Waifu kanisamehe kikweli kweli au?

Kama una namba ya Beauty, hawa ni mapacha. Mbipu atakupigia then atakueleza Smiles kaelekea gesti gani.......... Vipi uko tayari tayari au mpaka upashe na valuu kidogo?


Orait Orait...ngoja nika[ate kabisa supu...hii mechi ngumu hii
 
kwa kweli....chaaa! halafu unasoma inbox na sent, hayo malavidavi yaliyopo humo kama sio strong c mbalii itakuhusu ukute ndio wale wanaowaamini waume zao 101%...pweee.

Hivi Nyamayao wewe Mr. unamaana humwamini?
 
alijisahau kabisa...halafu tulikuwa kwenye matatizo matatizo, bac akachukulia kirahic, nashindwaga kuelewa kama kweli alikuwa anajiamni na alichokuwa anafanya kwanini cku zile alitimua mbio....angenipa hata dk 3 tu....mschwe!

Watu kama nyamayao ndio wanaochukua maamuzi ya kujitoa uhai pale anapogundua mume wake amefanya jambo ambalo hata hukuwahi kuliota.
 
Hivi hapa namsoma mjukuu wangu au memba mpya wa ISC? Katibu, hebu peruzi makabrasha hapo!:llama::llama::llama:
Babu ... wanasema ukiwa mpiganaji mzuri unatakiwa umjue vema adui yako.... Am just praktizin gudi mpiganaji Babu yangu.
 
kama na yeye ana mabaya yake inakuuma? mbona wewe una yako na umemuumiza vya kutosha tu sema ana act haja mind...kuna mawili kakuweka kiporo kwanza atulie ajue afanyaje au ndio yupo kwenye mchakato wa revenge, maisha ni mafupi sana nyie waume zetu bado mnataka kuyafupisha zaidi.... ,huwaga cna huruma kwa watu kama nyie....AMESAMEHE KIRAHISI HIVYO...UNACHEZA WEWE!
Kusamehe muhimu kwani hata ukifanya na wewe hakuna unachokomoa zaidi ya kuendelea kulegeza nyama za mwili wako. Vijana wako tayari kwa kazi hiyo (utapigwa hiyo kitu kama vile pweza anavyoandaliwa), But utaona kawaida kama ulishalegea kila kona, yaani hata mkunjo hakuna. Take care
 
Niapie kwa jina lipi? Utamchunguzaje mmeo wakati UNA UHAKIKA lazima atakuwa na msaidizi wako? Hivi wanawake mbona hampendi kunielewa? Mwanamme yoyote RIJALI hawezi kuridhishwa na mwanamke mmoja. Narudia tena RIJALI!!

Haridhishwi na mwanamke mmoja kivipi hebu fafanua hapa (kwa hiyo huwa pale anafanyaga na watatu?)
 
Watu kama nyamayao ndio wanaochukua maamuzi ya kujitoa uhai pale anapogundua mume wake amefanya jambo ambalo hata hukuwahi kuliota.

mie huyu huyu?...hapana! mie kwake sioti lolote mana najua ni mkamilifu wa akili bac afanyacho anafanya kwa akili zake timamu, so cna muda wa kufikiria hata kujifinya nitakapogundua lolote.
 
Watu kama nyamayao ndio wanaochukua maamuzi ya kujitoa uhai pale anapogundua mume wake amefanya jambo ambalo hata hukuwahi kuliota.

Duuh hakuna mwanadamu atakayenifanya nitoe roho yangu na yeye aendelee kuponda raha duniani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom