Wahaya hizi sifa sasa

Wahaya hizi sifa sasa

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
2,818
Reaction score
3,731
54a1f99265b5c38d94a063d3d08f8d15.jpg
 
Ila mm nimepapenda pasafi sana yaani unaweza piga msosi kabisa
 
Napenda CHOO kisafi kizuri kinachovutia kunukia na kilichorembwa kikarembeka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila usafi cyo wa hvo. Hujui kuwa chooni/ bafuni ukijaza unnecessary thng pia ni uchafu?
Mshanajr nahisi ww pia utakuwa wa njia hyo
 
wahaya kivipi tena mkuu mbona mambo ya kawa maghetoni tu,
 
Usiwasingizie watani zangu wahaya,hao wanajulikana kabisaaa ni wasukuma.
 
Usiwasingizie watani zangu wahaya,hao wanajulikana kabisaaa ni wasukuma.
Mm ctaki kuitwa mchochezi maana unapoelekea utataja na kale kakijiji...[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji121] [emoji121]
 
Lile tetemeko na data za Dr.Mpango la mikoa maskini limewashusha hadhi kabisa.
Hahaha wenyewe wanakuambia
"hari kweri imekua ngumu mpaka sisi maprofessa tuna omba kamsaada this is too much"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom