Kuna shida sana katika fikra za mtu mweusi!!
Nadhan ndo maana Dunia haitaacha kumtenga na kumbagua!!
Wakati nchi nyingine zikiwaza technologia kuna mtu anawaza dini za wazungu na waarabu ambazo c utaifa wala urace???
Sasa waisilamu kwan nn?? Uislam n ideology au iman ya dini lakni watu n wale wale waafrica watanzania!!!
Uislam si taifa wala kabila ??
# kuna haja ya africa kueliminate kuondoa hizi pple zenye frozen mind za ideology ya kidini!!? Ni kama wazimu fulan!!
Hata saud arabia hawajawai jiona waislam vs wakristo n wote wasaudia

Tulitawaliwa mara ya kwanza kwa sababu ya mindset za ivi tutatawaliwa tena na mchina!! Kisa uozo mlioujaza watu weusi vichwan