Waislam na Wakristu tugawane Tanzania!

Waislam na Wakristu tugawane Tanzania!

Status
Not open for further replies.
aliyeanzisha hii k2 ajafanya vzuri tusifike mahali pa kujadili mambo mazito namna hii kijujuu hivi najiuliza nchi aina raisi mbona uhuru unapitiliza hivi jamani
 
aliyeanzisha hii k2 ajafanya vzuri tusifike mahali pa kujadili mambo mazito namna hii kijujuu hivi najiuliza nchi aina raisi mbona uhuru unapitiliza hivi jamani

Wamezidi hawa waislam kila kukicha wao ni kulalamika tu. Japo wapo watanaopinga hii thread lakini ukweli unabaki waislam wamekuwa walalamishi mno hivyo wakati umefika tugawane hii
nchi ila kila waumini wajitawale kwa jinsi watakavyoona ni bora kwao katika kujiletea maendeleo.
 
freemason ndio wenye nchi wanawaona waislamu na wakristo wakitamba pindi watapoamka litakuwa janga kuu



nasema nchi hii ni ya mafreemason sio ya waislamu au wakristo
 
Hata kule Indonesia, nchi yenye idadi kubwa zaidi ya Waislamu duniani, wanalalamika kuwa "wanaonewa!" Saud Arabia ndio usiseme! Nafikiri kuwa huko madrassa wanafundishwa jinsi ya kulalamika hata kama hakuna sababu!

....... toa solution ! ...... mbona na wewe unalalamika ? kwani umesoma madrasa au sunday school ?
 
Wana JF,
hmethod,

Kule yalipotokea mauaji, vita, kuvunjika kwa amani yalianza kama hivi....vijineno, hamasa, wewe na mimi tunalumbana, tunapata waunga mkono hoja zetu,...sumu inaendelea kutambaa mwilini.

Tujue tu siku mambo yakifumka watakaoathirika ni wote wenye dini na wasio na dini. waliokaa kimya na waliokuwa wakipuliza vuvuzela.
Likitokea hilo, jamii ikifumuka kwa mbegu hizi tunazozipandikiza, usije ukaruka ,ukajifanya hukutia mkono wako katika kutokea kwa hilo. nafsi yako itakuja kukusuta ,na maangamizo, madhara yatakuwa yameshatokea.

kukinga ni bora kuliko kutibu, bandugu!
 
Me nimesema hii thread itoke..mods vipi ninyi?

Kama wanaotoa sentiments hizi wangekuwa wanaangalia facts kwa makini (kiu-great thinker), wala mada hii isingekuwa even raised kabisa.

Wakristo wako 45%
Waislamu wako 35%
Hao 20% mgao wao ni nini?

Tuzikwepe jazba za makongamano ya watu waliokutana na kujadili mambo kwa kutumia mioyo na hisia badala ya bongo zao!! Come on great thinkers!!!

Hizi takwimu ni za sensa ya mwaka gani?
 
Haya mambo ya kiarabu yanatuzingua! Ukristu/ uislam wameletewa wao! Nashauri turudi kwenye dini zetu za asili kwanza halafu ndo tugawane nchi!
hahaha embu wapewe kama huko nako hawatasema wamehujumiwa!tofauti ni kwamba hawatakua na wakumpa lawama zaidi ya wao wenyewe!!kwao kutakua kama sehemu wanayoishi wapelestina compare na wanapoishi waisraeli!!maendeleo watayachungulia na kuyasikia upande wa pili!
 
Tumewasikia viongozi wa Waislam Tanzania wakidai kama vipi tugawane nchi yetu ya Tanzania. Nionavyo mimi hilo ni wazo la kishetani japo siwezi kuwapinga kwa mawazo yao hayo kwani inawezekana kwao ndio suluhisho kwa dhuluma na hila wanazodai kufanyiwa na Wakristu. Mashekh hawa katika tamko lao walilotoa hawakutoa proposal ya mipaka au namna gani nchi hii igawanywe.

Nawakaribisha wana JF tushauriane jinsi ya kuigawa hii nchi baina ya Waislam na Wakristu. (Najua wakristu wataweza kuwa-accomodate wahindu,wabudha,wapagani na wengine wote wasio waislam kwenye nchi watakayopewa.)

Ni wazo la Kishetani Tu kama kweli hayo uloyanena ndiyo kweli wanayoyataka.
 
Wakishapewa nchi ipi itapata maendeleo upesi?
definitely wakristu watapata maendeleo ya haraka kwa kuwa hawapendi majungu,wao wanapenda kazi na maendeleo.Ndiyo maana wana vyuo,shule na hospitali nyingi kuliko hata serikali
.
 
jamani nasikitika sana ndugu zangu waisilamu kwanini hasa mmekaa kisharishari hivo je sisi wapagani tutasemaje maana sie hatuna dini nyie mashehe najua fika mnasumbuliwa na njaa ya sadaka ndiyo maana mnapigana msikitini mpaka sie wapagani tunaona unafikiri iyo ni hekima,tatizo ni kutaka madaraka halafu mkishindwa kuongoza mnaanza kusema mnanyanyaswa kivipi? tafadhalini pelekeni watoto wenu wasome muda mwingi mnatumia elimu dunia,nyie ndiyo mnaohalarihsha furugu hakuna hata siku moja mkawa katika sehemu ya kutetea haki za watanzania nyie mnajipanga kupigania haki za waislamu huo ni ubinafsi wa ahela ambao utawafikisha jehanamu vyongozi wote ambao mnaposha hao wadogo wasiojua uisilamu vizuri,na nyie vyongozi wa kikristo ndo mnaenda wapi huko?kama mmeshindwa kuhubili karibu kijiweni kuliko kurumbana na waisilamu maana wao wanadai mnawanyanyasa hamuwapi haki zao na sijui mnawanyima sadaka na uongozi serikakini.hatutaki huko mnakotupeleka nyie wenye masirahi mabaya na nchi.
 
Wana jf hii mada si nzuri hata kidogo........

Naomba tusiijadili.............mungu ibariki tanzania
 
Naamini kwa dhati ya moyo wangu kuwa inawezekana kabisa waislamu na wakristu tukaishii pamoja kwa furaha na tukashirikiana katika kujenga nchi yetu. Linalotakiwa ni kuwa na KATIBA itakayoupatia ufumbuzi mpasuko tulionao. Tatizo kubwa linalosababisha mpasuko huu wa kidini ambalo waislamu tunalilalamikia ni kuwepo kwa mfumo KRISTU katika uendeshaji/ utoaji maamuzi katika serikali ya nchi hii.

Mimi siamini kuwa kugawana nchi ndio suluhisho la tatizo letu, kwani tukishagawana watu watalazimishwa kuabudu dini ya upande mmoja? Ieleweke kuwa Uislamu unatoa nafasi kwa kila mtu kuabudu anavyotaka. Nawasihi wana JF tujadiliane kwa lengo la kuelimishana na kuwekana sawa, wala tusitumie jazba na lugha za matusi na kashfa. Ieleweke kuwa nchi hii ni yetu wote na machafuko yoyote yatatuathiri wote bila kujali imani zetu.
 
.. waislamu tunalilalamikia ni kuwepo kwa mfumo KRISTU katika uendeshaji/ utoaji maamuzi katika serikali ya nchi hii....
Walau wewe umeongea vizuri, ila nina swali moja tu kwako: Unaweza ukawa very specific kueleza huo mfumo Kristu ni upi? Naomba uwe specific ili nijue wanacholalamika waisilamu hasa ni nini, maana huwa najiuluza but I always miss the answer!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom