Wahuni Wameteka Kila Kitu, Wananchi Waende Wapi?

Wahuni Wameteka Kila Kitu, Wananchi Waende Wapi?

Unajua mnaposema wahuni bado ni neno zuri.Hilo ni genge la majambazi.Genge hili limeteka nyara kila kitu kiasi kwamba hata wa kuishi ofisi kuu wanaamua wao.Ni genge hatari na ndilo linslofilisi nchi.
 
Wananchi eneo lao ni kubwa zaidi ya wahuni. Sema tu hawajaamua kwenda panapostahili. Barabara ya BARABARA ROAD ndio eneo la wananchi. Ila tupo zetu MTANDAONI ROAD tunakunywa alkasusi mujaaraaabuu
 
Na wakifanikiwa kupita na style hii ya form moja, ujue hata 2030 ndio itakuwa mtindo "give an inch, take a mile" msemo wa wazungu huu.
Africa, tuna shida kubwa hata naona aibu to be called so. Ona Congo, wazungu wanatupiganisha wanaiba, kwetu wanawatumia hao mnaowaita wahuni, Sudan wanatumia RSF
 
Africa, tuna shida kubwa hata naona aibu to be called so. Ona Congo, wazungu wanatupiganisha wanaiba, kwetu wanaotumia hao mnaiwaita wahuni, Sudan wanatumia RSF
Ni kweli adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzake, hii trend huwezi kuiona kwa wahindi, wachina, wazungu au waarabu ni nadra sana, watu wenye hizo asili kuwauza watu wa asili yao hasa kwa waafrika, kidogo muarabu kumuuza muarabu kwa mzungu lakini sio kwa mwafrika sema ni nadra, ila kwetu sisi ni kugusa tu.
Wasichotambua wanaojiita wahuni ni kwamba, kabla yao alikuwepo mobutu seseseko naye alijipendekeza sana kwa wazungu, pesa alikuwa anaiba congo ana hifadhi belgium na uswisi, alivyokufa tu mali ikawa ya wazungu, wahuni pia siamini kama pesa wanazoiba wanazihifadhi humu ndani, lazima wanazipeleka nje halafu wote tunaonekana hatuna maana watu weusi, kumbe ni malimbukeni wachache.
Hiyo ya kuhusu congo, kwamba wanatupiganisha wazungu, ni baada ya kutupima uwezo wetu wa kufikiri na kugundua ni mdogo, halafu tumekalia almasi, wanajiuliza kwanini tusichukue?
 
Eti kweli kwamba wakuu wachache wa mipaka wamepewa magari mazuri yake ili wakae kimya, naota tu, Kuna waotaji wengi zaidi yangu, wanatoa kweli kweli Sasa hivi
Ukweli sifahamu hilo mkuu
 
W
Ni kweli adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzake, hii trend huwezi kuiona kwa wahindi, wachina, wazungu au waarabu ni nadra sana, watu wenye hizo asili kuwauza watu wa asili yao hasa kwa waafrika, kidogo muarabu kumuuza muarabu kwa mzungu lakini sio kwa mwafrika sema ni nadra, ila kwetu sisi ni kugusa tu.
Wasichotambua wanaojiita wahuni ni kwamba, kabla yao alikuwepo mobutu seseseko naye alijipendekeza sana kwa wazungu, pesa alikuwa anaiba congo ana hifadhi belgium na uswisi, alivyokufa tu mali ikawa ya wazungu, wahuni pia siamini kama pesa wanazoiba wanazihifadhi humu ndani, lazima wanazipeleka nje halafu wote tunaonekana hatuna maana watu weusi, kumbe ni malimbukeni wachache.
Hiyo ya kuhusu congo, kwamba wanatupiganisha wazungu, ni baada ya kutupima uwezo wetu wa kufikiri na kugundua ni mdogo, halafu tumekalia almasi, wanajiuliza kwanini tusichukue?
wahuni wengi wana account abroad, tunauzwa kirahisi sana kwenye hiyo gusa achia. Waarabu nao wamewezwa kwa asilimia kubwa wanapiganishwa tu
 
Back
Top Bottom