Wairaqw ndivyo walivyo?

Status
Not open for further replies.

There you are!!for sure umetoa ufafanuzi murua!good!jamaa akitaka anyoe au asuke!Laway 'ok!
 
Naona humu JF Wairaqw ni wengi kilugha inamwagwa tu, kwa mulizaji usiwe na shaka ukitaka kuoa uende kwao upafahamu, kwa ujumla ni wazuri(beauty) na wavumilivu na wapole. Kuna wengine wamechangia kuwa ni warahisi kukubali mambo ya kikubwa mi naona msiwahukumu kwa hilo kwani makabila yote siku hizi wako hivyo. Akina Daffi Laway o tsindoka
 

Hakika tuko wengi kumbe!watu wasipende generalize tabia za watu wote kwakuangalia za mtu mmoja au kikundi cha watu wachache!sijui hao sample waliowa'study wamewapata wapi na wametumia criteria zipi mpaka wahitimishe/conclude hivyo!!Aning tihho',kung a sayitah!
 
Aning tihho sleme mu amosing intsihhisek slemerow.
Ni kweli wasiwaseme ubaya Wairaqw, hata kwetu tumewao hao akina Shimboni, wapare, Mmasai wote ni sawa tu.
 
wanakeketwa hao. kumbuka hilo...vipi wa kwako amepona?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…