New york City
Senior Member
- Jul 24, 2020
- 176
- 567
KabisaWorld bank wanapingana na hili bango
Mkuu unachosema hapa ni kweli,Kwa miaka ya karibuni imekuwa ni kazi kumpata HOUSE GIRL kuliko mtu mwenye MASTERS au BACHELOR. Hii imetokana na ongezeko la idadi kubwa ya vijana wanaomaliza vyuo kila mwaka kutoka vyuo mbali mbali vya elimu ya juu.
Hii imesababisha sintofahamu kwa wazazi juu ya future za watoto wao ambao wako mashuleni na wale ambao wamemaliza vyuo tayari.
Jambo la kushangaza zaidi ni baadhi ya kada kuwa na watu wenye elimu ndogo wanaolipwa mishahara ambayo inafanya wasomi wa juu wadharauliwe, embu imagine msomi anendesha BODABODA alafu dereva wa VX la waziri ni form four tena failure, Mwanajeshi anadrive BIMA graduate anaendesha bajaji ya BOSS, na kada nyingine nyingi
Wito wangu kwa serikali ni kurekebisha mifumo ya utoaji ajira ambayo itawafavour GRADUATES
Graduates pia wanaweza kuwa Madereva, Askari, Wanajeshi, wasaidizi wa viongozi, n.k
Lakini pia ni muda sasa wa kupitisha sheria ambayo itawataka taasisi kubwa zote Tanzania kuwa na Internships angalau asilimia 10 ya waajiriwa wote katika Taasisi fulani wawe interns nadhani tutapunguza ugumu wa maisha kwa hawa Graduates wanatia huruma kwakweli.
Kwa miaka ya karibuni imekuwa ni kazi kumpata HOUSE GIRL kuliko mtu mwenye MASTERS au BACHELOR. Hii imetokana na ongezeko la idadi kubwa ya vijana wanaomaliza vyuo kila mwaka kutoka vyuo mbali mbali vya elimu ya juu.
Hii imesababisha sintofahamu kwa wazazi juu ya future za watoto wao ambao wako mashuleni na wale ambao wamemaliza vyuo tayari.
Jambo la kushangaza zaidi ni baadhi ya kada kuwa na watu wenye elimu ndogo wanaolipwa mishahara ambayo inafanya wasomi wa juu wadharauliwe, embu imagine msomi anendesha BODABODA alafu dereva wa VX la waziri ni form four tena failure, Mwanajeshi anadrive BIMA graduate anaendesha bajaji ya BOSS, na kada nyingine nyingi
Wito wangu kwa serikali ni kurekebisha mifumo ya utoaji ajira ambayo itawafavour GRADUATES
Graduates pia wanaweza kuwa Madereva, Askari, Wanajeshi, wasaidizi wa viongozi, n.k
Lakini pia ni muda sasa wa kupitisha sheria ambayo itawataka taasisi kubwa zote Tanzania kuwa na Internships angalau asilimia 10 ya waajiriwa wote katika Taasisi fulani wawe interns nadhani tutapunguza ugumu wa maisha kwa hawa Graduates wanatia huruma kwakweli.
Kingekuwa ni kitu cha kawaida wangefanya bila shida.Unaonekana una kaujinga fulani kichwani kwako lakini unakaficha kwa elimu yako ndogo
Kwani Ukimaliza Form4 Unashikiwa viboko kwenda form 5 kwann usiende udereva na ww, kwanini usiombe jeshi, Kwa nini usiende kusoma ufundi stadi Veta, kwanini usiwe mjasiliamali
Wewe uliona fursa ipo kwenda kusom Form 5 ukafika hadi chuo kikuu? Endelea na elimu maana naona kila mkipass mitihani mnaenda level ingine, Msiwe mnakwamia Degree , endeleeni hadi masters na huko mbele
Kila mtu anachagua maisha yake yaweje
Kingekuwa ni kitu cha kawaida wangefanya bila shida.
Hapo unachoshauri ni kama kuwashauri watoto walioachiwa urithi na wazazi wao kuwa wapambane na hali ngumu ya maisha bila kutumia hata chembe ya mali za wazazi wao.
Hii ni kitu mbaya sana kwa future generations. Hii inchi tunakusanya kodi, tuna madini na rasilimali mtaji za kutuwezesha kufufua taasisi na kuajiri vijana wengi na kuwalipa mishahara. Ni aibu sana kwa serikali kutoa matamko ya kuwataka vijana kujiajiri ile hali wao wenyewe hawajapitia hiyo zahma ya kujiajiri.
Ni mtu asie na akili tu ndie ataefikiria hivyo....
mkapa kazaa wawili, mtoto wa mkapa kazaa wawili licha ya utajiri walio nao. Wewe kapuku unazaa utawaajiri?
Mmmmmmhmn unajua ukishapiga degree akili yako inakuwa kama imefungwa unashindwa kufanya maamuzi ya kufanya kazi zingine nje ya taaluma.sijui kama umenielewa
Dhana ya jamaa ni kwamba sisi tuliofeli shule tukaishia form 4 Tukaenda kusoma udereva, Jeshini na veta ndio tunakula maisha.
While yeye kasoma hadi chuo kikuu anasugua gaga
ndio namuuliza kama naona kufeli ni fursa basi hajachelewa anaweza kwenda kusoma udereva, Veta labda Jeshini umri unaweza kuwa umemkimbia
Sijawahi kusikia daktari bingwa wa upasuaji anakosa kazi; namaanisha tusome vitu au fani ambayo si kila mtu anaweza kufanya