Ieleweke kuwa waislamu hatuombi special favour kutoka serikalini wala hatuna mahitaji ya kimwili tofauti na ya Wakristu. Ila tunachotaka sisi kuona nchi hii inaendelea kuwa moja kwa misingi ya mnyonge kupewa haki yake na dhalimu kunyanganywa alichodhulumu na kufikishwa mbele ya sheria. Uislamu unaona ni bora kuishi chini ya kiongozi mbaya kuliko kuishi bila kiongozi, sembuse kiongozi awe Mkristu, Hii si ndio bora zaidi?
Ni mambo mengi yanaendeshwa kwa kufuata mfumo KRISTU ila nita-andika machache kati ya hayo.
1. Bunge letu tukufu ninafunguliwa kwa sala ya kikristu.
2. Mapadre wanapinga kuanzishwa mahakama ya kadhi ambayo itasaidia kutatua migogoro yetu ya ndoa na mirathi
3. Kanisa liliichochea serikali kufanya mauaji ya halaiki pale Mwembechai na Zanzibar
4. Serikali kufadhili uendeshaji wa Hospitali/ Shule za kulipia zinazoendeshwa na kanisa
5. Serikali kubadili maamuzi baada ya Mh. Benard Membe kuitwa na Mh. Polycap Pengo na kumtaka aache mpango wa Serikali kujiunga na OIC.
6. Serikali kusimamia/ Kufadhili chaguzi zote za BAKWATA kwa lengo la kuchakachua fikra za kuleta umoja miongoni mwa waislamu
7. Serikali kushiriki katika kuuwa World Islamic League (Organisation iliyokuwa inawaunganisha waislamu wa Africa Mashariki and World in general)
8. ete, etc
Ingawa ni machache lakini yote yanajadilika, vipi tugawe nchi?