Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,325
- 64,491
Jitolee kwanza utengeneze jina, fedha zitakuja tu zenyewe...na ukiwa kichwa utakuwa unazikimbia helaUnahis kufika huko bila ajira ni rahis..nan anakulipia masomo hayo kuwa specialist...hiv unaweza kusoma na njaa..mkuu naomba uingie chimbo kidogo ujue taratib had unakua bingwa inakuaje...
Ngoja niwaulize! NtakujibuWalishajaribu kwenda gereji wakakosa?
hiyo sio sababu mkuu hadi upewe hyo nafasi ya kujitolea kuna milolongo yake.Tembelea hospitali yoyote unayoifahamu,angalia idadi ya wagonjwa na wahuguzi; kuna sehemu mgonjwa anachukua zaidi hata ya masaa sita hajamuona daktari.....hapo utaniambia kwamba mtu akiomba kujitolea atakosa nafasi?
Mkuu laiti kama ungejua situation za vijana hao usingekua unaongea hvyo...na kibongo bongo skuhiz ukijifanya unapenda ku voluntere utabak unatumikishwa weeeee had akili ikukae sawa na kaz hupat..Tembelea hospitali yoyote unayoifahamu,angalia idadi ya wagonjwa na wahuguzi; kuna sehemu mgonjwa anachukua zaidi hata ya masaa sita hajamuona daktari.....hapo utaniambia kwamba mtu akiomba kujitolea atakosa nafasi?
Ukiwachunguza sana mkuu,utagundua wanachagua sana maeneo ya kujitoleaNgoja niwaulize! Ntakujibu
Hauko practicle mkuu...Jitolee kwanza utengeneze jina, fedha zitakuja tu zenyewe...na ukiwa kichwa utakuwa unazikimbia hela
Wale walionyimwa nafasi wanatakiwa waje hapa watoe ushuhuda,ni wapi walienda na kwa nini walinyimwa nafasi; wengine wamehitimu ila kujieleza ni tatizo piahiyo sio sababu mkuu hadi upewe hyo nafasi ya kujitolea kuna milolongo yake.
Huwezi kujipeleka tu kienyeji halafu upewe hyo nafasi eti kwa vile umeona wagonjwa wengi hyo kitu haipo
Ni wapi ulinyimwa nafasi ya kujitolea mkuu,na una fani gani?Hauko practicle mkuu...
Tengeneza 'brand' kwa gharama yoyote ile, hata kwa miaka 5 kwa kujitoleaMkuu laiti kama ungejua situation za vijana hao usingekua unaongea hvyo...na kibongo bongo skuhiz ukijifanya unapenda ku voluntere utabak unatumikishwa weeeee had akili ikukae sawa na kaz hupat..
Wale walionyimwa nafasi wanatakiwa waje hapa watoe ushuhuda,ni wapi walienda na kwa nini walinyimwa nafasi; wengine wamehitimu ila kujieleza ni tatizo pia
Sasa mkuu wewe umehitimu,halafu vitendea kazi huvijui, si masihara haya?Kifaaa kinauzwa Bei gan ety na me npe connection ioo unayoisema
Nafahamu kuna maeneo mengi sana,watu wa kujitolea wa afya wanahitajika; ila wahitimu wanabaguaHalafu wakitoa huo ushuhuda utawafanya nini hao wenye hospitals.
Hayo si ndio mambo Chadema wanayaimba kila siku,ni hatua gani imechukuliwa hadi sasa?
Nafahamu kuna maeneo mengi sana,watu wa kujitolea wa afya wanahitajika; ila wahitimu wanabagua
Tatizo hawazitafuti, waende kwenye mikoa ambayo sio majiji...hasa huko wilayaniTuletee hizo nafasi hapa zitasaidia wengi sana I am sure hata humu kuna vijana wengi wanahitaji hizo nafasi
Tatizo hawazitafuti, waende kwenye mikoa ambayo sio majiji...hasa huko wilayani
Anayetafuta aweke vyeti hapa,apewe muongozoTuletee hapa mkuu acha kufanya guessing
rafiki yangu unataka utukanwe sana na waajiliwaSuluhisho la hili tatizo ni ajira za kudumu ziondolewe, mtu aajiriwe kwa miaka 5 tu, baada ya hapo wakajiajiri....nadhani ikiwa hivyo itatatua hii changamoto ya ukosefu wa ajira, pia uchumi utakwenda kwa kasi kwa sababu sekta binafsi zitakuwa nyingi zikiongozwa na wasomi.
Hahahah Mkuu wewe una elimu gani na fani gani tuanzie hapo...na umezaliwa 1980 below au above kwamba unasubiria pension huelewi mtaaJitolee kwanza utengeneze jina, fedha zitakuja tu zenyewe...na ukiwa kichwa utakuwa unazikimbia hela