mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,479
- 14,549
Halafu graduates inabidi kuomba nafasi za kujitolea kwenye mashirika Napo ukipata chance wanakuwa wanakupa amount kiasi pia unajifunza, Mimi nikianza kwa kujitolea Hadi watu walinishangaa lakini umenisaidia kujifunza mengi na nikapata fursa
K
Kwanink unasema unakula maisha kama graduate kwani maisha kaumbiwa graduate tu ??
Unaomba mashirika mbalimbali Tena nafasi hutangazwa una apply, hyo ni njia iliyonisaidia na imesaidia wengi kufika hapo walipoHiyo unaambiwa not possible kwa kipindi hiki hiyo unayoongelea wewe ilikuwa enzi ya JK huko.
Siku hizi hata kazi ya kujitolea bure hupewi.
Unaomba mashirika mbalimbali Tena nafasi hutangazwa una apply, hyo ni njia iliyonisaidia na imesaidia wengi kufika hapo walipo
Je uliacha shule au uliferi ??Wasahili wanaamini kwenye kusoma ndio kufanikiwa. mm sijasoma na nimefanikwa. Have broke the rule
Je uliacha shule au uliferi ??
nilifikia form 4 nikaenda Veta, sasa sijui nilifeli au laah
Kumbe uliendelea Veta ulisoma miaka mingapi huko Veta.
Inamaana huna tofauti na aliyesoma mpaka Form 6 au Diploma kwenye kupoteza muda.miaka 3
Inamaana huna tofauti na aliyesoma mpaka Form 6 au Diploma kwenye kupoteza muda.
Veta imekupa mafanikio gani makubwa ??
Ngumu Sana mkuuukosefu wa kazi ni janga la kidunia
kwa hali ya sasa graduates waache kuchagua kazi life is a game wenye bahati ya kuajiriwa waajiriwe walio baki wajitahidi kufanya kitu chochote cha halali na maisha yaende
Akasome fani zinazomuwezesha kujiajiriMe sjamalza sema dogo nataka Nim save we nipe mchakato uooo
Tatizo ni fani uliyosomea,na sio muajiri; nakushauri ukasome fani inayoweza kukufanya ukajiajiriWewe jamaa ni zaidi ya zero brain siku hizi ni vigumu sana taasisi za umma hata binafsi kupokea mtu bila kuwa anaekufahamu hapo wanabana sana wanataka wanaopitia TaESa na hao mkataba wao ni mwaka mmoja then unarudi kitaa kupambana na hali yako.
Acha kuchosha watu kwa kubisha usichokijua
Nilimaliza degree ya kwanza 2007, na nilikubali kufanya kazi ya kipuuzi isiyoendana na ujuzi wangu kwa kujitolea; no payment ila ziliniongezea ujuzi mkubwa tuWe jamaa ni either bado uko chuo tena miaka ya mwanzo mwanzo mana unaongea theory tupu ambazo haziko applied kabisa, Ficha ujinga wako mkuu
Aende zahanati yoyote akajitoleeS ndo kamalza md mzeee ko nipe mchakato nimsaidie uoo mtaji wa ichoo kifaa
Si kweli mbona Mimi nilipata bila kujuana na mtu, endelea ku apply bila kuchoka maana Ni bundle lako tu,maana Mimi kabla ya hapo nilisha apply nafasi nyingi sikumbuki idadi, Yani daily naaply kazi hata tano Hadi nilivokuja kupata hii, Sasa graduates mna kata tamaa hamu apply mkifikiria watu wote hubebwaZinatangazwa wapi huko?Hayo matangazo muda mwingine hayana impact huwa wanatangaza kuwafumba watu lkn tayari wanakuwa wameshaandaa watu wao.
Kupata kwake ni kubahatisha tu na sio kwa ujanja wako au juhudi yako