adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,710
- 8,065
100%Cha kujifunza hapa, hatima ya maisha yako, yako mikononi mwako; ni kujaribu kutumia elimu ya darasani, kama imeshindwa kufanya kazi tumia kipaji ulichonacho, vinginevyo tutakuwa tunalaumu mpaka tunazeeka hakuna cha maana tulichofanya.
Kwa nini mkuu?Naacha kazi nikajiajiri.
hii ktu umeongea point sana.Au tuajiri kwa rotation kila baada ya miezi 6 wanaingia watu wengine wengine wanaenda likizo ya malipo nusu.
Badala ya watu kukaa mwaka mzima kazini wakichati maofisini huku wengine wakisota mtaani.
Ukweli mchunguMmmmmmhmn unajua ukishapiga degree akili yako inakuwa kama imefungwa unashindwa kufanya maamuzi ya kufanya kazi zingine nje ya taaluma.
Hii kiukweli msiwalaumu hawa wahitimu wa chuo. Kusoma masomo miaka mitatu ni kuwa programed kiakili kufanya hilo jambo. Hivyo mtihani wa kufanya jambo jingine ni mgumu sana kwa hawa raia.....
Itatatua tatizo la ajira kwa kiwango kikubwa sana na hata ongezeko la gharama itakuwa ndogo.hii ktu umeongea point sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hizi dharau sasa,yaani mkufunzi aache kazi yake akawe mshona viatu?Kwa fani yako hiyo ni ngumu mkuu,labda utafute ujuzi hata wa kutengeneza kitu,iwe nguo,viatu n.k
kwan hao madereva wa serikali mshahara wao n sh ngapi??Ila hajaongea kwa ubaya ila wamejipima wakaona uhalisia wa jinsi hali ilivyo mbaya.
Haimaanishi kwamba amewachukia madereva mnaoendesha mashangingi ila ametumia kama reference ili waongeze juhudi zaidi
kwan hao madereva wa serikali mshahara wao n sh ngapi??
Jamaa ni keyboard worrior.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hizi dharau sasa,yaani mkufunzi aache kazi yake akawe mshona viatu?
Jamaa ni keyboard worrior.
Tatizo ni soko la ajira mkuu, linataka kujua unasifa gani za kipekee kuliko wengine au unaweza kuzalisha faida kiasi gani kwa siku, au ujuzi wako unaweza kukusaidia vipi kujiajiri?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hizi dharau sasa,yaani mkufunzi aache kazi yake akawe mshona viatu?
Usiende mbali mkuu,jaribu kujiuliza ujuzi au fani yako imekusaidiaje kujiajiri?Jamaa ana mikwara sana anajifanya bonge la great thinker kumbe hajui hizo theories zake watu tulishazipitia zote na kugundua hazina success ni blah blah tu
Mkuu,nini kifanyike ili ajira zizidi idadi ya watu?Jamaa ni keyboard worrior.
Upande wa serikali au upande wa muhitimu.Mkuu,nini kifanyike ili ajira zizidi idadi ya watu?
Mimi sio level zako mkuu huna uwezo wa kunifundisha kujiajiri,nawaza kimataifa zaidi.Usiende mbali mkuu,jaribu kujiuliza ujuzi au fani yako imekusaidiaje kujiajiri?
Una PhD mkuu?ndio napambana nayo kwa sasaMimi sio level zako mkuu huna uwezo wa kunifundisha kujiajiri,nawaza kimataifa zaidi.
Una PhD mkuu?ndio napambana nayo kwa sasa
Pande zote mkuuUoands
Upande wa serikali au upande wa muhitimu.
Kama hukusoma walaumu waliokuleta dunianiwewe aliyekwambia ukiwa na phd ndio umetoboa maisha ni nani?Mo dewji ana phd?bakhresa ana phd?Manji ana phd?Rostam azizi ana phd?kumbe una ushamba wa kizamani wa kushindana kusoma bila mipango