wahaya mjifunze kiswahili fasaha

Na hawa watani wao yaani Wakurya wana yao, hawawezi kutamka neno "ji" wao hutamka "chi" badala yake. Siku moja pale Mzumbe High School kulitokea mgomo baada ya wanafunzi kugundua uji waliopikiwa ni mbichi. Mpishi alikuwa ni bibi mmoja wa Kikurya alipoitwa aliulizwa kwanini amepika uji mbichi alikuwa na haya ya kusema. """Kwa kweli Mwalimu mimi nimewagawia uchi ukiwa wa umeiva na wamoto kabisa nashangaa wanasema eti uchi umepoa""" Mgomo uliishia hapo kwani vicheko vililipuka kama bomu kila mmoja akaelekea darasani bila kuaga.

hahahahaaaaa!!!! haya bana, umenikamata!

ngoja nipike uchi wa moto ninywe nirare mapema kabhisa!
 
bukima kwa msukuma ni tusi la kubwa sana!

kuna siku bana katika mizunguko yangu ya hapa na pale, nilikuwa maeneo fulani hivi ya usukumani!

sasa kulikuwa na mama mmoja hivi anauza chakula, mama huyo ana asili ya musoma!

basi nikamwambia mama '' mama tantuli ubhukima''!

loh! kulikuwa na kundi kubwa sana la watu pale walikuwa wanapiga stori zao kwa kisukuma, ghafla wakanyamaza kimyaaaa! huku kila mtu akitafuta pa kuangalia!

kumbe baba nilichotaja... ni tusi kwao! bukima kwa wasukuma ni papuchi!
 
Hakuna neno kama hilo (red hapo juu)
ktk maneno ya Kihaya! Kuna maneno na sentensi kama hizi:

Nimeshiba bila kula = Nansiiba ntalile.
Natafuta asali mbisi = Natafuta asali mbichi.
Konda, konda mimi nateremkia hapo machoni = konda, konda waitu ninshukila aho umumaisho.

nimeshiba = nimeshinda
mbisi = mbichi
machoni = mbele.
Ni kweli hakuna hilo neno naamini. Sasa unajua makabila mengi hayajui kiswahili kwa ufasaha? Maana yangu imelala hapo
 
bukima kwa msukuma ni tusi la kubwa sana!

kuna siku bana katika mizunguko yangu ya hapa na pale, nilikuwa maeneo fulani hivi ya usukumani!

sasa kulikuwa na mama mmoja hivi anauza chakula, mama huyo ana asili ya musoma!

basi nikamwambia mama '' mama tantuli ubhukima''!

loh! kulikuwa na kundi kubwa sana la watu pale walikuwa wanapiga stori zao kwa kisukuma, ghafla wakanyamaza kimyaaaa! huku kila mtu akitafuta pa kuangalia!

kumbe baba nilichotaja... ni tusi kwao! bukima kwa wasukuma ni papuchi!

.teh.
.teh.
.teh.
.teh.
.teh.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom