Waifu ananitegea!

Kuna siku moja mlimani city nakumbuka niko na wife alikuwa mbele dada mmoja aisee dada ana shape na alikuwa amevaa zile nylons/skin tyt.

Nilijikaza ila nikahisi kama napata tumbo la kuharisha.

Nilianza kuhisi kizunguzungu maana sitaki kuangalia lakini macho yananipeleka kule.

Wife ananiongelesha simuelewi na simsikii ingawa siangalii kule.

Ni kama nilipatwa na jini hivi.

Pumzi na moyo ulikuwa unaenda mbio maana kuangalia siwezi(wife yuko pembeni) na nataka kuangalia.

Nachokumbuka mke wangu alinifinya viganja na kunibusu shavuni pembeni, akaniambia nanukuu 'baby angalia tu naona unakosa amani.'

Aisee niklitupia macho mzima mzima na tumbo likakata.

Dada akaingia movie sisi tukakunja kushoto baadae nje gambe.

Since that day wife tena akiona ananishtua.
 
mie huwa ninakata jicho mara 1 nageuza jicho kabla sijastukiwa, sasa ninatafakari akilini, utakuta anaanza mwenyewe, yule dada umemuona mume wangu, kwa kweli kaumbika ndio najifanya kumtafuta alipo na kuuliza yuko wapi kumbe mie nishamuona zamani na nishatathmini uzuri wa huyo niliyekutana nae, yeye anaona ka kanionyesha yeye, najifanya kutizama huku kama sishangai kumbe mshangao upo moyoni
 

na hapo yeye mwenyewe kaangalia shida wewe tu ni balaa! wanaume wengi tuliooa hiyo inatukumba
 

ni kweli kabisa Karucee hata rafiki yangu mke wake akiona kitu cha hatari huwa anamshutua umeona mtoto, mzigo, mambo hayo. na hii ilikuwa topic kati yangu na huyo rafiki yangu na wife wangu tukitoka job tumepita maeneo ya BOT ukapita mzigo na hapo mjadala ndo ukaanza
 

We nae?

Uharishe kisa nini?

Unakata jicho kama mbwai mbwai tu...maelezo baadae.
 

I wish all ladies could adopt these positive views. Ndoa si uadui hata kutomtazama mpita njia na wala isiwe adhabu kwa mume kuangalia chini while walking along or in night clubs ili asije akam-udhi mkewe kwa kuangalia aliye pembeni yake.

Na kiukweli hili ni tatizo kubwa kwa wanawake walio wengi. You get out peacefuly with ur wife lakini wakati wa kurudi nyumbani mmenuniana kisa ugomvi wa kuangalia other ladies along the way.
 
Ukiona waifu anakutaiti you simply get creative. Kwani simu yako haina front camera? Ukiona mzigo ulee...unaisogeza usoni, akipita tu unalenga shabaha....tena hapo waweza hata kufanya archiving for future reference.....
 
Samaki huvuliwa kwa chambo so sababu anapenda chambo samaki akiona chambo majini hawezi ipisha ipite tu lazima japo aonje!!!!

bait ndio chambo?

Kwa kweli more lessons needed.

Uzuri wa msemo huo it goes both ways... not gender sensitive.

Au sio?
 

Once you know how men are wired haikupi shida.

Ila kiukweli Mungu ameumba.

Hata mimi naibiaga nikiona mwanaume mzuri but I wouldn't let him catch me because nyie mpo tofauti.

Unaweza uka ufoosariwa in a split second.
 
Ukiona waifu anakutaiti you simply get creative. Kwani simu yako haina front camera? Ukiona mzigo ulee...unaisogeza usoni, akipita tu unalenga shabaha....tena hapo waweza hata kufanya archiving for future reference.....

Thats a little dumb don't you think.

All that for what?

Kwani mwingine mzuri atapita after 1000 Light Years?

Halafu Jina zurii umebadili umeweka makorokoro.

Rudisha Isaac Shayo
 
hacha uroho lizika na ulichonacho .lazima awe na wivu wa chake .mpende mke wako na mheshimu achana na michepuko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…