ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,772
- 5,847
Mzee wa msoga walimkata p um bu wakati anatibiwa tezi Dume, Ili kuokota nchi inabidi akatwe shingo
Haya yasemwayo kama ni kweli na kama ndo kinachoendelea basi ujue kuna janga litakuja tuu automatically.Wahuni walituchungulia mapema na wametuwahi , itafika mahali wahuni watakuwa wengi ambapo kuwatoa inabidi kumwaga damu,
Wahuni wameikumbatia mihimili ya bunge, mahakama ili tukose la kupata haki inaumiza mno
Noma sanaWahuni wameiteka :-
1.TRA.......biashara zao hazitozwi.kodi.
2. TAKUKURU..... wanagawa baiskeli na pikipiki nchi nzima lkn huwasikii wakikamatwa.
Kuna kila dalili kwamba ukiangalia yapo mifumo ya ulinzi watanzania tumebaki na matumaini na jwtz tu lakini nayo hati hati hakuna uhakikaHaya yasemwayo kama ni kweli na kama ndo kinachoendelea basi ujue kuna janga litakuja tuu automatically.
Na dalili kuu ni pale huo uhuni ukiingia kwenye mfumo wa ulinzi ujue kiufutacho ni out of control.
MalawiBurundi
Eti kweli kwamba wakuu wachache wa mipaka wamepewa magari mazuri yake ili wakae kimya, naota tu, Kuna waotaji wengi zaidi yangu, wanatoa kweli kweli Sasa hiviKuna kila dalili kwamba ukiangalia yapo mifumo ya ulinzi watanzania tumebaki na matumaini na jwtz tu lakini nayo hati hati hakuna uhakika
Kwenda zako huko mpumbavuNo No, No not real, not true,, kila asiyependa haki hafai. Awe Chadema, CCM, Chauma au yeyote.
ukweli ni kuwa wahuni wapo vzuri mnooo , better wahuni kwa kweli kuliko kulishana michembeNi bora mara 20 kuendelea na wahuni kuliko kurudi Sukumq gang, ni wakatili zaidi
Mkuu kwahyo wew unawaona watz wote wako upande wa sukuma gang na wahuni squad tuu?Kwenda zako huko mpumbavu
Muasisi wa huu uhuni sasa ni jiwe
Huu uchawa usingekuwepo kama jiwe angekemea
Sukuma gang walikuwa wahuni hasaaaa
Nasemaje Mama atawale hadi 2035
Washamba rudini mkachunge ng'ombe
If someone, will not rise up in Tanganyika to oppose these rubbish strongly,, we shall become close/near to Colombia were we can see, cartel gangs, criminal gangs drugs gangs, and all evils.
Eti, eti kwenye mfumo wa ??????Haya yasemwayo kama ni kweli na kama ndo kinachoendelea basi ujue kuna janga litakuja tuu automatically.
Na dalili kuu ni pale huo uhuni ukiingia kwenye mfumo wa ulinzi ujue kiufutacho ni out of control.
Sawa, ng'ombe tutachunga maana ni utajiri pia. Ila yeyote anayeuwa watu, awe jiwe awe mama uwe wewe, ananyima haki za msingi za wengine kuishi.Kwenda zako huko mpumbavu
Muasisi wa huu uhuni sasa ni jiwe
Huu uchawa usingekuwepo kama jiwe angekemea
Sukuma gang walikuwa wahuni hasaaaa
Nasemaje Mama atawale hadi 2035
Washamba rudini mkachunge ng'ombe
Na wahuni wamedhibiti taarifa za ufisadi kuleak tofauti na zamani ,
Hata hilo geshi (no 6 kwa ubora duniani 🤣) ile top layer ni chawa tupu. Inakuwaje haki zinaminywa, rasilimali zinachezewa, etc, wao wapo kimya tu.Kuna kila dalili kwamba ukiangalia yapo mifumo ya ulinzi watanzania tumebaki na matumaini na jwtz tu lakini nayo hati hati hakuna uhakika
Mzee baba someone inabidi iwe wewe, usiende kupiga kura na kama mzazi wako au ndugu yako alijiandikisha kupiga kura(marehemu mzee wangu alikuwa humwambii kitu kuhusu ccm), kadi/kitambulisho cha kupigia kura kiflash toilet, kuhusiana na kuwa kama colombia tumeshakuwa imagine mtu anavunja mlango wa kwanza, wa pili na watatu kumtoa mdude aliyelala chumbani na kumuua, bado unasubiri tuwe kama colombia?If someone, will not rise up in Tanganyika to oppose these rubbish strongly,, we shall become close/near to Colombia were we can see, cartel gangs, criminal gangs drugs gangs, and all evils.
Na huu wizi ndio unaowafanya wasiachie madaraka, wanajua uchafu waliofanya kwa kifupi wametuibia future ya vizazi vyote vya tanganyika hadi kufikia sasa, kwani mtaji wakufanyia maendeleo inabidi tulipie riba walizokopa yaani sisi watu 60M tunalipa wao wanatumia / wanajitajirisha familia 3 tu na waarabu koko kina rostam azizi, patel, gsm.Hadi raslimali za nchi walishaziteka ni zao na familia zao!
Yes it has been worse, but this is the situation.Na huu wizi ndio unaowafanya wasiachie madaraka, wanajua uchafu waliofanya kwa kifupi wametuibia future ya vizazi vyote vya tanganyika hadi kufikia sasa, kwani mtaji wakufanyia maendeleo inabidi tulipie riba walizokopa yaani sisi watu 60M tunalipa wao wanatumia / wanajitajirisha familia 3 tu na waarabu koko kina rostam azizi, patel, gsm.
Na wakifanikiwa kupita na style hii ya form moja, ujue hata 2030 ndio itakuwa mtindo "give an inch, take a mile" msemo wa wazungu huu.Yes it has been worse, but this is the situation.