Waifu kanisamehe kikweli kweli au?

naona maradhi unayafuga mwenyewe toka lini mama ndio akawa father house unaona sasa matokeo yake hayo chukua nafasi yako kama kinara kwenye nyumba

Ndugu yangu umeshaoa?
Kuishi na mwanamke ni chalenji kubwa sana ndugu yangu kwani wana mauzi hawa viumbe we acha tu.
 
Inawezekana upo sahihi lakini inategemeana na aina ya simu yenyewe.
Ya kwangu mimi ni Blackberry 9700 ambayo inakupa option ya kusevu kwenye simu au sim card au vyote.
kaka wewe unatumia simu aina gani? Mchina?
duh kaka kumbe una mijihela weye, mie natumia simu ya kihindi hata ya mchina siiwezi kwa bei
 
Ndugu yangu umeshaoa?
Kuishi na mwanamke ni chalenji kubwa sana ndugu yangu kwani wana mauzi hawa viumbe we acha tu.
nimeoa muda mrefu tu ndoa ina 5 yrs old na mtoto wa kwanza ana miaka 7 ina maana ukiunganisha na uchumba kama 12 years hivi

nakusoma vizuri ila jaribu kuweka hali ya kimapenzi sawa hapa home maana kama shemeji amepanga nae kuiba nje inakuwaga ngumu sana kumrudisha kwenye mstari maana hawa wenzetu wakipenda na kukunwa vizuri nje uwa awarudi nyuma tena halafu ni wasiri sana

jaribu kuamsha mapenzi hapo home tena ili kuweka hali ya hewa kwenye mstari
 
ukilala vaa pensi yako ya jeans maana hali ishakuwa tete
na mke akiamka na wewe unaamka maana unaweza kukuta anaenda kuchukua bisu kwenye kabati

hapo inabidi ulale jicho moja limefumba jingine wazi ukichemka tu unajikuta kuzimu
 
Inawezekana upo sahihi lakini inategemeana na aina ya simu yenyewe.
Ya kwangu mimi ni Blackberry 9700 ambayo inakupa option ya kusevu kwenye simu au sim card au vyote.
kaka wewe unatumia simu aina gani? Mchina?

ni Kweli Ndiba me na lisimu langu nikiamisha kadi na message zinahama kama kawaida ..
 
nipo dearest....nimekacrika kama nini, yaani ndibalema amenikacrisha sana,hapo ana cm card ya magendo akija home cm yake ipo hapo ni ya kifamilia zaidi, mwanamke unajidai ooohh mume wangu, oohh mume wangu jamani hatoki nje ...oohh mume wangu jamani cjawahi kuona vituko kwenye cm yake...nachukiaga sana wadada wanaojifanyaga mume wangu mume wangu kumbe ndio kama hawa, wameshamaliza mambo yao huko wakija nyumbani wanakuchora tu.....yaani cjuagi kwanini niliolewa.....unamuamini mtoto wa mwanamke mwenzio kuliko unavyojiamini....mschew!...wadada wa humu ndani wanaume wote mama yao mmoja....hakuna hakuna mwenye mama tofauti...tunayaona kila kukicha...upate wa kukupenda/kukupa heshima/kujali

na mama yao ni nyamayao
 
Waswahili walisema "Kimya kingi kina mshindo mkuu" au kwa ki English "Still water runs deep" Scratch your head
 
Msaada wenu wa mawazo please.
Juzi Nimerudi kutoka safari ya kikazi na kwa bahati mbaya wife ameibamba sim card yangu ya siri(ambayo yeye alikuwa haijui)
Kwenye hiyo laini kuna sms za hatari amezikuta ambazo mtu mzima nimeshindwa kabisa kujitetea kwani mambo ni hadharani.
Ikabidi nimwombe radhi wife na nikamwambia ni shetani tu.
Cha ajabu wife wangu ambaye ni mtata sana akanisamehe kirahisi sana bila kuleta songombingo.
Wakati sio kawaida yake kwani siku za nyuma kama akitilia shaka jambo hata kama si la kweli basi moto wake si wa kitoto.
Jamani hivi wife kanisamehe kikweli kweli au anapanga 'revenge' ambayo nitakiona cha moto?
Au na yeye yapo mabaya yake hivyo kaona ngoma ndroo haina haja ya kulianzisha?
Mwenzenu nina hofu kweli.

kaka hapo hakijaeleweka , mimi nakushauri utumie muda mwingi nae ili kuhakikisha kuwa anaona wewe umegundua kuwa kosa lako ni kubwa sana na huoni kama msamaha aliotoa ni wa kweli.

njia moja ni kuwa kama unafanya kazi ya kuajiliwa omba likizo hata sku 3, ushinde nyumbani, ikiwezekana ugome kula, na ukisema kabisa kuwa huna raha na amani kwa kosa ulilo fanya, ninauhakika baada ya sk mbili hivi ataongea ya moyoni mwake, ni pale atakapoongea tu ndo ujue atakuwa ametoa mzigo moyoni mwake- trust. hiyo nimekusamehe tu kiulaini mimi siiiamini kama ambavyo wewe huiamini
 
hehehe ulano babu.
wacha ukome na kihoro kwanza kisha utajutia baadae.
mie nshajifunza sifumaniwi na wife tena.

wewe umeshindwa intavyuu ya kujiunga na infidelity side

Aisee nimecheka kweli.
kuchinja kobe!!
Kama ntakuwa nimekuelewa, jibu ni ndio 'tumeshapiga kazi' kama kawa.

basi we kazia hapo hapo kwanza...si ameshakusamehe....ila she is watching so watch out.

Then mwone Smiles...yeye atakutambulisha kwa katibu wetu, St RR ambaye naye atakupeleka kwa mweka hazina...ODM ukitoka huko utakuja kwa the King Teamo, baadaye M/kiti nitakupa final advice ya namna ya kudeal na hivi vitu...kuna sheria ulivunja mahali ndo yakatokea hayo...
 
kaka hapo hakijaeleweka , mimi nakushauri utumie muda mwingi nae ili kuhakikisha kuwa anaona wewe umegundua kuwa kosa lako ni kubwa sana na huoni kama msamaha aliotoa ni wa kweli.

njia moja ni kuwa kama unafanya kazi ya kuajiliwa omba likizo hata sku 3, ushinde nyumbani, ikiwezekana ugome kula, na ukisema kabisa kuwa huna raha na amani kwa kosa ulilo fanya, ninauhakika baada ya sk mbili hivi ataongea ya moyoni mwake, ni pale atakapoongea tu ndo ujue atakuwa ametoa mzigo moyoni mwake- trust. hiyo nimekusamehe tu kiulaini mimi siiiamini kama ambavyo wewe huiamini

Ah jamani humu ndani ya nyumba kuna wazoefu balaa..... yaani hii imetoka mdomoni (mkononi) mwa mzoefu haswa!!! Nimecheka sana sipati picha dume zima limegoma kula siku mbili kisa? Toba.
 
nipo dearest....nimekacrika kama nini, yaani Ndibalema amenikacrisha sana,hapo ana cm card ya magendo akija home cm yake ipo hapo ni ya kifamilia zaidi, mwanamke unajidai ooohh mume wangu, oohh mume wangu jamani hatoki nje ...oohh mume wangu jamani cjawahi kuona vituko kwenye cm yake...nachukiaga sana wadada wanaojifanyaga mume wangu mume wangu kumbe ndio kama hawa, wameshamaliza mambo yao huko wakija nyumbani wanakuchora tu.....yaani cjuagi kwanini niliolewa.....unamuamini mtoto wa mwanamke mwenzio kuliko unavyojiamini....mschew!...WADADA WA HUMU NDANI WANAUME WOTE MAMA YAO MMOJA....HAKUNA HAKUNA MWENYE MAMA TOFAUTI...TUNAYAONA KILA KUKICHA...UPATE WA KUKUPENDA/KUKUPA HESHIMA/KUJALI
...Punguza hasira Nyamayao, hayo tunaita ni makosa ya kiufundi inaweza kukutokea hata wewe!:hand:
 
............ Perfomance ilikuwaje?--- ya kwake ??

Mwana jamii one bana!!
kusema kweli perfomance yake ilikuwa hot kama kawa ila mimi nilikuwa dorooo! Si unajua kiuoga uoga ile kitu inatakiwa kichwani usiwe na mawazo kabisa.
 
Cha ajabu wife wangu ambaye ni mtata sana akanisamehe kirahisi sana bila kuleta songombingo.
Wakati sio kawaida yake kwani siku za nyuma kama akitilia shaka jambo hata kama si la kweli basi moto wake si wa kitoto.

Unapenda kula vya wengine, kwa nini na vyako visiliwe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom