Waifu ananitegea!


Piga chini mmeo, njoo nikuoe.
 

dah sidhani kama hii style itafanya kazi mkuu
 

Siku zingine unapoona kitu cha uhakika uwe unamstua unamuuliza "vipi nikuunganishie?"
 
Inshallah Mungu atakujaalia mume mwema.

Sasa basi sio wanaume wote unaweza kwenda nao hivi. Mfano OLESAIDIMU ukimgeuza shingo aisee ndo kwanza ataenda hadi kumvua kyupi. Simuaminigi hata!!

Karucee wanasema samaki hapishi chambo!!!!!:fish2:
 
Last edited by a moderator:
Akiona na Avator yako ndo ata-conclude kabisa!
 

You are something else
 
My homie is lots of fun.
 
Sipendi angalia nyuma za watu maana nitajiharibu
 
me sikuruhusu , angalia kwa kuibia, sio ndo ugeuke usahau unapokwenda kaaah
 
ndio maana ake coz hyo mi natafsiri
kama dharau,bamiza makonde,kwa siku
hata mara sita atajiju,kila akigeuka analo khaaa!!

Mmh dada mkishinda wote siku nzima si utamziba masikio mtoto wa mwenzio kwa vibao? Unless umjue mtu wako madhaifu yake...

Si wapo wadada ambao wakipita hata wewe mwenyewe unakubali kuwa naam..Mwenyezi Mungu aliumba?
 
me sikuruhusu , angalia kwa kuibia, sio ndo ugeuke usahau unapokwenda kaaah

Haa haa...umenikumbusha kuna siku mdada alitupiwa jicho mpaka mtu kasahau kukanyaga accelerator gari itembee...Mie nikajikausha tu nikabaki kumuangalia dereva, akili ilivyorudi ilibidi wote tubakie kucheka tu...halafu bado akabisha kuwa alikuwa haangalii...
 
Mradi umeshajua mkeo hapendi Acha kumkarahisha.
 
siku nyingine akianzisha msala unamwambia aisee duh Mungu fundi sana kwa kweli umeona huyo dada,,... ungekuwa unaangalia alafu unaponda hivi amevaaje huku kimoyo moyo unafurahia maumbile...... alafu unamwambia embu angalia we huku linaweza kuwa jicho la tatu unazidi kufaurahia tu...... ila huyo mkeo majukumu hayamtoshi mpaka anaconcentrate na jicho lako loh....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…