Wahaya kwa mbwembwe hawana mshindani

Wahaya kwa mbwembwe hawana mshindani

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
3,988
Reaction score
1,310
Wahaya kwa mbwembwe hawana mpinzani,jamaa ni mhudumu wa mochuari sasa anavyojitambulisha kwenye harusi,my name is Kamugisha am working with Muhimbili,infact professionally nawahudumia watu ambao madaktari bingwa wameshindwa kunusuru uhai wao. Da!
 
copy cats - hii info sio mpya

Ni kweli kabisa mkuu ila kuna mtu kaniomba nizifungulie thread jokes zote nilizoziweka https://www.jamiiforums.com/jokes-u...5-laugh-out-loud-looooooooooooooooool-10.html kama umekwazika au kukereka pole sana mkuu.


user-online.png
Mohammed Shossi

27th March 2012 17:42
#190
JF Senior Expert Member Array


Join Date : 17th January 2011
Location : Dar es Salaam
Posts : 3,202
Rep Power : 1015
Likes Received448
Likes Given158



[h=2]
icon1.png
Re: laugh out loud looooooooooooooooool[/h]
Wahaya kwa mbwembwe hawana mpinzani,jamaa ni mhudumu wa mochuari sasa anavyojitambulisha kwenye harusi,my name is Kamugisha am working with Muhimbili,infact professionally nawahudumia watu ambao madaktari bingwa wameshindwa kunusuru uhai wao. Da!​


JF "Where we dare to talk openly, hidden"
 
Hakyanani haipiti wiki bila kuanzishwa topic inayohusu Wahaya humu JF.
 
Kabla ujaanzisha. uwe na uhakika kama imeishatoka au la. Sa ww unaleta kitu ambacho kimeletwa jamvini mara nyingi. si ndo kujaza mambo yale yale jamani
 
Kabla ujaanzisha. uwe na uhakika kama imeishatoka au la. Sa ww unaleta kitu ambacho kimeletwa jamvini mara nyingi. si ndo kujaza mambo yale yale jamani


jamani humu JF kila siku wanajiunga watu wapya, sasa hamtaki na wao wafaidi au?
 
Hivi we ni jinsia gan chike nini na ni mume wa kihaya unatafuta au ni nini kila siku ni eh eh utaolewa!
 
ni kati ya makabila mazuri kwa kuyatania na watu wanaappreciate hilo ...ila huyo mm1 hapo juu kaharibu kuandika errors
 
Rugumamu pale Mlimani alinambia nikiona gari yake manzese, tandika, na kwingineko nje ya chuo, posta na kwake mbezi beach nipige simu polisi eti itakuwa imeibwa yeye hawezi tembelea maeneo hayo
 
Back
Top Bottom