Wahi:kama hujanunua gari

Possibles

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
1,898
2,335
Wandugu kama hujanunua gari fanya fasta usije kupata namba za aibu kama;-
-T325 UKE
-T268 UCH
-T452 TIA
-T128 VUZ
-T169 SEX
-T694 MBO
-T900 MAV
n.k
:rant:
 
Hii imepitwa na wakati. Na kumbuka pia hatuna herufi I wala O kwenye namba za magari!
 
Hii imepitwa na wakati. Na kumbuka pia hatuna herufi I wala O kwenye namba za magari!

Hebu acha upuuzi humu! hayo ndo ya kutuletea sisi na ndevu zetu kujadili humu?cameroon wewe!
 
na usitegemee hizo namba zitafika ukiwa bado hai,bytheway hatu I wala O kama rejao alivyonena
 
Ha haa haa haa imewaumaaaaaaaaa.
Pole Rejao kwa kushutumiwa. Kumbuka amri ya 14 'usishutumu usije ukashutumiwa'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom