Waislamu wanatubeba sana!!

Huo no mtazamo wako. Mimi kwangu akitawala Mkristo naona huwa Kuna maendeleo, Kama Rais Mkapa na Rais Magufuli. Kikwete ufisadi ulikuwa mkubwa na kujiana.
Hata wewe unayumba mkuu,viongozi wote ni wetu akawa mkristo akawa muislam ni kiongozi wetu issue ni je zile fursa zilizoko mbele yako unazitumiaje?

Siijui imani yako but ktk Imani kweli ya Kikristo hizi excuses hazipo na hazifai kuwepo achia kwa hao wasioweza kutumia bongo zao vizuri waendelee kuzitumia.sisi tunatakiwa tumtumaini Mungu imeandikwa usimtegemee mwanadamu maana yeye hufa na mawazo yake hupotea (kama unayemsema Mkristo mwenzako aliyekufa juzi),sijawahi kupata jibu hivi raisi akiwa dini yangu huwa nafaidikaje?mf:majuzi hapa enzi ya Hayati (mie ni mfanyabiashara) wengi tulikula msoto mie mkristo,muislam Buddha etc wote wembe ulikuwa mmoja sasa unaweza kuniambia kuna afadhali gani?
 
tanzania waislamu ni 90/% wananchi wake ni waislamu ila wengi hawaingii msikitini lakini kama siku mungu akiwakbusha waingie msikitini sala 5 tanzania itakuwa kama mwezi wa ramadhani kwa siku zote kwenye sensa hawataki kuandika dini na waislamu tanzania wakiamua wote wavae kanzu aaaa utahesabu mmoja mmoja wenye suruali
 
Kuanzia 1-4 ni kinyume na misingi ya dini yenu ya kiislam, hivyo hao wote ni unawasifia kwa kwenda kinyume na matakwa ya dini yao.

Kwani uislam unafundisha kuimba nyegezi, ifinyie kwa ndani, bia tamu.

Jitafari kabla ya kuhusianisha dini na mambo ya ajabu ajabu yasiyohusu dini husika.
 
Acha uongo James hajafariki. Wewe utakuwa umechanganya mafaili. Halafu hata Kama angekufa, mazishi kufanyiwa ibada ya kidini inaweza kuchangiwa na uhusianao was familia yake kwenye Mambo ya kanisani sio yeye. Tofautisha dini ya kikiristo na jina la kikristo.
Thanks for clarification.

Shoga maarufu aliyefariki anaitwa Godfrey Majunga a.k.a Kaoge
Screenshot_20211220-105252.png

Mazishi yake yaliongozwa na Kanisa.
 
Ila waislamu ni wanafiki sn,wao ndy wanaongoza kulalamika wananynyaswa na mfumo Kristo kila siku

Unafiki mwingine ni huu;Kusema muziki,Mpira ni ushetani lkn wao ndy wapo on top,wameshikilia crown

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
We unafikiri mziki ni IBADA? Uislam haukuleta masuala ya kipuuzi bali sisi tuliowapuuzi ndo tunafata huo upuuzi wenyewe.
 
Hata asiyekuwa Muslim akijitoa ufahamu na kuanza kutumia neno BISMILLAH RAHMAN RAHIM kabla ya kuanza kufanya jambo lolote la kheri atafanikiwa tu.
 
Hata wewe unayumba mkuu,viongozi wote ni wetu akawa mkristo akawa muislam ni kiongozi wetu issue ni je zile fursa zilizoko mbele yako unazitumiaje?

Siijui imani yako but ktk Imani kweli ya Kikristo hizi excuses hazipo na hazifai kuwepo achia kwa hao wasioweza kutumia bongo zao vizuri waendelee kuzitumia.sisi tunatakiwa tumtumaini Mungu imeandikwa usimtegemee mwanadamu maana yeye hufa na mawazo yake hupotea (kama unayemsema Mkristo mwenzako aliyekufa juzi),sijawahi kupata jibu hivi raisi akiwa dini yangu huwa nafaidikaje?mf:majuzi hapa enzi ya Hayati (mie ni mfanyabiashara) wengi tulikula msoto mie mkristo,muislam Buddha etc wote wembe ulikuwa mmoja sasa unaweza kuniambia kuna afadhali gani?
Nimetoa mtizamo wangu wewe unaniambia nimeyumba?. Nilikuwa namjibu mtu Hapo juu aliyesema Marais waislamu ndio Hufanya vizuri. Hayo ni maoni yangu kwako yanaweza yasiwe sahihi.
 
Waislamu Kuna kitu wametuzidi wakristo na inabidi tujitafakari sana matendo Yao, mie Mkristo ila huwa na enjoy utawala wa Waislamu, huwa hawana mambo ya hovyo hovyo hivi tofauti na sie
Nakuunga Mkono.
Mimi ni Mkristo pia ila
Mwislamu anapokuwa Raisi huwa mambo yangu yananyooka sana
Utawala wa
Mwinyi
Kikwete
Na
Samia
Nimefanikiwa sana kimaisha.

Ila zama za
Mkapa
Magufuli
Zilikuwa kama Jehanam kwangu mimi. Mambo yangu yalikuwa Ovyo kabisa

Pongezi sana kwa Jamaa Zetu wa Kiislamu.
Mungu awajalie muendelee kufanikiwa.
Nchi hii haina Udini wala Ukabila katika kiwango kisichofaa.
 
Back
Top Bottom