labda uwe mvivu wa kufikiri ndipo uungane
na waingereza ambao ktk siku za karibuni tumekataa maombi yao mengi kwani walitaka kumbuluza jk
Nimesoma comments hapa na kujikuta naona vyema niwashirikishe mjue wazungu wanavyomnanga rais wetu.
Mkuu hii inatisha, hivi kweli kuna watu wake wanasoma na kumpa hizi taarifa?????????? Kama ni kweli angeona aibu wala asingelikwenda kwenya huo mkutano!!!!!!!!!!!! Hii ni aibu kubwa kwa taifa na Mheshimiwa!!!!Nimesoma comments hapa na kujikuta naona vyema niwashirikishe mjue wazungu wanavyomnanga rais wetu.
jk aliwakatalia ombi lao la kuwekeza kwenye urenium na kuleta balozi shoga llazima wamtukane kulipa kisasi
Duuh! hii ni aibu kubwa sana kwa Rais wetu....i wish angesoma coment za huyu RB hakika angejiona kama yuko uchiRichard Brunwick banaa kampiga Kikwete madongo kweli......Kikwete a Muzungu Worshiper.....We must question the nation that welcomes this "Joker's" request for AID.....He needs to be in a "no-fly" list so that he can be serious.......
Wewe MAMA POROJO hayo yaliyo semwa kuna la uongo??????? Hawajasema kuwa serikali ya Uingeleza inafanyaje au inasemaje, ila ni wananchi wa Uingeleza common public ya Uingeleza inaona uchungu tunavyo ibiwa na sisi tuko kimyaaaaaaa, kama wafu vile??????????jk aliwakatalia ombi lao la kuwekeza kwenye urenium na kuleta balozi shoga llazima wamtukane kulipa kisasi
labda uwe mvivu wa kufikiri ndipo uungane
na waingereza ambao ktk siku za karibuni tumekataa maombi yao mengi kwani walitaka kumbuluza jk