Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,446
- 2,490
nimekuchukia hata jina unalotumia halikufai manake haliendani na matendo yako.Imnai haipimwi hospitali,wacha wanaoamini waende na ww pia kapime kisukari nk.Wakati wa DECI mlikusanyana pale Sabasaba Kilwa Road mkasema maneno haya haya. Oooh Yesu anagawa utajiri, kwa Mungu yanawezekana! mwisho ukweli ukajulikana kuwa ilikuwa ni SCAM! Nashangaa wale maaskofu walioshadidia hili hawakuwaomba radhi!
Leo unakuja ushetani mwingine watu mnaleta stori zilezile! Soon ukweli utajulikana msije mkabadilisha kauli hapa!
La msingi, nani aliyepimwa na kuthibitika ana HIV antumia ARV akaenda huko kwa babu akapona? Apimwe tuthibitishe kuwa kapona! Msitulee stori za imani imani hapa!