Hapo nilipoweka nyekundu naona umekosea:
300 Changes In The NIV and Other Modern Bible Versions
source: 300 Changes In The NIV and Other Modern Bible Versions
Isiyobadilika ni Qur'an pekee.
<br />Na wale wanaovaa magauni yaliyobana hadi zile nguo za sirini zinaonekana mbona hamuwasemi? Naona mmengangania tu suruali. Dont judge a book by its cover. Hakuna vazi litakalompeleka mtu Mbunguni bali imani na mtendo yako. Chamuhimu ni kuwashauri waangalie na mitindo ya nguo wanazovaa imekaaje.
<br />Usiangalie MAVAZI! Angalia mioyo yao! Maana mavazi hawatakwenda nayo mbinguni! suala la kibiashara zaidi! hivi mnataka wakale wapi? Ajira zenyewe ndio hz!
Ukitaka kuzungumzia mavazi zungumzia mavazi, Nani alikuambia au ni wapi imeandikwa suruali ni nguo ya kiume?
Ukitaka kuzungumzia mavazi zungumzia mavazi, Nani alikuambia au ni wapi imeandikwa suruali ni nguo ya kiume?
WanaJF wenzangu mimi binafsi kwa kipindi kirefu huwa nakerwa sana na hawa waimbaji wa nyimbo za injili,hadi najiuliza hivi hakuna chombo kinachoratibu maadili na mienendo ya hawa waimbaji wa nyimbo za injili?.Hasa kinachokera ni mavazi wanayoyavaa sijui kama kwenye biblia kuna sehemu inayomruhusu mwanamke kuvaa suruali.Waimbaji hawa wakumbuke kuwa biblia haifanyiwi marekebisho kama katiba na pia kama wanashindana na waimbaji wa kizazi kipya wawe wazi tuwaelewe mmoja wao namnukuu anayeimba SHETANI HUNIWEZI IMEKULA KWAKO!!!!!!

Acha kukurupuka. Una hakika Quran imebadilika??? Au unajiandikia ili ionekane kuwa kwa sababu Biblia inabadilika kutoka kipindi fulani hadi kingine basi ni lazima na Quran nayo ibadilike.hapo kwenye red acient/classic arabic haiwezekani ikafanana na modern arabic, acha uongo kama unataka ubishi wa kidini hamisha ujinga na umbumbumbu wako kwenye jukwaa la kidini.
Ukweli ni kuwa mabadiliko ya vitabu vyote vya dini inafanywa kutokana na mabadiliko ya matumizi ya maneni bila kuharibu maana iliyokusudiwa, na unapaswa kuelewa kuwa Bible imetafsiriwa kwa lugha nyingi sana ili kila mwanadamu aisome pasipo kuwa mtumwa wa kiarabu, original Bible was written in Acient/classic hebrew, Greek and aramaic (lugha iliyokwisha kufa-haipo).
Kwa mfano miaka ya nyuma 1970-1990's hapa Tanzania, neno shoga lilimaanisha rafiki wa kike hata kwenye kamusi....leo ukisikia mtu anasema kuwa ni shoga inaambatana na maana nyingine ya ms.enge.
Sas ukisoma classic NIV au king james version ya kwanza kabisa usitegemee kuona maneno yamefanana kwa sababu ya mabadiliko ya lugha, likewise qurani, tunaoisoma tunaelewa...tatizo kubwa wewe ni mmoja wa watu mnaopenda umbeya-kusimuliwa simuliwa tu hovyo hovyo vitu ambavyo kwa uvivu wa akili yenu hamtaki kuvichunguza.
hapo kwenye red acient/classic arabic haiwezekani ikafanana na modern arabic, acha uongo kama unataka ubishi wa kidini hamisha ujinga na umbumbumbu wako kwenye jukwaa la kidini.
Ukweli ni kuwa mabadiliko ya vitabu vyote vya dini inafanywa kutokana na mabadiliko ya matumizi ya maneni bila kuharibu maana iliyokusudiwa, na unapaswa kuelewa kuwa Bible imetafsiriwa kwa lugha nyingi sana ili kila mwanadamu aisome pasipo kuwa mtumwa wa kiarabu, original Bible was written in Acient/classic hebrew, Greek and aramaic (lugha iliyokwisha kufa-haipo).
Kwa mfano miaka ya nyuma 1970-1990's hapa Tanzania, neno shoga lilimaanisha rafiki wa kike hata kwenye kamusi....leo ukisikia mtu anasema kuwa ni shoga inaambatana na maana nyingine ya ms.enge.
Sas ukisoma classic NIV au king james version ya kwanza kabisa usitegemee kuona maneno yamefanana kwa sababu ya mabadiliko ya lugha, likewise qurani, tunaoisoma tunaelewa...tatizo kubwa wewe ni mmoja wa watu mnaopenda umbeya-kusimuliwa simuliwa tu hovyo hovyo vitu ambavyo kwa uvivu wa akili yenu hamtaki kuvichunguza.
WanaJF wenzangu mimi binafsi kwa kipindi kirefu huwa nakerwa sana na hawa waimbaji wa nyimbo za injili,hadi najiuliza hivi hakuna chombo kinachoratibu maadili na mienendo ya hawa waimbaji wa nyimbo za injili?.Hasa kinachokera ni mavazi wanayoyavaa sijui kama kwenye biblia kuna sehemu inayomruhusu mwanamke kuvaa suruali.Waimbaji hawa wakumbuke kuwa biblia haifanyiwi marekebisho kama katiba na pia kama wanashindana na waimbaji wa kizazi kipya wawe wazi tuwaelewe mmoja wao namnukuu anayeimba SHETANI HUNIWEZI IMEKULA KWAKO!!!!!!
[h=3]MUME WA FLORA MBASHA ASAKWA KWA UBAKAJI[/h] Posted by GLOBAL on May 29, 2014 at 12:25am 13 Comments 1 Like
Makongoro Oging' na Haruni Sanchawa
JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam linamsaka kwa udi na uvumba Emmanuel Mbasha (pichani) ambaye ni mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kwa madai ya kumbaka shemeji yake mwenye miaka 17 (jina tunalo) ambaye ni yatima.
Taarifa zilizopatikana ndani ya jeshi hilo kupitia vyanzo vyetu makini zinadai kwamba mlalamikaji huyo alifika
Makongoro Oging' na Haruni Sanchawa
JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam linamsaka kwa udi na uvumba Emmanuel Mbasha (pichani) ambaye ni mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kwa madai ya kumbaka shemeji yake mwenye miaka 17 (jina tunalo) ambaye ni yatima.
Taarifa zilizopatikana ndani ya jeshi hilo kupitia vyanzo vyetu makini zinadai kwamba mlalamikaji huyo alifika kituoni hapo Jumatatu iliyopita muda wa mchana na kufungua kesi yenye Kumbukumbu Na. TBT/RB/3191/2014 na ya Jalada la Uchunguzi Na. TBT/IR/1865/2014 akidai kufanyiwa unyama huo kwa siku mbili (Ijumaa na Jumapili) wiki iliyopita nyumbani kwa Mbasha, Tabata-Kimanga, Dar.
Ilidaiwa kuwa, Ijumaa iliyopita mlalamikiwa alifanya kitendo hicho sebuleni nyumbani na Jumapili ilidaiwa alitekeleza ukatili wake huo ndani ya gari lake hali ambayo ilimfanya mlalamikaji kutoa taarifa Kituo cha Polisi, Tabara-Aroma jijini Dar.
Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha anayetafutwa na polisi kwa kosa la ubakaji.Iliendelea kudaiwa kuwa, kufuatia maumivu makali aliyoyapata mlalamikaji huyo ilibidi aende Hospitali ya Amana na kugundulika kuwa aliingiliwa kimapenzi na kumsababishia michubuko sehemu za siri.
HISTORIA YA MLALAMIKAJI
Mlalamikaji ni kati ya watoto mapacha waliozaliwa jijini Mwanza na mama ambaye jina lake halikupatikana mara moja.
Mama wa mtoto huyo (kwa sasa ni marehemu pamoja na mume wake) akiwa muumini wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God (EAGT) aliamua kumtoa mtoto mmoja kwa mama mzazi wa Flora Mbasha kwa lengo la kumlea, wakati huo mtoto huyo alikuwa na miezi mitatu.
Ikaelezwa kuwa, mama wa Flora alikaa na mtoto huyo akimsomesha hadi alipofika darasa la saba ambapo alimkabidhi kwa Flora na kuishi naye hadi alipofikwa na janga hilo.
Maelezo zaidi yanasema Mbasha aliweza kufanya kitendo hicho kwa sababu mkewe (Flora) ameondoka nyumbani na kwenda kuishi hotelini kwa kile kilichodaiwa kwamba kuna ugomvi mkubwa ndani ya ndoa yao.
Taarifa zaidi zinadai kwa sasa Mbasha naye hayupo nyumbani kwake huku mlalamikaji yuko Hospitali ya Amana akiendelea kufanyiwa uchunguzi wa kiafya ili kubaini kama ana maambukizi ya magonjwa ya zinaa au la!
Kwa upande wake mlalamikaji huyo alipopigiwa simu juzi kwa lengo la kuthibitisha kuhusiana na sakata hilo alikiri na kusema amekwishatoa taarifa polisi kwa kitendo alichofanyiwa na mwenye nyumba huyo huyo. Endelea kusoma Magazeti Pendwa ya Global Publishers ili kupata mwendelezo wa tukio
hilo.
ANGALIA GLOBAL TV ONLINE MUDA WOTE KWA HABARI MOTO MOTO; KUINGIA, BONYEZA BANNER HAPA CHINI:
we unayelindwa na damu ya Yesu sijui kama unaelewa. we unasoma Biblia ipi? acheni kujitetea wanakosea maana biblia inasema wanawake wasivae mavazi ya wanaume. we umkuwaona wanaume wakivaa sketi na blauzi wakaenda kanisani kumwabudu Mungu? lakini sishangai sana kwani siku hizi watu hujifunza kuyapita maandiko na kuyaona kama kitu cha kawaida sana. olee wako kik=jana hukumu inakuja
bora umeliona hilo ndugu yangu maana wamekuwa waimbaji wa mipasho na sio injili ya kweli. pia wapo kibiashara zaid ndio maana wanavurunda tu mambo yao
<br />
Asaaaanteeeeee great thinker,Thats y i love Jf,unapata wamwaga ----- na wenye hekima na maarifa kama wewe!! Suruali ni vazi la wanaume,si lazima iandikwe katika lugha ya moja kwa moja,hata kwa akili tu za kawaida!!!
Napata wasiwasi kwa uelewa wenu! Suruali ni vazi la wanaume au tumezaliwa tumekuta wanaume wanavaa! Linaanzaje kuwa ni vazi la wanaume wakati muundo wake una miguu miwili ambayo kla binadamu anayo, suala hapa ni wanaume hawavai magauni na sketi kwa sababu ya maumbile yao tu!