Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

1. Sahih al-Bukhari 810-870 BK, 256 BH

1a. "Alisimulia baba wa Hisham: Khadija alkufa miaka mitatu kabla ya Nabii kuondoka Madina. Alikaa huko miaka miwili au zaidi kisha akamuoa 'Aisha alipokuwa msichana mwenye umri wa miaka sita, na Muhammad aliikamilisha ndoa yao kwa tendo la unyumba wakati 'Aisha alipokuwa na umri wa miaka tisa." Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 43 na.236, uk.153.

1b. Habari hizo zipo pia kwenye Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 43 na.234, uk.152.

1c. "Alisimulia 'Urwa: Nabii aliandika (mkataba wa ndoa) na 'Aisha wakati msichana alipokuwa na umri wa miaka sita na aliikamilisha ndoa yake nay eye kwa tendo la unyumba wakati akiwa na miaka tisa na 'Aisha aliendelea kuwa naye kwa miaka tisa (yaani mpaka kifo cha Nabii). Bukhari juzuu ya 7 kitabu cha 62 sura ya 60 na.88, uk.65.

1d. Alisimulia 'Aisha: Nabii alikuwa akinisitiri kwa Rida (vazi lenye kukinga sehemu ya juu ya mwili) yake nilipokuwa nawaangalia Waethiopia waliokuwa wanacheza kwenye ua wa nyuma wa msikiti. (Niliendelea kuangalia) hadi nilipotosheka. Hivyo unaweza kuelewa ni jinsi gani binti mdogo (ambaye hajafikia umri wa kuvunja ungo) ambaye ana hamu ya kufurahia burudani alivyofanyiwa mambo ya namna hii. Bukhari juzuu ya7 kitabu cha 62 sura ya 115 na.163, uk.119.

1e. "Alisimulia 'Aisha: (mke wa Nabii) sikumbuki kama wazazi wangu waliamini dini yoyote ile isipokuwa dini ya kweli (yaani Uislam), na (sikumbuki) siku yoyote iliyopita bila sisi kutembelewa na Mtume wa Allah asubuhi na jioni." Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 4 na.245, uk.158. Kwa hiyo, 'Aisha ama hakuwa mkubwa ama hakuwa amezaliwa kabisa wakati wazazi wake walipo badili dini na kuwa Waislam. Jambo hili linaendana na yeye kuwa mtoto wakati ndoa yake na Muhammad ilipokamilishwa kwa tendo la unyumba.

2. Sahih Muslim 817-875 BK, 261 BH

Mkusanyiko huu unachukuliwa kuwa wa pili wenye kuaminika zaidi miongoni mwa Hadithi.

2a. "(3309) A'isha (Allah na apendezwe naye) aliripoti: Mjumbe wa Allah (amani na iwe juu yake) alinioa nilipokuwa na miaka sita, na niliingizwa nyumbani mwake nikiwa na miaka tisa. (A'isha) Aliendelea kusema: Tulikwenda Madina na nilishikwa na homa kwa muda wa mwezi mmoja, na nywele zangu zilianguka hadi kwenye ndewe (masikioni). Umm Ruman (mama yangu) alikuja kwangu na wakati huo nilikuwa kwenye bembea pamoja na wenzangu ninaocheza nao. Mama aliniita kwa sauti na nilikwenda kwake na sikujua kwa nini aliniita. Alinishika mkono na kunipeleka mlangoni, na nilikuwa ninasema: Ha, ha (kana kwamba nilikuwa natweta kwa mshangao), mpaka msukosuko wa moyo ulipomalizika. Alinipeleka kwenye nyumba ambako walikuwa wamekusanyika wanawake wa the Ansar. Walinibariki na kunitakia bahati njema na kusema: Uwe na sehemu katika mambo mazuri. Mama alinikabidhi kwao. Waliniosha kichwa changu na kuniremba na hapakuwa na kitu kilichonitisha. Mjumbe wa Allah (amani na iwe juu yake) alikuja pale asubuhi, na nilikabidhiwa kwake." Sahih Muslim juzuu ya 2 kitabu cha 8 sura ya 548 na.3309, uk.715-716.

2b. "(3310) A'isha (Allah na apendezwe naye) aliripoti: Mtume wa Allah (amani na iwe juu yake) alinioa nilipokuwa na miaka sita, na niliingizwa kwenye nyumba yake nilipokuwa na miaka tisa."
(3311) A'isha (Allah na apendezwe naye) aliripoti kuwa Mtume wa Allah (amani na iwe juu yake) alimuoa alipokuwa na miaka saba, na alipelekwa kwenye nyumba yake (Mtume) kama bibi arusi alipokuwa na miaka tisa, na hapa midoli (wanasesere) yalikuwa pamoja naye: na (Nabii Mtakatifu) alipokufa 'Aisha alikuwa na miaka kumi na nane." Sahih Muslim juzuu ya 2 kitabu cha 8 sura ya 548 na.3310, 3311, uk.716.

2c. "(5981) A'isha aliripoti kuwa alizoea kuchezea midoli mbele ya Mjumbe wa Allah (amani na iwe juu yake) na wenzake aliokuwa akicheza nao walipokuja (nyumbani) kwake waliondoka kwa sababu walimwonea aibu Mjumbe wa Allah (amani na iwe juu yake), lakini Mjumbe wa Allah (amani na iwe juu yake) aliwatuma kwake (A'isha).

2d. (5982) Hadithi hii imesimuliwa kwa mamlaka ya Hisham ikiwa na mlolongo ule ule wa waenezaji huku ikiwa na utofauti kidogo wa maneno." Sahih Muslim juzuu ya 4 kitabu cha 29 sura ya 1005 na.5981-5982, uk.1299.

3. Sunan Abu Dawud 817-888/9 BK, 275 BH

3a. "(2116) A'isha alisema: Mtume wa Allah (amani na iwe juu yake) alinioa nilipokuwa na miaka saba. Msimuliaji Sulaiman alisema: Au miaks sita. Mtume alifanya nami tendo la unyumba nilipokuwa na miaka tisa." Sunan Abu Dawud juzuu ya 2 kitabu cha 5 sura ya 700 na.2116, uk.569.

3b. "(4913) A'isha alisema: Nilizoea kuchzea midoli. Nyakati zingine Mtume wa Allah (amani na iwe juu yake) aliniingilia wakati wasichana walikuwa pamoja nami. Alipoingia (ndani ya nyumba) walitoka nje, na alipotoka nje waliingia ndani." Sunan Abu Dawud juzuu ya 3 kitabu cha 36 sura ya 1769 na.4913, uk.1373.

Angalia kwa ungalifu. Hii haimaanishi kuwa Muhammad alifanya tendo la ndoa na A'isha wakati wenzake aliokuwa akicheza nao wakiangalia. Badala yake inamaanisha kuwa wenzake walicheza naye, na walienda nje wakati Muhammad alipokuja, na walirudi baada ya Muhammad kuondoka.

3c. "(4915) A'isha alisema: Mtume wa Allah (amani na iwe juu yake) alinioa nilipokuwa na miaka saba au sita. Tulipokuja Madina, baadhi ya wanawake walikuja. Kwa mujibu wa maelezo ya Bishr: Umm Ruman alikuja kwangu nilipokuwa nabembea. Walinichukua, walinitayarisha na kunipamba. Baada ya hapo nilipelekwa kwa Mtume wa Allah (amani na iwe juu yake), na alinichukua na kuanza kuishi nami kinyumba nilipokuwa na miaka tisa. (Umm) alinivutia mlangoni na niliangua kicheko.
Abu Dawud alisema: Hii ndio kusema: Nilipata siku za mwezi, na nililetwa kwenye nyumba, na kulikuwa na wanawake kadhaa wa Ansari (Wasaidizi) ndani yake. Walisema: Kwa bahati nzuri na baraka. Masimulizi ya baadhi yao yamejumuishwa na mengine. Sunan Abu Dawud juzuu ya 3 kitabu cha 36 sura ya 1770 na.4915, uk.1374.

3d. (5916) [kosa la uchapaji, namba sahihi ni 4916]. Masimulizi yaliyotajwa hapo juu yalienezwa pia na Abu Usamah kwa namna kama hii hii kupitia mlolongo wa wasimulizi tofauti. Maelezo haya yanasema: 'Kwa bahati nzuri.' (Umm Ruman) alinikabidhi kwao. Waliniosha kichwa changu na kunivisha upya. Hakuna mtu aliyekuja kwangu mara moja isipokuwa Mtume wa Allah (amani na iwe juu yake) mchana wa kabla ya saa sita. Hivyo walinikabidhi kwake. Sunan Abu Dawud juzuu ya 3 kitabu cha 36 sura ya 1770 na.4916, uk.1374.

3e. (4917) A'isha alisema: Tulipokuja Madina, wanawake walikuja kwangu wakati nilipokuwa nacheza kwenye bembea, na nywele zangu zilifika kwenye masikio. Waliniletea, wakaniandaa na kunipamba. Kisha wakanipeleka kwa Mtume wa Allah (amani na iwe juu yake) na alinichukua na kuishi nami kinyumba, nilipokuwa na umri wa miaka tisa. Sunan Abu Dawud juzuu ya 3 kitabu cha 36 sura ya 1770 na.4917, uk.1374.

3f. (4918) Masimulizi yaliyoelezwa hapo juu yalienezwa pia na Hisham b. 'Urwah kupitia kwenye mlolongo wa asimlizi tofauti. Maelezo haya yanasema pia: Nilikuwa nabembea na nilikuwa na marafiki zangu. Walinichukua na kunipeleka kwenye nyumba; kulikuwa na wanawake kadhaa wa Ansar (Wasaidizi). Walisema: Kwa bahati njema na baraka. Sunan Abu Dawud juzuu ya 3 kitabu cha 36 sura ya 1770 na.4918, uk.1374.

3g. (4919) A'isha alisema: Tulifika Madina na kuishi na Banu al-Harith b. al-Khazraj. Alisema: Naapa kwa Allah, nilikuwa nabembea kati ya mitende miwili. Kisha mama yangu alikuja, na aliniambia nishuke chini; na nywele zangu zilifika kwenye masikio. Kisha muenezaji anasmulia masimulizi yaliyobaki." Sunan Abu Dawud juzuu ya 3 kitabu cha 36 sura ya 1770 na.4915-4919, uk.1374.

Hitimisho kuhusu Abu Dawud: nukuu na nukuu znazopinga nukuu 7 zinathibitisha kuwa A'isha alikuwa na miaka tisa.

4. Tirmidhi 825-892 BK, 209-279 BH

Siwezi kusema kitu chochote kuhusu umri wa A'isha kwenye Tirmidhi kwani siwezi kuipata Jami ya Tirmidhi. Hata hivyo Shamaa-il ya Tirmidhi haina kitu chochote kinachohusiana na jambo hili.

5. Sunan Nas'ai 830-915 BK, 215-303 BH

Sunan Nas'ai yenyewe haiongelei jambo hili.

Hata hivyo, tafsiri ya Kiingereza inasema, "Wakati Hadrat A'isha alipopitisha miaka tisa ya ndoa, Nabii Mtakatifu Muhammad (amani na Baraka za Allah na ziwe juu yake) alipata maradhi yanayosababisha kifo. Tarehe 9 au 12 ya mwezi wa Rabi-ul-Awwal 11 BH, aliondoka kwenye ulimwengu huu wenye kudumu hadi kifo ...Hadrat A'isha alikuwa na miaka kumi na nane wakati Nabii Mtakatifu Muhammad (amani na Baraka za Allah na ziwe juu yake) alipokufa na aliendelea kuwa mjane kwa miaka arobaini na nane hadi wakati alipokufa akiwa na miaka sitini na saba." Sunan Nasa'i juzuu ya 1 #18, uk.108-109 (Maelezo ya Kiingereza yanatangulia)

Kumbuka kuwa (A'isha) alikuwa na miaka tisa ya ndoa na Muhammad, na kwa kuwa alikuwa na miaka kumi na nane Muhammad alipofariki, alikuwa na miaka tisa alipoanza maisha ya ndoa yake na Muhammad.

6. Ibn-i-Majah 824-886/887 BK, 273 BH

6a. A'isha aliolewa alipokuwa na miaka sita, na tisa alipokwenda kwenye nyumba ya Muhammad. Ibn-i-Majah juzuu ya 3 kitabu cha 9 sura ya 13 na.1876, uk.133.

6b. A'isha aliolewa akiwa na miaka saba, alikwenda kwenye nyumba ya Muhammad akiwa na miaka tisa, na alikuwa na miaka 18 wakati Muhammad alipokufa. Kwa mujibu wa al-Zawa'id, isnad zake ni sahihi kwa mujibu wa Bukhari. Hata hivyo Abu 'Ubaida hakusikia kwa baba yake, kwa hiyo ni munqata (ina pengo) Ibn-i-Majah juzuu ya 3 kitabu 9 sura ya 13 na.1877, uk.134.
Sasa Cha ajabu ni kipi hapo?
 
na asilimia 70% ya matajiri Tanzania Ni waislamu, unajua sababu ????
Hiyo ni Rank ya Kitaifa na ya kidunia??? Kweli akili yenu inaishia kuona msikitini na mipaka ya TZ tu

Kwanza hao unaowasifia kuwa Matajiri sio Wabantu kama wewe wenye nywele ngumu na pua pana kama ngumi

Sasa badala umsifie Reginald Mengi mtanzania halisi na Mbantu aliyekuwa tajiri haswa unawasifia Watu wenye asili ya Asia kisa ni Waislam ndio maana mnaolewa nao.
 
Wai milembe,serikali imetoa offer itawalipia
 
Wala nguruwe wamechachamaa, kwani lazima kujenga kanisa pemba, wenyewe hawataki, wanahofia msije mkapeleka mambo ya Ushoga kule, maana washaona mfano rahisi mnavyomtetea huyo padri Chuo anayetuhumiwa kuliwati , it's means Ni vitu vya kawaida kwenu huko
 
Wapo Kutoka jeshini, Polisi , usalama wa Taifa wameletwa kwa malengo maalum wanayoyajua wenyewe na wahamiaji wa kimakonde ambao wako kisiwa cha Njao na kule Makangale. Hawa wamakonde ni wastaarabu sana wala hawana shida na mtu , hayo mambo ya fujo ni haya makanisa yaliyohalalisha ndoa za mashoga ndio matatizo
Pemba wakristo wapo ..Tena wa kuzaliwa..

Hao wamakonde walokuwepo hapo Ni sawa na raia wengine ... .. labda Kama huijui asili ya wakaazi wa Pemba .. ..

Huyo mwarabu aliwakuta wenyeji weusi fiiii... .. . nyamwezi..makonde..watu wa kilwa ,bagamoyo. Kenya.. wamanyema wa Congo..nk.. .. nk..

Nakubali Ni wachache kwa vile wengi walisilimu.. .. lakini wakristo wapo Tena Ni wenyeji Kama raia wengine!

Siongei kwa kusikia .. .. .. tu..

Kuhusu makanisa mengine Hilo siungi.mkono japokiwa sijajua likitaka jengwa kanisa gani.. na Sina ujuzi nayo..

Hili Ni suala la mda tu.. .. kutabadilika.. wapemba kila sehemu tupo bara huko ..tunakoelekea sasa ndio Kama hivi.. ..na mahoteli kibao yanajengwa .. .. baada ya miaka michache kutakuwa Kama unguja!

Makosa yalishafanyika zamani.. haya ya sasa Ni matokeo tu.. ..
 
Wala nguruwe wamechachamaa, kwani lazima kujenga kanisa pemba, wenyewe hawataki, wanahofia msije mkapeleka mambo ya Ushoga kule, maana washaona mfano rahisi mnavyomtetea huyo padri Chuo anayetuhumiwa kuliwati , it's means Ni vitu vya kawaida kwenu huko
Mambo yakishoga zenji yapelekwe huko mara ngapi..waarabu walishagamaliza kazi kuhusu hilo la ushoga labda mnatake version nyingine ya ushoga.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwani wenye dini yao wanasemaje??

screenshot_20220521-114037_gallery-jpg.2240761
Duuh

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Pemba wakristo wapo ..Tena wa kuzaliwa..

Hao wamakonde walokuwepo hapo Ni sawa na raia wengine ... .. labda Kama huijui asili ya wakaazi wa Pemba .. ..

Huyo mwarabu aliwakuta wenyeji weusi fiiii... .. . nyamwezi..makonde..watu wa kilwa ,bagamoyo. Kenya.. wamanyema wa Congo..nk.. .. nk..

Nakubali Ni wachache kwa vile wengi walisilimu.. .. lakini wakristo wapo Tena Ni wenyeji Kama raia wengine!

Siongei kwa kusikia .. .. .. tu..

Kuhusu makanisa mengine Hilo siungi.mkono japokiwa sijajua likitaka jengwa kanisa gani.. na Sina ujuzi nayo..

Hili Ni suala la mda tu.. .. kutabadilika.. wapemba kila sehemu tupo bara huko ..tunakoelekea sasa ndio Kama hivi.. ..na mahoteli kibao yanajengwa .. .. baada ya miaka michache kutakuwa Kama unguja!

Makosa yalishafanyika zamani.. haya ya sasa Ni matokeo tu.. ..
Kumbe unguja makanisa yako mengi tu?

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Wala nguruwe wamechachamaa, kwani lazima kujenga kanisa pemba, wenyewe hawataki, wanahofia msije mkapeleka mambo ya Ushoga kule, maana washaona mfano rahisi mnavyomtetea huyo padri Chuo anayetuhumiwa kuliwati , it's means Ni vitu vya kawaida kwenu huko
Yani wapeleke ushoga ulipozaliwa😂😂.
Hapa Tz ushoga umezaliws zanzibar
 
Hawana hata viatu, wanasubiri msaada kutoka kwa bakhressa.
Yaani nimeshangaa 99.9% ya waandamanaji wote wanaonekan ni hali mbaya kweli kweli na hao ndiyo chakula cha wanasiasa na viongozi, yaani wanatumika pasipo kujijua.
 
Pemba wakristo wapo ..Tena wa kuzaliwa..

Hao wamakonde walokuwepo hapo Ni sawa na raia wengine ... .. labda Kama huijui asili ya wakaazi wa Pemba .. ..

Huyo mwarabu aliwakuta wenyeji weusi fiiii... .. . nyamwezi..makonde..watu wa kilwa ,bagamoyo. Kenya.. wamanyema wa Congo..nk.. .. nk..

Nakubali Ni wachache kwa vile wengi walisilimu.. .. lakini wakristo wapo Tena Ni wenyeji Kama raia wengine!

Siongei kwa kusikia .. .. .. tu..

Kuhusu makanisa mengine Hilo siungi.mkono japokiwa sijajua likitaka jengwa kanisa gani.. na Sina ujuzi nayo..

Hili Ni suala la mda tu.. .. kutabadilika.. wapemba kila sehemu tupo bara huko ..tunakoelekea sasa ndio Kama hivi.. ..na mahoteli kibao yanajengwa .. .. baada ya miaka michache kutakuwa Kama unguja!

Makosa yalishafanyika zamani.. haya ya sasa Ni matokeo tu.. ..
Kakudanganya nani na Mimi ni kwetu naishi huku?

Historia haifutiki ya ukombozi wa visiwa vyetu vya Zanzibar kutoka katika makucha ya Wareno. Oman baada ya wao kujikombowa na madhila chini ya utawala
wa Kireno kutoka 1508 hadi 1631 ndio ikawa sababu ya
kukombolewa Zanzibar.

Imam Seif alifanya ukombozi wa visiwa hivi. Alikubali maombi ya wazee wa Visiwa hivi na akatuma majeshi na kwenda Mombasa na kuishambulia
Ngome ya Yesu katika mwaka 1661. Majeshi hayo ya Waoman waliuteka mji wa Mombasa lakini hawa kuweza kuwafukuza Wareno.

Mtawala mpya wa Oman alipopatikana Imam Seif bin
Sultan Al Yarubi (Qaidul Ardh) akatuma majahazi 18
yenye jumla ya askari 3000
kutoka makabila mbalimbali
ya Mashariki ya kati yakiongozwa na Jemedari
Mkuu wa kabila la kibulushi
Kutoka pwani ya Makarani
Jimbo la Baluchistan la Uajemi. Jemedari Amir Shahdad Chotah.

Tunakumbuka historia ya watu wa Oman na tunajuwa
na kuthamini roho za raia zao waliopoteza maisha yao kwaajili yetu Wazanzibari na hatutaweza
kusahau mchango wao watu wa Oman.

Hatutawasahau wazee walio kwenda Oman kuomba msaada wa Jeshi la kuja kutukombowa kutokana na unyama na mateso ya Wareno waliowatendea wazee wetu wa hapa Zanzibar na wa huko Oman.

UJUMBE WA WATU 8

1) Mwinyi Nguti wa Mwinyi
Mwinzangu, mzee wa Waswahili wa Mombasa.

2) Mwishihali Bin Ndari
3) Maalim Ndao Bin Haji
4) Mwinyi Mole Bin Haji
5) Shekh Ahmed Al - Malindi
6) Mtomato wa Mtorogo
7) Kubo wa Mwamzungu
( mzee wa kidigo)
8)Shahame Bin Shoka
(wa kisiwa cha Pemba)

Mwenyezi Mungu awarehemu na kuwalipa pepo maana ndio sababu ya Uislamu ukatamalak visiwani petu. Kama si Rehma zake Mwenyezi Mungu leo tungali kuwa na msalaba vifuani mwetu.

KARIBU sana Mfalme wa Oman Zanzibar tungelifurahi kama ungelitutembelea hapa visiwani. Tunamuomba Rais wetu Hussein Mwinyi aione historia yetu na ya Waoman kwa moyo na jicho lenye faraja na aweze kumualika Mfalme wa Oman kuja tembea katika visiwa vyetu vilivyo Sheni utamaduni wa nchi mbali mbali khususana wa watu wa Oman.
 
Yaani nimeshangaa 99.9% ya waandamanaji wote wanaonekan ni hali mbaya kweli kweli na hao ndiyo chakula cha wanasiasa na viongozi, yaani wanatumika pasipo kujijua.
Hali mbaya ni vita aliianzisha Nyerere dhidi ya waislamu, mzimu wake bado unatesa
 
Back
Top Bottom