Wahenga tukumbushane Klorokwini na mambo yake

Natafakari, hivi aliyetengeneza Chloroquine alikuwa anawaza nini hasa ile harufu bado naisikia dawa ile ili upone ni lazima ukimaliza dosage utapike ndipo upate nafuu.

Mara ya mwisho kutumia ilikua mwaka 2000 sijui kama muuguzi yule wa Minaki Dispensary bado yupo 4X4X2 ule uchungu basi sio wa dunia hii olivia common dosage.
dawa hatari sana hii enzi hizo hii dawa waliomeza kwa muda mrefu ilienda kuwapiga kwenye speech center and hearing katika (forebrain) wengi walibaki viziwi na kupoteza kumbukumbu hadi leo
 
Natafakari, hivi aliyetengeneza Chloroquine alikuwa anawaza nini hasa ile harufu bado naisikia dawa ile ili upone ni lazima ukimaliza dosage utapike ndipo upate nafuu.

Mara ya mwisho kutumia ilikua mwaka 2000 sijui kama muuguzi yule wa Minaki Dispensary bado yupo 4X4X2 ule uchungu basi sio wa dunia hii olivia common dosage.
NILIMEZA SANA QUININE KLOROWIN UWI UTOTO WANGU NUSURA NIFARIKI DAWA PEKEE ILIYONIOKOA ni mwarobaini ambapo sikumoja mamangu aliona nakaribia kupoteza maisha aachemsha jungu la mwarobaini kisha aklipoepua akaliweka china akanifunika gubigubi ule mvuke wake unanitoa jasho hatare nikazidi kunyongonyea nikapoteza nguvu kabisa nikalala takriban masaa 24 kuja kuamka nalilia chakula baada ya msosi nikaanza kupata nguvu kidogokidogo japo nilikuwa dhaifu lakini niliendelea kuimarika mpaka leo sikuwahi kuugua malaria kali kabisa inanipata mara chache mnoo na nipo stable

happy born day to me ............sikufa bali nimeendelea kuishi na leo mungu ameniongezea mwaka mwingine mmoja namshukuru sana
 
NILIMEZA SANA QUININE KLOROWIN UWI UTOTOT WNGU NUSURA NIFARIKI DAWA PEKEE ILIYONIOKOA ni muarobaini ambapo sikumoja mamangu aliona nakaribia kupoteza maisha aachemsha jungu la mwarobaini kisha aklipoepua akaliweka china akanifunika gubigubi ule mvuke wake unanitoa jasho hatare nikazidi kunyongonyea nikapoteza nguvu kabisa nikalala takriban masaa 24 kuja kuamka nalilia chakula baada ya msosi nikaanza kupata nguvu kidogokidogo japo nilikuwa dhaifu lakini niliendelea kuimarika mpaka leo sikuwahi kuugua malaria kali kabisa inanipata mara chache mnoo na nipo stable

happy born day to me ............sikufa bali nimeendelea kuishi na leo mungu ameniongezea mwaka mwingine mmoja namshukuru sana

Happy birthday my love. Phina ana kimimba, Kila wakati anataka niwe nae. Leo ningekupitia Lunch twende pale kibanda umiza petu. Ila ntajitahidi nikuone
 
Ukimaliza tu kuinywa basi jua kuwa umejikatia leseni ya siku 3 bila kuoga.

Pia kabla ya kunywa hakikisha una vifaa tiba kama gunzi la muhindi lililokauka kwa ajili ya kupooza miwasho midogo dogo, na kama iyo haitoshi basi kuwa na kisu butu kupoozea ile miwasho ya ghafla pale kwenye unyayo wa mguu

Tukirudi kwenye kutapika, basi jua utatapika kila chakula ulichokula, kikiisha ndipo utakapoanza kutapika maji na baadae nyongo ya njano na kijani kwa wale ma concord
 
NILIMEZA SANA QUININE KLOROWIN UWI UTOTO WANGU NUSURA NIFARIKI DAWA PEKEE ILIYONIOKOA ni mwarobaini ambapo sikumoja mamangu aliona nakaribia kupoteza maisha aachemsha jungu la mwarobaini kisha aklipoepua akaliweka china akanifunika gubigubi ule mvuke wake unanitoa jasho hatare nikazidi kunyongonyea nikapoteza nguvu kabisa nikalala takriban masaa 24 kuja kuamka nalilia chakula baada ya msosi nikaanza kupata nguvu kidogokidogo japo nilikuwa dhaifu lakini niliendelea kuimarika mpaka leo sikuwahi kuugua malaria kali kabisa inanipata mara chache mnoo na nipo stable

happy born day to me ............sikufa bali nimeendelea kuishi na leo mungu ameniongezea mwaka mwingine mmoja namshukuru sana

happy birthday to you
 
Nilikua napenda kunywa dawa hasa hiyo Chloroquine. Nakumbuka niko darasa la tatu nikawa najisikia sikia kama kuumwa nikamwambia bibi. Sasa nikawa naogopa kuinywa bibi akaniwekea kwenye chai halafu niinywe ile chai. Nilitapikaa kila kitu na kuanzia siku hiyo nilichukia sukari na dawa. Yani nikiiwaza tu ile dawa najisikia kutapika mpaka leo. Kile kikombe nilichopewa nacho dawa nilikiiba nikakitupa. Ile dawa ilikua chungu haijapata kutokea.
 
Sijawahi kuona dawa chungu kama ile mpaka sasa, na harufu yake sasa mpaka ugonjwa unaongezeka. Ile ilikua sumu kwakweli.
 
Hahahha...mimi nilitumia mwaka 2000 nikiwa Chuo, nilimeza 2, baada ya masaa mawili sura yangu ikawa sawasawa na Mh. Pinda.

Nilisahau kwamba nipo allergic na chloroquine...

Umejua kunichekesha mbele za watu wee Bigirita, hahahahahahah, nimeshindwa kujizuia hahahahaha. JF Daima, sing'oki ng'oooooooooo
 
Back
Top Bottom