Mleta mada amepotosha wengi kwa kutumia kichwa cha habari, "Waingereza wamnanga Kikwete", wakati hayo mambo yenye ukweli mtupu yameandikwa na mtu mmoja tu. Kuna wengine wamelinganisha na ile habari ya Israeli, lakini huyu si waziri, wala mtu mwenye wadhifa wa ngazi yoyote kitaifa Uingereza. Kama ambavyo mchangiaji mmoja amesema, ni comment kama zinavyotolewa humu JF, hilo ni gazeti la The Guardian online la Uingereza.
Mtoa mada yuko sawa kabisa, kweli huyo jamaa ana haki ya kutuponda sababu hiyo misaada tunayopata toka Uingereza ni kodi zao wanazolipa. Kwa hiyo yeye ni mmoja wa walipa kodi, lazima hela yake iume kutumika vibaya.
:rant: