Nimewamiss sana wakongwe wa JF enzi hizo akina NGULI , gambalanyoka , Lunyungu etc.
Enzi hizo thread ikianzishwa ni thread kweli.
Pamoja sana mkuu.Mkuu nashukuru Kwa acknowledgement mimi nipo nakuwa msomaji zaidi Kwa vile JF kumekuwa na vurugu sana.
Why vitu vyote vitamu ukigusa ni dhambi??
Kula Kiti moto sio dhambi, labda haujaielewa Kuruan. It is halal to eat Kitimoto.
Afanyiwe maombi.inshallaah mungu atajua cha kumfanya
Japo mimi sio muislam,lakini natambua vyema kuwa kwa wenzetu kitimoto ni haramu.Sasa leo nimekutana na Hassan Mansoor anasema dhambi ya kula kitimoto ni kama dhambi zingine ya kuzini,kutukana nk.Kwa hiyo akipata fursa anakamua.Daah nimesikitikana sana
Leta ushahidi we KAFIRI
Mwanakharamu we!
Japo mimi sio muislam,lakini natambua vyema kuwa kwa wenzetu kitimoto ni haramu.Sasa leo nimekutana na Hassan Mansoor anasema dhambi ya kula kitimoto ni kama dhambi zingine ya kuzini,kutukana nk.Kwa hiyo akipata fursa anakamua.Daah nimesikitikana sana
Mungu na nguruwe wapi na wapi? huyu Mungu anayekaa kufikiria mtu kala nguruwe sijui kama kweli yupo! These are petty things to occupy the thinking of Mungu on human beings! These are human inventions, I believe and through human reasoning!
Why vitu vyote vitamu ukigusa ni dhambi??
Kula Kiti moto sio dhambi, labda haujaielewa Kuruan. It is halal to eat Kitimoto.
Mwenyezi mungu akusamehe dhambi ya uongo wewe mleta mada.