Naamini kutokuwa na pesa inachangia wengi kutokupata kazi ukipigia ufikie zahanati au shule 2 tu unaona unahita mauri ndefu sometime mfukoni peupe au unapesa ya chai.Anzia zahanati,ukikosa toka uende nje ya mji au wilayani
Dar pako full, nendeni mikoani ndipo fursa zilipoNaamini kutokuwa na pesa inachangia wengi kutokupata kazi ukipigia ufikie zahanati au shule 2 tu unaona unahita mauri ndefu sometime mfukoni peupe au unapesa ya chai.
Mfano naamini kwa mwalimu aamue kweli kwenda shule zinazozunguka Dar zote hakosi sehemu ila kufanya mzunguko huo anahitaji pesa ndefu.
worrior.Dar pako full, nendeni mikoani ndipo fursa zilipo
Nipe connection mkuu department ITDar pako full, nendeni mikoani ndipo fursa zilipo
Tatizo nyie mnataka mkae mjini,jiulize kwa nini wazungu wanatoka huko kwao kuzuri wanakuja kutafuta fursa hukuKeyboard
worrior.
Connection mkuu ni ujuzi wako tuNipe connection mkuu department IT
Nimechekaa sanaaaUnaonekana una kaujinga fulani kichwani kwako lakini unakaficha kwa elimu yako ndogo
Kwani Ukimaliza Form4 Unashikiwa viboko kwenda form 5 kwann usiende udereva na ww, kwanini usiombe jeshi, Kwa nini usiende kusoma ufundi stadi Veta, kwanini usiwe mjasiliamali
Wewe uliona fursa ipo kwenda kusom Form 5 ukafika hadi chuo kikuu? Endelea na elimu maana naona kila mkipass mitihani mnaenda level ingine, Msiwe mnakwamia Degree , endeleeni hadi masters na huko mbele
Kila mtu anachagua maisha yake yaweje
Nimechekaa sanaaa
We jamaa ni either bado uko chuo tena miaka ya mwanzo mwanzo mana unaongea theory tupu ambazo haziko applied kabisa, Ficha ujinga wako mkuuUkiwachunguza sana mkuu,utagundua wanachagua sana maeneo ya kujitolea
Wewe mhandisi uko wapi? Hiyo kazi ya zege umeridhika nayo? Mbona kampuni nyingi sana ukijitolea, mshahara ndiyo hupewi ila viposho posho vingine vinakuhusu..Hata mimi ni muhandisi nabeba zege kitaa , na niliasitishiwa mkataba na hujuma za hr kutaka kumuweka ndugu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ni form 4? Maana sio kwa povu hiloUnaonekana una kaujinga fulani kichwani kwako lakini unakaficha kwa elimu yako ndogo
Kwani Ukimaliza Form4 Unashikiwa viboko kwenda form 5 kwann usiende udereva na ww, kwanini usiombe jeshi, Kwa nini usiende kusoma ufundi stadi Veta, kwanini usiwe mjasiliamali
Wewe uliona fursa ipo kwenda kusom Form 5 ukafika hadi chuo kikuu? Endelea na elimu maana naona kila mkipass mitihani mnaenda level ingine, Msiwe mnakwamia Degree , endeleeni hadi masters na huko mbele
Kila mtu anachagua maisha yake yaweje
Wewe jamaa ni zaidi ya zero brain siku hizi ni vigumu sana taasisi za umma hata binafsi kupokea mtu bila kuwa anaekufahamu hapo wanabana sana wanataka wanaopitia TaESa na hao mkataba wao ni mwaka mmoja then unarudi kitaa kupambana na hali yako.Ni wapi ulinyimwa nafasi ya kujitolea mkuu,na una fani gani?
Kwanink unasema unakula maisha kama graduate kwani maisha kaumbiwa graduate tu ??ndio mzee mm ni form 4 lakini nakula maisha kama Graduate