Waifu kanisamehe kikweli kweli au?

[/COLOR]
Duh!, Hayo maneno ni makali sana, yapunguzie kidogo ukali sio wanaume wote wako vile inatokea kwa baadhi, lakini wengine wanaheshimu ndoa zao vilivyo.

cjasema wote mnafanya kama Ndibalema, nimlimaanisha kwamba ucpokuwa na kituko hiki atakuwa na kile....na ni uklweli, full vituko.
 
Mbona unapemda sana kunipa presha ili mradi tu ujue kama kweli nakupenda, okay haya basi :A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S 8::A S 8::A S 8:

jikaushe bana unajua fl1 yuko anga hizi halafu sitaki kugombana naye,njoo pale kichochoroni pa siku zote tutaongea vizuri maana hapa namuogopa mkweo ukizingatia inabidi na mie nionyeshe kina mama wenzangu kua nakemea infidelity si unaona walivyokasirika kwa kitendo cha ndibalema kumsaliti mbeijin mwenzetu.
 
waswahili wanasema utasoma plate number ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Hahahaha kibaya zaidi yeye analipizia kibab kubwa anachonga na njemba yake imusms kisha anajifanya alisahau cmu mezani anakuta na sms inasema tiGo yako tamu sana lazima jamaa ajinyonge hahahaha
 
jikaushe bana unajua fl1 yuko anga hizi halafu sitaki kugombana naye,njoo pale kichochoroni pa siku zote tutaongea vizuri maana hapa namuogopa mkweo ukizingatia inabidi na mie nionyeshe kina mama wenzangu kua nakemea infidelity si unaona walivyokasirika kwa kitendo cha ndibalema kumsaliti mbeijin mwenzetu.

:gossip::gossip::gossip::gossip::gossip::gossip::gossip::A S 100::A S 100::A S 100::A S 100::A S 100:
 
Kusema kweli kama ndo mimi ningezikuta zile sms kwenye simu yake, hakyanani leo ningekuwa mahabusu Keko.

kusema kweli kaka ndibalema hii kauli yako imenifanya nijisikie vibaya kweli.
unajua kila siku najiuliza kama kweli nawajua wanaume vizuri!
mkuki kwa nguruwe sio eeh,kwa nini unamfanyia mkeo vitu ambavyo unakiri huwezi kukubali kufanyiwa naye?unapomfanyia ambayo hutaki akufanyie ni kuwa uko bora kumshinda au?
kaka jirekebisheni!!
 
Hahahaha kibaya zaidi yeye analipizia kibab kubwa anachonga na njemba yake imusms kisha anajifanya alisahau cmu mezani anakuta na sms inasema tiGo yako tamu sana lazima jamaa ajinyonge hahahaha

Nina uhakika maumivu atakayopata jamaa lazima watu watundikwe mitini au juu ya dari
 
Lakini kikubwa nataka kumwambia jamaa hapa kama yeye anakula wa wenzie na yeye akubali wa kwake kuliwa haijalisha kujiexpress au nini popote pale kuna wadau wanasema wake za watu wanapo wapata huwa wanajikunja balaaa kama nyani mtu anasimamia kucha
 
kusema kweli kaka ndibalema hii kauli yako imenifanya nijisikie vibaya kweli.
unajua kila siku najiuliza kama kweli nawajua wanaume vizuri!
mkuki kwa nguruwe sio eeh,kwa nini unamfanyia mkeo vitu ambavyo unakiri huwezi kukubali kufanyiwa naye?unapomfanyia ambayo hutaki akufanyie ni kuwa uko bora kumshinda au?
kaka jirekebisheni!!

tumia huo muda kufikiria kitu kingine...hutakaa uwajue.
 
cjasema wote mnafanya kama Ndibalema, nimlimaanisha kwamba ucpokuwa na kituko hiki atakuwa na kile....na ni uklweli, full vituko.

Kwa nini mnakubali kuwa na hao wanaume wakati mnajua fika kuwa watawatenda in one way or another.
 
kusema kweli kaka ndibalema hii kauli yako imenifanya nijisikie vibaya kweli.
unajua kila siku najiuliza kama kweli nawajua wanaume vizuri!
mkuki kwa nguruwe sio eeh,kwa nini unamfanyia mkeo vitu ambavyo unakiri huwezi kukubali kufanyiwa naye?unapomfanyia ambayo hutaki akufanyie ni kuwa uko bora kumshinda au?
kaka jirekebisheni!!

Dada yangu kinachosababisha nipige kazi za nje ni tabia ya waifu wangu.
Yaani ni mtu wa kununa nuna tu, mara nyingi huwa ni mkali sana.
Nampenda sana lakini pia nahitaji 'peace of mind'.
Amekuwa tofauti na kipindi kile cha uchumba, yeye ndo kama baba mwenye nyumba.
 
kusema kweli kaka ndibalema hii kauli yako imenifanya nijisikie vibaya kweli.
unajua kila siku najiuliza kama kweli nawajua wanaume vizuri!
mkuki kwa nguruwe sio eeh,kwa nini unamfanyia mkeo vitu ambavyo unakiri huwezi kukubali kufanyiwa naye?unapomfanyia ambayo hutaki akufanyie ni kuwa uko bora kumshinda au?
kaka jirekebisheni!!

Katika ndoa hakuna revenge - Ni institution ambaye Mwanaume ni KICHWA cha familia - mwanamke is anything below it - akitaka anaweza kuwa shingo au hata kiwiliwili kilichobakia. Kwahiyo mwanaume anapotenda kosa kama hilo lazima asamehewe ili MWILI uendelee kuishi la sivyo hakutakuwepo na maisha.
 
kama na yeye ana mabaya yake inakuuma? mbona wewe una yako na umemuumiza vya kutosha tu sema ana act haja mind...kuna mawili kakuweka kiporo kwanza atulie ajue afanyaje au ndio yupo kwenye mchakato wa revenge, maisha ni mafupi sana nyie waume zetu bado mnataka kuyafupisha zaidi.... ,huwaga cna huruma kwa watu kama nyie....AMESAMEHE KIRAHISI HIVYO...UNACHEZA WEWE!

Well said sista, hata mimi wazo langu lilikuwa...."kirahisi hivyo?"
 
Katika ndoa hakuna revenge - Ni institution ambaye Mwanaume ni KICHWA cha familia - mwanamke is anything below it - akitaka anaweza kuwa shingo au hata kiwiliwili kilichobakia. Kwahiyo mwanaume anapotenda kosa kama hilo lazima asamehewe ili MWILI uendelee kuishi la sivyo hakutakuwepo na maisha.

Leo mi kazi yangu leo ni moja tu.....kamata hiyo!

The Following User Says Thank You to Baba_Enock For This Useful Post:

Asprin (Today)
 
Lakini kikubwa nataka kumwambia jamaa hapa kama yeye anakula wa wenzie na yeye akubali wa kwake kuliwa haijalisha kujiexpress au nini popote pale kuna wadau wanasema wake za watu wanapo wapata huwa wanajikunja balaaa kama nyani mtu anasimamia kucha

Ndibalema awe mpole tu ukimfanyia mwenzako na yeye akikufanyia basi isikuume yaani NGOMA DROO
 
Katika ndoa hakuna revenge - Ni institution ambaye Mwanaume ni KICHWA cha familia - mwanamke is anything below it - akitaka anaweza kuwa shingo au hata kiwiliwili kilichobakia. Kwahiyo mwanaume anapotenda kosa kama hilo lazima asamehewe ili MWILI uendelee kuishi la sivyo hakutakuwepo na maisha.

sbb mie ni mkristo nakubali kuwa bible inasema kuwa mume ni kichwa.
lkn huo ukichwa wake unahusiana nini na kuisliti ndoa!!
yaani hata akisaliti ndoa atumie hii kujitetea noo way!
ingekua mie ndo mke wa ndibalema ningeweza "kumsamehe" baada ya kumfundisha adabu kidogo lkn akijitetea kwa maneno uliyotamka hapa nisingemsamehe!
 
nipo dearest....nimekacrika kama nini, yaani Ndibalema amenikacrisha sana,hapo ana cm card ya magendo akija home cm yake ipo hapo ni ya kifamilia zaidi, mwanamke unajidai ooohh mume wangu, oohh mume wangu jamani hatoki nje ...oohh mume wangu jamani cjawahi kuona vituko kwenye cm yake...nachukiaga sana wadada wanaojifanyaga mume wangu mume wangu kumbe ndio kama hawa, wameshamaliza mambo yao huko wakija nyumbani wanakuchora tu.....yaani cjuagi kwanini niliolewa.....unamuamini mtoto wa mwanamke mwenzio kuliko unavyojiamini....mschew!...WADADA WA HUMU NDANI WANAUME WOTE MAMA YAO MMOJA....HAKUNA HAKUNA MWENYE MAMA TOFAUTI...TUNAYAONA KILA KUKICHA...UPATE WA KUKUPENDA/KUKUPA HESHIMA/KUJALI
dah dadangu umeongea ya ukweli
bt wantia hofu sasa apo penye red..kuolewa issue enh?mbona vilio daily jaman?
mi uyo nisingemfanya kitu ni kutafuta line ingne namimi mwendo mdudo kuanzia kwa shirima muuza duka mpak mpemba wa genge ili tu nipoze hasira...dah inakera

katika tukio km ilo 2b honest haina haja ya kugomba..sasa unagomba nin wakat km gemu washamaliza na ngome yao washaijenga?
ni kumchora tu..ahh baba cheap yako i...sjui akianza unajua...unajua mwambie tu plsss sjaomba clarification wala maelezo ya aina yote then unampiga flat...aftr whle mkalishe chn akwambie kwa kina on y n hw ameipeleka nje iyo mambo?najua hatakuwa na maelezo ya kukupa yaliyoshba zaid ya kujiuma uma
 
Katika ndoa hakuna revenge - Ni institution ambaye Mwanaume ni KICHWA cha familia - mwanamke is anything below it - akitaka anaweza kuwa shingo au hata kiwiliwili kilichobakia. Kwahiyo mwanaume anapotenda kosa kama hilo lazima asamehewe ili MWILI uendelee kuishi la sivyo hakutakuwepo na maisha.
...Ni shingo, ambayo inazungusha kichwa.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom