, vice president of Jamaat-e-Islami Hind, who explained that it simply means a ‘rejecter’ of Islam and that it is not an abusive term.

I have lived for 13 years in Arab countries and have never come across anyone using the word ‘kafir’ as an abuse. As far as I know, only the Pathans in the Frontier area use a corruption of this term, kafar or kafar ka bachcha, as an abusive term for both Muslims and non-Muslims.
I told Mr Deena Nath Mishra, who had raised the issue of Hindus being termed as ‘kafir,’ that if he gave me time I am willing to visit him and explain the term to him in detail in the light of the Qur’an. He ignored my request and went on to speak about other matters and I have never heard from him again.

Here I will try to address this oft-repeated issue for the benefit of a wider public so that a serious misgiving is placed to rest if there is trust and willingness to listen to reason and facts. You can convince only those who are ready to listen and think about an issue without preloaded bias.

I must add here that this is not a rejoinder to the concocted thesis presented by Mr Arun Shourie (aptly rewarded later with a Rajya Sabha seat and membership of the central cabinet) during the last few years in newspaper articles which later evolved into books published by publishers of a certain colour and leaning. I have compared some of Mr Shourie’s writings with the original references he quotes so abundantly and directly (although he does not know the language of these references, i.e., Arabic) and found him grossly off the mark because he more often than not misquotes or quotes only selective portions out of context. Both these practices, i.e., direct quotes from sources one cannot read, and misquoting, are serious methodological errors).

KAFIR IN THE QUR’AN
Although various derivatives of the Arabic root k - f - r have been used in the Qur’an, we will confine ourselves to the word ‘kafir’ and will try to understand its meaning in this context. The Qur’an is the supreme scripture of Islam and supersedes everything else. In the Muslim belief it contains the direct and exact words of God as revealed to Prophet Muhammad.

The exact word kafir has been used five times in the Qur’an as follows [the translation1 of the exact word kafir in the verse is underlined]::
1. ‘And believe in what I reveal, Confirming the revelation which is with you, And be not the first to reject faith therein, Nor sell My signs for a small price, and fear me and me alone’ [2 : 41].
2. ‘And if any of you turns back from his faith and die in disbelief, Their works will bear no fruit in this life and the Hereafter’ [2 : 217].
3. ‘The Misbeliever is a helper (of evil) against his own Lord’ [25 : 55].
4. ‘It is He who has created you; and of you are some that are unbelievers, and some that are believers; and Allah sees well all that ye do’ [64 : 2].
5. ‘Verily, We have warned you of a Chastisement near-The Day when man will see (the deeds) which his hands have sent forth;and the Unbeliever will say, ‘Woe unto me! Would that I were (mere) dust!’ [78 : 40].

In the light of the above verses the word kafir has been used in the Qur’an for two meanings:
1. Rejecter of the faith [verses 1-3-4-5]. The fourth verse [2:64] is very meaningful - in that it tells us that it is part of Allah’s pattern and tradition, sunnah, that some people are ‘believers’ and some are ‘rejecters.’ It is the some Godly-sunnah everywhere else - there are plains against mountains, rivers against dry land, flowers against thorns, good against bad, sick against healthy, black against white, and so on. This is Allah’s scheme of things so that people and things are distinguished from one another but the best are the most pious and fearful of their Creator Who alone knows and judges their piety from false pretence.
2. Apostate - a Muslim who renounces his faith and dies in that state [verse 2].
Kafir is a descriptive term used for someone who rejects something. Hence even a Muslim who rejects some other religion may be termed kafir as a rejecter of that faith.

Kafir in Urdu is one of the attributes of the beloved, e.g., Ghalib’s verse: main hua kafir to woh kafir musalman hogaya..

It is clearly held by the scholars of Islam that a non-Muslim may be termed ‘kafir’ only if he rejects Islam after properly knowing it. Since most non-Muslims simply do not have any clear idea about the teachings of Islam, they cannot be termed ‘kafir.’. Indeed, Muslims are sinners for failing to convey the teachings of Islam to others. No Muslim court or authority has any power whatsoever to penalize a non-Muslim for not accepting Islam. Indeed history has recorded that Muslim rulers used to discourage non-Muslims from entering the fold of Islam as happened in Egypt during the time of the Umayyad caliph, ‘Umar ibn ‘Abd al-’Aziz, who is recorded to have sternly admonished his governor for doing so fearing loss in tax-collection. The caliph declared that ‘Allah sent His prophet as a guide, not as a tax-collector.’ In India, too, the so-called Muslim nobility used to discourage local people from embracing Islam lest they demand a share of the political and economic pie. Islam spread in these lands inspite of the rulers and as a result of the selfless endeavours of preachers and sufis whose aim was to free human beings from the clutches of an oppressive social order.

There never was any coercion in the issue of religion throughout the history of Islam, with the sole exception of war criminals and prisoners of war captured during actual fighting against the Muslim state. The Qur’an is very clear about this, e.g., 2:109, 2:256 109:6. As a measure of magnanimity, prisoners of war were forgiven if they embraced Islam. Indeed, Muslims are forbidden to have good relations only with those who fight them in matters of religion (60:8).
Polytheists, Jews and Christians continued to live in Muslim state during the times of the Prophet and the first caliph Abu Bakr. It was only during the time of the second caliph, ‘Umar, that non-Muslims were forbidden from residing in the Haramain (the two sacred precincts of Makkah and Madinah) as a precaution to keep these two areas forever under Muslim control and occupancy. Even in these two areas, non-Muslims are allowed to enter for short visits without taking up permanent residence as a consequence. Elsewhere in Muslim states non-Muslims continued to live and even today there are non-Muslim communities in various Arab and Muslim countries which trace their roots to pre-Islam like the Zorastrians in Iran, Jews in Yemen, Sabeans and Christians in Iraq, Christians in Syria and Egypt and the like. This is in sharp contrast with the European practice of coercing minorities into accepting Christianity and killing or expelling those who refused to do so. There is no trace today of the large Muslim communities in Spain, Portugal, France, Sicily, Malta, Rhodes, Pantelleria, Canary Islands, Majorca, Manorca, Greece etc. Except very small minorities in some areas previously ruled by Turkey, all present European minorities are the result of recent migrations during and after the colonial era.


[TD="width: 24"][/TD]
[/TD]
 
Kwa ujinga unaoendelea huko Kilindi, natamani hayo maneno yako kwamba wanauliwa na kuzikwa Milimani yawe ya kweli ili kupunguza kizazi cha watu wasiojielewa, wenye chuki dhidi ya dini nyingine na wanaopenda mauaji yasiyo na msingi wala sababu zozote.

"........Na wapigwe tu (hao Waislam), maana tumeshawachoka sasa" - Mizengo Pinda
...The making of Daarul Harb.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom