Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,917
Usicheke...mimi nilikuwa nawashwa, nikijikuna tu, navimba, na nilikuwa kibonge, baada ya masaa machache tu, ninakuwa kama sanamu la Micheline....Nimecheka kama mazuri.
Hahaaa ,nimecheka kwa sautii ,zile dawa hazifai yani,ukinywa hasa ikifika usiku unaona kila aina ya rangi siyo kwa miwasho hiyo duh.Usicheke...mimi nilikuwa nawashwa, nikijikuna tu, navimba, na nilikuwa kibonge, baada ya masaa machache tu, ninakuwa kama sanamu la Micheline....
Kuna watu walikuwa wakigonga ile wanapona fasta hata kabla ya kumaliza dose.Sijawahi kuona dawa chungu kama ile mpaka sasa, na harufu yake sasa mpaka ugonjwa unaongezeka. Ile ilikua sumu kwakweli.
Hahahahah....mtoto wa mwalimu wewe hukuwa na shida ya Kalamu aka Bic, Simba au lusker.Mimi unanionea bure tu....
Hahaha we kiboko dah!Hahahahah....mtoto wa mwalimu wewe hukuwa na shida ya Kalamu aka Bic, Simba au lusker.
Mimi nilikuwa natumia JV kutengeneza wino...nina refeel kwenye mrija wa Bic......shida maiticha walikuwa wanoko, wakiona rangi tofauti wanauliza umetoa wapi hiyo kalamu...
.Kumbe ni fundi mchundo mimi nishafanya yangu.
Unajua kama Chloroquine ingekuwa sio chungu na haina harufu mbaya, inafaa sana kumuwekea Usiyempenda kwenye Chakula....Awashwewashwe tu bila sababu.Hahaha we kiboko dah!
We ulipaswa uwe mhandisi kabisa...
Kuna watu walikua hawana shida nayo.. Wengine tulikosana nayo kabisa.. Nilikua naichukia kuanzia harufu mpaka uchungu..Kuna watu walikuwa wakigonga ile wanapona fasta hata kabla ya kumaliza dose.
Mimi mpaka leo natumia Fansider, japo nazo wanazizengea...mimi tatu tu...maji mengi, siku ya tatu ukininunulia maji ya ilala naburudika murua kabisa.
Mchudhi wa jogoo.......hatareeee!lilikuwa linaotwa tincture
Ile taste hata alorvera inasubiri dohukisikia shubiri ndio ile
Ile dawa nlikuwa nikiimeza... sipendi kabisa kuona chakula. Ni kutapika tu kama mama mjamzitoUnajua kama Chloroquine ingekuwa sio chungu na haina harufu mbaya, inafaa sana kumuwekea Usiyempenda kwenye Chakula....Awashwewashwe tu bila sababu.